Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Muongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm Nimrefu wa futi 7'2.hua napata shida kitandani, nalala miguu inapitiliza.
Muongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm Nimrefu wa futi 7'2.hua napata shida kitandani, nalala miguu inapitiliza.
Ñikutumie picha?Muongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utume wapi hiyo pic? najua ukituma hapa 99% hutokuwa wewe.Muongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaoge maji chumvi
Utume wapi hiyo pic? najua ukituma hapa 99% hutokuwa wewe.
Tatizo we ni mpare mfupi sema tu unataka mbegu ndefuKwa kweli mwanaume mrefu ni mtamu machoni mpaka chumbani pia ni gentleman anapendeza hata kutembea nae
HahaaWe mruhusu tu aje PM
Kweli, ila nitaficha sura coz ndio ya muhimu.Utume wapi hiyo pic? najua ukituma hapa 99% hutokuwa wewe.
MhhKweli, ila nitaficha sura coz ndio ya muhimu.
axee tutake radhii....Tatizo we ni mpare mfupi sema tu unataka mbegu ndefu
[emoji2]Warefu ile naniliu nayo ni ndefu. Nadhani wakiingizwa ile ndefu eanajisikia raha mustatehe
hahahaWanaume wafupi wana wivu na niwagumu kuelewa.....speaking from experience.
Chukua bia 2 nitakuja kulipiaNi kweli kabisa wanaume wanaoongoza kwa umalaya wengi wafupi alafu wanapenda sana wanawake wenye misambwnda ,nawapenda sana walefu wengi ni wastalabu na wasikivu wanajua kujali wanaheshima.
VP kuhusu futi 5 kamili mkuu nae nu mfupi sana auHapo sawa... duuh 4.5 ft mbona kakifutu
Kwa wanaume kuanzia ft 7 .5 wanawake kuanzia ft 5.8Hivi mzee urefu unaanzia ngapi