Kuna ubaya ukiweka cpu ya kulala juu ya ndoo ya plastiki badala ya meza ya mbao ?

Kuna ubaya ukiweka cpu ya kulala juu ya ndoo ya plastiki badala ya meza ya mbao ?

wakuu habari zenu, nauliza hili swali kwasababu kuna mwanafunzi nilimpa cpu nikakuta kaiweka juu ya ndoo badala ya meza ya mbao
Sasa kama akiwrka Kuna shida gani mnunulie meza , muhimu kusiwe na Maji KWENYE ndoo in case ikiteleza na ipate hewa TU.

HATA akiweka chini muhimu isipate unyevu
 
Back
Top Bottom