Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,539
- 9,081
Umewahi kuoa sana maana kwa uandishi wako ilitakiwa umalize shule kwanzaHallo ndugu zangu
Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu
Hivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Sasa ni hivi kuna dada mmoja wa Kigoma ambaye tulipendana naye na tulivyo pendana akunificha aliniambia yeye ana mtoto
Nikamuliza situation ilikuwaje mpaka Akapata mtoto na kwanini baba mtoto hakumuoa?