Zaburi 1:1Huyu mzee anachokifanya sio utani, ni mzaha! Ma mizaha imekatazwa hata kwenye maandiko! Tumeonywa kukaa nao mbali watu wafanyao mizaha!
Wasukuma na kanda nzima ya ziwa wanawake weupe ni dili.jamaa anapenda sana kusifia wanawake weupe, sasa sijui mkewe anajisikiaje ukizingatia sio mweupe, basi tu tumuache , Post Trauma Psychology Disorder inatutesa wengi
Huu ni ushahidi kuwa mnampenda sana Rais Magufuli. Kila anapoonekana kwenye TV na kusikika redioni mnakuwa makini kweri kweri kutafuta cha kupost. Halafu mwisho wa siku mnashangaa kwanini amekuwa mtu maarufu zaidi Tanzania na Afrika kwa ujumla!!!
Tujitu twa ajabu sana hutu tujamaa!Wanatafuta cha kupost ambacho kinawafurahisha wao na marafiki zao.
Yale ya msingi kama umuhimu wa daraja kiuchumi huwa hawayapost. Uwezo wao kifikra unaishia kwenye udaku tu.
Mtu ambaye humpendi unamfuatilia wa nini? Kwa taarifa yako anayependwa "kweri kweri" maana yake na taarifa zake zinapendwa "kweri kweri". Leo hii hamuandiki taarifa za Lissu kwasababu kwanza hazipo na pili hazipendwi ndio maana sasa hivi uko runingani umekodolea TBC1 ili tu umuone Rais Magufuli amevaa nini, anatembeaje, anaongeaje na kaongea nini kisha uwe wa kwanza kupost. Huo unaitwa umaarufu na kupendwa " kweri kweri"!Baada ya kuona neno "kweri kweri" nimegundua upeo wako ni level ipi hivyo ushauri wa bure ni kajiendeleze na elimu uelimike.
Ila kabla ya kukuacha nikuambie kuwa kufuatiliwa sana sio kuwa in kupendwa au kuku admire maana jee utasema hivyo hata kwa Dr Shika? matendo ya ajabuajabu yaweza kukufanya ufatiliwe sana
Uko sahihi sana kitwanga na jpm ni washkaji sana hivyo utani baina yao ni kawaida.Kama sio Kitwanga kuchemsha akiwa waziri mpaka leo hii angekuwa sehemu ya baraza la mawaziri.
Kitwanga na JPM ni watu wenye kufahamiana kwa miaka mingi ni marafiki wa karibu.
Rais ni binadamu kama mwingine yoyote yule, anao marafiki wa kikazi na wale wa karibu.
Mleta mada anahamishia machungu ya maisha yake kwenye urafiki wa Kitwanga na JPM, ataishia kuumia tu moyoni.Uko sahihi sana kitwanga na jpm ni washkaji sana hivyo utani baina yao ni kawaida.
sijaona ubaya katika hili,maana kuna clip ile jpm anasema akipewa uraisi watz watalimia meno kitwanga yupo anamzingua jpm kwamba tulia ueleweshwe haya mambo huyajui (kiutani ) hawa jamaa kuchukulia serious utani wao nk kuhangaika tu.