Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Baada ya kikao kirefu hatimaye tumekubaliana....

UKIOA SINGLE MOTHER JAMAA AWE AMEFARIKI.... KINYUME NA HAPO UTAPATA TAABU SANA
 
Daah unaanza mechi mwenzako ana goli moja tayari. Pambana ushinde mechi wazee wa kubet hii inaitwaje kitaalamu
Kwenye premier bet hii inaitwa (1X AND NG).. This code means that the home team will win the game but the guest team will lose or draw..
 
Jeffrey Bezos amelelewa na baba wa kambo mwisho wa siku baada ya kuwa tajiri, baba wa kambo ndo anakula mafao ya Amazon na baba yake halisi hana mpango nae. Jaribu bahati yako mzee huwezi jua mtoto atakuja kuwa nani baadae.. Pengine ndo huyo huyo atakaekuja kukuthamini.
Uncle Shamte nae anakula mafao ya Diamond platnumz
 
Samahani mkuu...
Kati ya kuolewa Kisha kuzalishwa na kuachana, ama kuzalishwa kabla ya kuolewa na kisha kuachwa...
Je ni usingo upi unao uzungumzia..??
Kuzalishwa Kabla ya kuolewa Na kuachwa
 
Hallo ndugu zangu

Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu

Hivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Sasa ni hivi kuna dada mmoja wa Kigoma ambaye tulipendana naye na tulivyo pendana akunificha aliniambia yeye ana mtoto
Nikamuliza situation ilikuwaje mpaka Akapata mtoto na kwanini baba mtoto hakumuoa?

Akaniambia kuwa uyo jamaa alimdanganya lakini alivyo mpa mimba yule jamaa alikimbia mimba ile na tena jamaa hakuwa mtanzania alikuwa mrundi na uko burundi ana mke na watoto Wa tatu

Sasa ki ukweli sikuamini maneno yake nilichunguza kwa majirani zake kuuliza walicho ni ambia ni ivo ivo tu

Sasa nikaona isiwe case nilienda kumtambulisha nyumbani kwetu cha ajabu wazazi wangu walivyo sikia kuwa ana mtoto kiukweli wamekataa kweli kweli nimejaribu kuwapa hali halisi ya ilivyo kuwa mpaka akapata mtoto uyo wamekula chini kweli
kibaya zaidi nimesha mpa mimba na kwao nina famika vizuri

Sasa familia wamenitenga kabisa yaani hawataki kusikia abari za uyo dada nimejaribu kuwaomba wao kama wazazi wangu basi wahende kujitambulisha kwao na mtoto na kuacha na weka Mali hawataki
Na mimi dada uyo na mpenda saana

Je ni kitumia wazee wengine ambao si Wa familia yangu kwenda kuniwekea Mali nitakuwa nime kosa?

Na ni madhara gani ambayo yanaweza kutokea pale familia wakikutenga?

Na nini ni fanye ili kumaliza tatizo hili ndugu zangu
Au ni sikie ushauri Wa wazazi na mimi ni achana naye?
Huyo ni MKE wa mtu wewe unaenda kuendeleza uzinzi Tu na kwakujua kabisa
 
Ki ukweli ifike wakati binadamu tuache unyanyapaa. Kikubwa ni kujiridhisha kile anachokuambia kina ukweli. Siku zote huwa nasema upendo wa kweli ndo kila kitu. Kama kuoa mke mwenye watoto basi atukuwa anapasha kiporo je wale wote wanaoolewa na wanachepuke wana tofauti gani.

Binafsi naamini hakuna mwanamke chini ya jua anayependa kuwa single mother lkn ni matokeo tu katika safari ya mapenzi. Kweli kuna wengine wanasababisha wao kujishikisha mimba ili wawin mapenzi wanaishia kutelekezwa lakink kuna wengine wanadanganywa na wanaodanganya ni wanaume haohao ambao wanapaza sauti kusema usioe single maza.

Nina ushuhuda mmoja nina sister wangu mmoja ktk safari yake alikutana na mwanaume wakapendana maisha yakaenda,,,sababu alishamuaminisha baadae sister akapata ujauzito baada ya kupata ujauzito yule akaja kugundua kuwa ni mume wa mtu na walikuwa na mgogoro na mke na wametengana. Sister akaamua kumpiga chini jamaaa akasema siwezi kuwa na mwanaume muongo na asiye muaminifu. Basi bwana akarudi kwa mkewe sister akahangaika mwenyewe na mtoto hadi alipofika drs la pili. Akapata mwanaume akamuoa kwa ndoa kabisa.

Lkn ikumbukwe yule jamaa aliyezaa naye walikata mawasiliano kabisa hakujali kuna mtoto wala nini na sister wala hakumtafuta na wakati huo sister alikuwa anafanya biashara tu ya kuuza machungwa ili alee mtoto wake.

Baada ya kuoana na huyo bwana wakabahatika kupata watoto wengine watatu,,,mwanzo yule bwana aliyemuoa akawa anamtemga kiaina mtoto wa sister japokuwa mahitaji ya msingi alikuwa anatimiza ila vipaumbele vya luxury alikuwa anatoa kwa watoto wake. Basi dada kugundua hilo akawa anamwambia mwanangu usihuzunike hata kama anakutenga wewe kazana kusoma baba yako yupo lkn hajali chochote hivyo shukuru Mungu hata kwa mahitaji ya msingi unayopata ukikazana kusoma na ukiwa mtoto mwema atakupenda tu basi dogo akawa anashika wosia wa maza ake. Dogo akawa kichwa darasn in anaongoza,,,mwanzo mwisho. Kufika sekondary hivyohivyo. Asa alipofika chuo baba yake wa kambo ndo akashtuka akaanza kuonyesha mapenzi akajua huyu ndo wa kwanza anaweza kuja kufanikiwa akalea wadogo zake.

Baada ya kufika chuo dingi wake akamtafuta sister akamwambia ooh namtaka mtoto aje nimpe urithi wake mara ooh ajuane na ndugu zake. Dada akamshirikisha mume wake ,,,bahati nzuri mume wake akampa ushirikiano akasema mtoto ameshakuwa mkubwa mwambie mwenyewe. Basi wakamuita mtoto wakamwambia baba yako anakuhitaji uende ukajuane na ndugu zako mtoto alichowajibu kuwa huyu aliyenilea toka nikiwa mdogo ndiyo baba yangu,,,kama kweli alikuwa ananipenda angenitafuta siku zote hizo.

Hivyo hadi leo dogo yupo anamaisha yake alimaliza chuo akapata kazi nzuri analea wadogo zake baba yake wa kambo anakula bata.

Siku zote ukitaka kufanya jambo fanya kwa moyo mmoja usifanye kwa mashaka,,,hata mtoto mdogo ukimionesha upendo atarudisha upendo,,,changamoto sisi binadamu masimango na kauli mbaya.
 
Hallo ndugu zangu

Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu

Hivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Sasa ni hivi kuna dada mmoja wa Kigoma ambaye tulipendana naye na tulivyo pendana akunificha aliniambia yeye ana mtoto
Nikamuliza situation ilikuwaje mpaka Akapata mtoto na kwanini baba mtoto hakumuoa?

Akaniambia kuwa uyo jamaa alimdanganya lakini alivyo mpa mimba yule jamaa alikimbia mimba ile na tena jamaa hakuwa mtanzania alikuwa mrundi na uko burundi ana mke na watoto Wa tatu

Sasa ki ukweli sikuamini maneno yake nilichunguza kwa majirani zake kuuliza walicho ni ambia ni ivo ivo tu

Sasa nikaona isiwe case nilienda kumtambulisha nyumbani kwetu cha ajabu wazazi wangu walivyo sikia kuwa ana mtoto kiukweli wamekataa kweli kweli nimejaribu kuwapa hali halisi ya ilivyo kuwa mpaka akapata mtoto uyo wamekula chini kweli
kibaya zaidi nimesha mpa mimba na kwao nina famika vizuri

Sasa familia wamenitenga kabisa yaani hawataki kusikia abari za uyo dada nimejaribu kuwaomba wao kama wazazi wangu basi wahende kujitambulisha kwao na mtoto na kuacha na weka Mali hawataki
Na mimi dada uyo na mpenda saana

Je ni kitumia wazee wengine ambao si Wa familia yangu kwenda kuniwekea Mali nitakuwa nime kosa?

Na ni madhara gani ambayo yanaweza kutokea pale familia wakikutenga?

Na nini ni fanye ili kumaliza tatizo hili ndugu zangu
Au ni sikie ushauri Wa wazazi na mimi ni achana naye?
Ukishindwa kuwajibika kwa mtoto wake anakutana na mzazi mwenzake na kupanga kuhusu mtoto wao na mengineyo.
Wana majeraha ndani ya mioyo yao ya mahusiano hivyo hasira kama zote na wakikasirika huwaelezi kitu
Mtoto wake ndo kila kitu na yupo tayari kulipa gharama yoyote ili ya mtoto au watoto wake wafanikiwe.
WAtoto uliomkuta nao sio wake ni WA mwanaume mwingine hivyo kusaidiwa ukizeeka ni probability, watarudi kwa baba yao kumsaidia
Watch out
 
Hallo ndugu zangu

Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu

Hivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Sasa ni hivi kuna dada mmoja wa Kigoma ambaye tulipendana naye na tulivyo pendana akunificha aliniambia yeye ana mtoto
Nikamuliza situation ilikuwaje mpaka Akapata mtoto na kwanini baba mtoto hakumuoa?

Akaniambia kuwa uyo jamaa alimdanganya lakini alivyo mpa mimba yule jamaa alikimbia mimba ile na tena jamaa hakuwa mtanzania alikuwa mrundi na uko burundi ana mke na watoto Wa tatu

Sasa ki ukweli sikuamini maneno yake nilichunguza kwa majirani zake kuuliza walicho ni ambia ni ivo ivo tu

Sasa nikaona isiwe case nilienda kumtambulisha nyumbani kwetu cha ajabu wazazi wangu walivyo sikia kuwa ana mtoto kiukweli wamekataa kweli kweli nimejaribu kuwapa hali halisi ya ilivyo kuwa mpaka akapata mtoto uyo wamekula chini kweli
kibaya zaidi nimesha mpa mimba na kwao nina famika vizuri

Sasa familia wamenitenga kabisa yaani hawataki kusikia abari za uyo dada nimejaribu kuwaomba wao kama wazazi wangu basi wahende kujitambulisha kwao na mtoto na kuacha na weka Mali hawataki
Na mimi dada uyo na mpenda saana

Je ni kitumia wazee wengine ambao si Wa familia yangu kwenda kuniwekea Mali nitakuwa nime kosa?

Na ni madhara gani ambayo yanaweza kutokea pale familia wakikutenga?

Na nini ni fanye ili kumaliza tatizo hili ndugu zangu
Au ni sikie ushauri Wa wazazi na mimi ni achana naye?
Hakuna shidaaa Ila mie kama muhanga wa Hilo nakuomba tafadhali saana hakikisha anakuonesha kaburi la baba wa watoto wake au mtoto
 
Wanaume wakiacha tabia ya kuwapa Wanawake Mimba na kuwakimbia hakutakuwa na Single Mother kabisa hivyo basi chacho cha Single Mother ni Wanaume.
Mimi nawashangaa wabongo sana. Kama hujabakwa kubeba mimba ni kupenda. Labda ziwe mimba za utotoni. Changes zinatakiwa kwa mtoto wa kike otherwise single mothers wataendelea kuwepo. Tuwafundishe hata uwe na shida vipi usikubali kurubuniwa kama hauko tayari kubeba mimba maana madhara utayaona baadae
 
Back
Top Bottom