Ushauri: Single mama, hataki pesa kidogo ya matunzo ya mtoto

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari wakuu,

Kuna single mama mmoja alikuwa na mahusiano na mtoto wa kishua.

Akajiachia mwenyewe, sijui kutegesha mimba ikaingia ili aolewe .

Kama ilivyo kuzaa sio kuolewa yule mtoto wa kishua akamtolea nje.

Mtoto wa kishua akaenda akaoa mwanamke mwingine.

Single mama ikawa ndiyo basi tena akajifungua mtoto wake.

Upande wa mtoto wa kiume wa kishua yeye hana kazi kubwa ni dereva tu.

Akamwambia Mimi nitamsomesha mtoto kwenye shule nliyo na uwezo nayo na matumizi ya mtoto nitakupa.

Haya mtoto wa kishua aliyafanya baada ya kuridhiana na mkewe.

Sasa single mama yeye anaangalia uwezo wa familia ya kishua ya mwanaume anataka mtoto wa kishua ampe matumizi makubwa wakati hana uwezo huo.

Single mama akaanzisha vitimbwi, mara aongee na wazazi wa mtoto wa kishua.

Mwanzo wazazi walikuwa wanamsikiliza kwakuwa mtoto ni damu yao.

Mbaya zaidi single mama akawatukana wale wazazi wa mtoto wa kishua.

Hapa ndio ikawa mwisho wa mawasiliano kati ya single mama na wazazi hao.

Hakuishia hapo mara atoe vitisho kuwa atamloga mtoto wa kishua...

Sasa Leo kijana kapelekwa polisi dawati la jinsia huko na huyo single mama..

Kijana anaomba ushauri aanze wapi?
 
Amloge tu sasa kama amemwamini Mungu, anaogopa nini afunge siku kadhaa huku akishirikisha wachungaji na familia umoja mi nguvu atamaliza hiyo shida kila kitu mwamini Mungu atakupa
 
Mtoto wa kishua alafu ni Deree,Nyambafu huyu atakua mtoto wa fukara ebu chunguza vizuri.
 
Amgeuzie kibao kama sugu alivyomfanyia faiza. Jamaa anatakiwa afungue kesi ya custody alee mwenyewe mtoto(kama single mom anatumia mtoto kama mtaji hawezi kubali mtoto achukuliwe hivyo atakua mpole na kuanza kubembeleza so jamaa atakua na sauti na nguvu ya kumkabili single mother,hivyo ahakikishe anashinda hiyo kesi)
 
Habari wakuu,

Kuna single mama mmoja alikuwa na mahusiano na mtoto wa kishua.

Akajiachia mwenyewe, sijui kutegesha mimba ikaingia ili aolewe .

Kama ilivyo kuzaa sio kuolewa yule mtoto wa kishua akamtolea nje.

Mtoto wa kishua akaenda akaoa mwanamke mwingine.

Single mama ikawa ndo basi tena akajifungua mtoto wake.

Upande wa mtoto wa kiume wa kishua yeye hana kazi kubwa ni dereva tu.

Akamwambia Mimi nitamsomesha mtoto kwenye shule nliyo na uwezo nayo na matumizi ya mtoto nitakupa.

Haya mtoto wa kishua aliyafanya baada ya kuridhiana na mkewe.

Sasa single mama yeye anaangalia uwezo wa familia ya kishua ya mwanaume anataka mtoto wa kishua ampe matumizi makubwa wakati hana uwezo huo.

Single mama akaanzisha vitimbwi, mara aongee na wazazi wa mtoto wa kishua.

Mwanzo wazazi walikuwa wanamsikiliza kwakuwa mtoto ni damu yao.

Mbaya zaidi single mama akawatukana wale wazazi wa mtoto wa kishua.

Hapa ndio ikawa mwisho wa mawasiliano kati ya single mama na wazazi hao.

Hakuishia hapo mara atoe vitisho kuwa atamloga mtoto wa kishua...

Sasa Leo kijana kapelekwa polisi dawati la jinsia huko na huyo single mama..

Kijana anaomba ushauri aanze wapi...?
Hili dili na lako mkuu
 
"Mbaya zaidi single mama akawatukana wale wazazi wa mtoto wa kishua"

Ndio maana hakuolewa, tabia mbofu.

Mimba ni vitega uchumi vyao.

Wakuu hata kama hamuoi ila pia chambua vizuri wa kuzaa nae, utalia
 
Jamaa analia Sasa, maana mwanamke anamsumbua hatare...

Uzuri mkewe ni muelewa
 
Habari wakuu,

Kuna single mama mmoja alikuwa na mahusiano na mtoto wa kishua.

Akajiachia mwenyewe, sijui kutegesha mimba ikaingia ili aolewe .

Kama ilivyo kuzaa sio kuolewa yule mtoto wa kishua akamtolea nje.

Mtoto wa kishua akaenda akaoa mwanamke mwingine.

Single mama ikawa ndiyo basi tena akajifungua mtoto wake.

Upande wa mtoto wa kiume wa kishua yeye hana kazi kubwa ni dereva tu.

Akamwambia Mimi nitamsomesha mtoto kwenye shule nliyo na uwezo nayo na matumizi ya mtoto nitakupa.

Haya mtoto wa kishua aliyafanya baada ya kuridhiana na mkewe.

Sasa single mama yeye anaangalia uwezo wa familia ya kishua ya mwanaume anataka mtoto wa kishua ampe matumizi makubwa wakati hana uwezo huo.

Single mama akaanzisha vitimbwi, mara aongee na wazazi wa mtoto wa kishua.

Mwanzo wazazi walikuwa wanamsikiliza kwakuwa mtoto ni damu yao.

Mbaya zaidi single mama akawatukana wale wazazi wa mtoto wa kishua.

Hapa ndio ikawa mwisho wa mawasiliano kati ya single mama na wazazi hao.

Hakuishia hapo mara atoe vitisho kuwa atamloga mtoto wa kishua...

Sasa Leo kijana kapelekwa polisi dawati la jinsia huko na huyo single mama..

Kijana anaomba ushauri aanze wapi?
Kuna ID. Nyingine za kike ila ni zakiume
 
Back
Top Bottom