Tofauti kati ya mzinzi na mtu mwenye roho ya uzinzi mlielewe hilo

Akidu

Member
Sep 19, 2022
47
76

Jifunze kumtofautisha Mlevi na mtu mwenye roho ya ulevi . Masikini na mtu mwenye roho ya umaskini ..

Kuna mtu anakwenda kanisani siyo kwa sbb ana Roho wa Mungu ndani yake (anakwenda kwasababu ya mazoea na kufanya socialization). Na kuna mtu anakwenda kanisani kwa sbb ana Roho wa Mungu.. kuna mtu anakwenda kwenye ulevi siyo kwa sbb ana roho ya ulevi ndani yake (anakwenda kwa sbb ni hulka yake tu . ndiyo udhaifu wake). Na kuna mtu anakwenda kwenye ulevi kwa sbb ana roho ya ulevi ndani yake inamuongoza..

Adamu mwanamke(Hawa) alipokula tunda alikuwa ameingiwa na roho ya tamaa ya shetani ..Lkn Adamu mwanaume alipokula tunda alikuwa ameingiwa na roho ya upendo ya mwanamke wake .. Ndiyo maana pale edeni ( japo ni jambo la kufikirika ) aliyelaaniwa ni nyoka na mwanamke. Lakini mwanaume hakulaaniwa ,bali ililaaniwa ardhi kwajili yake .. Hujanielewa vizur hapa kwa adamu wa kiume najua, nitakufafanulia somo lijalo.
Yaani kuna tofauti kati ya kulaaniwa juu ya ardhi (laana aliyopewa kaini) na ardhi kulaaniwa kwajili yako (laana ya adamu)..

Ipo tofauti ya tabia ya mtu ya asili na tabia ya mtu inayoletwa na roho . Siyo kila mzinzi ana roho ya uzinzi . Siyo kila mlevi ana roho ya ulevi . Na siyo kila maskini ana roho ya umaskini..

Iko hivi , japo ktk falsafa tunaamini kila mtu huzaliwa na roho nzuri , roho mbaya tuna tunazikuta hapa hapa duniani(moral philosophy). Lkn ktk ulimwengu wa roho ni tofauti , huku tunaamini kila mtu huzaliwa na tabia yake ya asili..
Biblia inasema ktk mithali na muhubiri "kila kitu kiliumbwa maalumu kwaajili ya siku yake. Hata mwizi aliumbwa maalumu kwajili ya siku ya wizi" ..

Sasa ipo tofauti kati ya tabia ya asili na tabia iliyoletwa na roho. Tabia iliyoletwa na roho hufanana au huendana na tabia ya asili kwa kuwa roho hupenda kupitia pale kwenye udhaifu wako . Ikiwa tabia yako ya asili siyo udhaifu wako basi roho haipitii hapo ,inatafuta udhaifu wako mwingine . Yaani unaweza ukawa mlevi lkn ulevi siyo udhaifu wako bali uzinzi . Basi roho haitakuja kwny ulevi itakuja kwny uzinzi . Tabia yako ya asili ni tabia ya mwili lkn tabia yako isiyo ya asili ni tabia ya roho . Na ukumbuke kuwa roho hushindana na mwili na nafsi. Tabia yako ya asili (bila kujali ni dhambi au siyo dhambi) una uwezo wa kuimudu . Lkn tabia iliyoletwa na roho huwezi kuimudu mpk msaada wa Mungu. roho inapomuingia mtu kwajili ya kumpa tabia mpya siyo kwamba ina malengo ya kukufanya ww utende dhambi , walaa, la hasha. Maana dhambi unaitenda tu kila siku kwa kupitia roho za shetan za kawaida . Kuna tofaut ya roho ya kawaida ya shetan na
na roho maalumu ya shetan kwa kazi maalumu ya kudumu juu ya mtu fulani..

roho ya kazi maalumu inapomuingia mtu ni kwaajili ya kuharibu kusudi au mpango wa Mungu juu ya yule mtu kuwepo duniani.. Yaani usifanikiwe kuwa vile Mungu anavyotaka uwe na usifanye kile Mungu alikusudia ukifanye duniani.

Sababu ya pili ni kwa watumishi wa Mungu ,roho inapomuingia mtumishi ni kwajili ya kuhakikisha inamkosanisha yeye na Mungu tu. maana haiwez kuharibu kusudi la Mungu juu ya mtumishi wake .

NAKUFAFANULIA :

Kuna mtu ni mlevi mtaani wote wanamjua lkn anaheshimika kwa wakubwa mpk watoto. Lkn kuna mtu ni mlevi mtaani anadharaulika kwa wakubwa mpk watoto . Iko hivi, Ikiwa ulevi ni dhambi , basi wote hawa wawili wanaendeshwa na shetani . Isipokuwa yule anayelewa na kuheshimika anafanya kwa kutumia tabia yake ya asili ya mwili. Lkn yule anayelewa na kudharaulika anafanya kwa kuendeshwa na roho ya kazi maalumu ya shetani. Ndiyo maana ukichunguza katka hawa wawili utagundua kuna mmoja analewa lkn mambo ya maisha yake anayaendesha vzr na mwingne anayelewa kuna namna ameharibikiwa ktk maisha.. Huyu wa pili ni roho imetumwa maalumu kumharibia maisha yake kupitia ulevi (afukuzwe kaz,avunje ndoa, afilisike, asizalishe chochote kile cha maana ktk dunia). Hiyo ndiyo roho ya ulevi.

Na tabia ya asili huishia kwa mtu mwenyewe lkn tabia ya roho hufuata kizazi had kizaz chake chote huyo mtu . Hujawah kuona kwny ukoo fulani hakuna mtu anayefanikiwa kufaulu kuvuka form 4 , au Hakuna mwanamke au mwanaume anayefanikiwa kudumu kwny ndoa, au Hakuna anayefanikiwa kumiliki mali zaidi ya milioni 1, au babu baba na mjukuu ni walevi wa kudharaulika, wanawake au wanaume wote ni wazinzi wa kupitiliza kiasi? Hizo ndiyo tunaita tabia za roho ..

Kuna mtu anaweza kuwa maskini leo kwa sbb ya mazingira tu aliyotokea. Na siku moja anakuja kutoboa Maisha mpk watu wanashangaa.
Lkn kuna mtu ambaye babu yake ,baba yake, yeye mwenyew , watoto wake na wajukuu zake ni mafukara wa kutupwa na hawana matumaini kbs ya kutoboa. Hiyo ni roho ya umaskin inatembea na kizazi chote. Haiondoki kirahisi mpk ivunjwe.

Kuna mtu ni mzinzi sana lkn ana kaheshima fulan hivi kwny jamii. Huyu japo anafanya dhambi , kwake uzinzi ni tabia ya asili ya mwili siyo roho ya uzinzi. Haijamvurugia upande fulani wa maisha kumfanya aharibikiwe. Na tabia hii ni ya kwake tu kwny ukoo.
Kuna mtu ni mzinzi sana na amepoteza heshima kbs kwny jamii . Huyu ana roho ya uzinzi na kuna mahali uzinzi huo umemuharibia kbs kwny maisha (pengine ni uchumi ,ndoa, kazi, marafiki,n.k) . Roho hii itahakikisha mtu huyu anapoteza mwelekeo wa maisha yake kbs.. Na inawezekana ameirithi na atairithisha kwa watoto ..

Kuna mtu ana wake wengi na anaheshimika ktk jamii hadi na wake zake wanamuheshimu. Na Kuna mtu ana wake wengi lkn anadharaulika ktk jamii hadi na wake zake .Kati ya Hawa wawili kuna mmoja Kati yao amebeba roho ya kukataliwa.

Nakupa mifano michache ktk biblia :

Nabii Lutu alipolewa mvinyo mpk akawa hajitambui na akalala na mabinti zake na kuwapa mimba wote wawili . hakufanya hivyo kwa sababu alikuwa na roho ya ulevi au roho ya uzinzi . Alifanya vile kwa sababu ya tabia ya asili ya mwili . Maana kulewa mvinyo haikuwa dhambi . Na mipaka ya tendo la ndoa ilikuwa haijawekwa mikali km iliyowekwa kwny torati.. Tabia ya asili ya tamaa ya mwili ndiyo iliyowasukuma mabinti za Lutu kutaka kulala na baba yao baada ya kukosa wanaume kule mistuni..

Kuna mtu ni kahaba anajiuza lkn hana roho ya uzinzi . Na kuna mtu ni kahaba anajiuza anayo roho ya uzinzi.. Imekuchanganya kidogo najua. Ni hivi , kahaba anayejiuza ili apate riziki bila kuipenda ile kazi huyo hana roho ya uzinzi ila ana roho ya umaskini na huwa hafanikiwi maisha hata kwny huo ukahaba . Na kahaba anayejiuza kwa kuipenda ile kazi huyo ana roho ya uzinzi na anaweza asiwe na roho ya umaskini ..

Na yupo mwanamke mtaani hajiuzi kbs ila ni malaya ana roho ya uzinzi na kwao wana mali..

Mfalme suleiman alipooa wake 700 na mahawara 300 haikuwa dhambi wala hakuwa na roho ya uzinzi . Ilikuwa ni tabia ya asili ya mwili na utamaduni wa kawaida kbs . Lkn Kilichokuja kutokea ni kwamba , kwa kuwa yeye ni mtumish wa Mungu ilikuwa ni lazima akosanishwe na Mungu kupitia udhaifu wake wa tabia ya asili. Kwahiyo roho ya mafarakano ilitumia tabia ya asili ya suleiman ya kupenda wanawake kumfanya yeye aabudu miungu ya wake zake amwache Mungu. Lkn kusudi la Mungu juu yake duniani lilitimizwa ila ufalme wa israel ndiyo ukaja kuondolewa kwny vizazi vyake..

Mfalme Daudi alipozini na Beth sheba mke wa Uria akampa mimba na akamuua Uria vitani kuficha siri , japo alifanya dhambi ya uzinzi ,Siyo kwamba alikuwa na roho ya uzinzi. Maana alikuwa na wake wengi na mahawara wengi na haikuwa dhambi kwake bali utamaduni na tabia ya asili kuwa na wanawake wengi.. Isipokuwa roho ya mauti ndiyo ilikuwa inamtafuta Daudi ,hivyo ikatumia tabia yake ya asili kumkosanisha na Mungu maana alikuwa mtumishi wa Mungu..

Kilichotokea sasa kwny familia ya Daudi , kwa kuwa Daudi alimbaka yule mke wa mtu , mtoto wake Daudi wa kuzaa anaitwa Amnoni naye akambaka dada yake. Kaka yao anaitwa Absalomu akamuua Amnoni. halafu Absalomu akampindua baba yake na akawabaka wake 10 masuria wa baba yake . halafu ktk mapinduzi hayo Absalomu naye akauwawa. Akaacha mtoto mmoja wa nje ya ndoa, yule mtoto na mama yake wakakimbilia uhamishoni . Ukitaka kujua zaidi kasome biblia na wewe .

Hiyo ndiyo roho ya mauti imetembea na kizazi.. Kidogo imuue na Daudi mwenyewe kwny Mapinduzi. Imeanzia kwa babu mpk mjukuu . Ikaharibu kabisa future ya Absalomu ambaye ndiye alikuwa anakusudiwa kuja kuurithi ufalme wa baba yake Daudi. Unaambiwa Absalomu alikuwa mwanaume handsome anawavutia mpk wanaume ..

Tabia ya asili ambayo ni dhambi ipo kwaajili ya kuharibu mahusiano yako na Mungu. Lkn tabia ya roho ambayo ni dhambi pia ipo kwajili ya kukuharibu wewe mwenyewe, maisha yako na kizazi chako.

Yule mwenye mapepo anayekaa makaburini ktk kisiwa cha wagerasi hakuwa maskini ,ila alikuwa na roho ya umaskini.. Yule ndiyo alikuwa lango la mafanikio la jamii yake hivyo mapepo yalibidi yampige yeye ili jamii yake izidi kudumaa umaskin uendelee.. Ndiyo maana alipotolewa tu mapepo yale mapepo hayakuomba kwenda shimoni bali yaliomba kwenda kwny nguruwe. Halafu nguruwe ndiyo wakaingia baharini wakafa wote . Wewe unadhani ilikuwa na maana gani mapepo yaingie kwa nguruwe halafu nguruwe zaidi ya elfu 5 wakafe baharini? Lengo ni kuitia ile jamii umaskini wa kutupwa (roho ya umaskini ).. Hebu tafakari thaman ya nguruwe halafu zidisha mara elfu 5 upate jumla ya hasara waliyopata ile jamii ..

Mifano ni mingi sana ndugu yangu mpendwa . Ila kwa leo somo langu linaishia hapa.

Kuna Tabia ya asili ya dhambi na tabia ya roho ya dhambi ..

*Uzinzi siyo lazima uwe na roho ya uzinzi
Akiduzacharia.@gmail.com
 
Andiko ni reefu kiasi kwamba hata nikimpa chatgtp asummerize hataweza
 
Nadharia nyingi kuliko ukweli
 
Roho ni nini tuanzie hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom