Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Wakiwa wadogo ndio wanachagua chagua,urefu ila wakikua miaka ya 28 kwenda mbele hua wanakesha makanisani na kumuomba Mungu aje yeyote tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwingine nimemsikia analia juzi kanisani, anamlilia Mungu amkumbuke halafu analilia kwenye mike. Alivyotoka nje anaonekana yupo kwenye 40 kabisa. Nikasema ndo walewale.
 
Back
Top Bottom