Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Habari wana MMU,

Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.

Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?

Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.
Unachohitaji mara nyingi huwa sicho utakachokua nacho katika nyanja ya mahusiano...na yamkini huishia kupata kitu cha kawaida..sio kirefu wala sio kifupi..sababu hayo ndyo maisha.maana Mungu anakupa kile kinachokufaa, chaweza kuwa kirefu ama kifupi
 
tunajiamini automatically....tofautia na wenzetu..
ila hawa wadada wa zama hizi mkuu nao wanakuwaga kama mtego wa panya tuu.....
 
Urefu ni mvuto.... Yani mtu akiwa mrefu automatic tu anavutia, then ndo vinafata vigezo vingine
Madada JF mna vigezo na masharti mengi mno ,Mara posts nzuri ,Mara handsome, Mara mahela /madolali,Mara urefu ,dah....habari za jioni Ticha
 
Last edited:
siku moja mdada mmoja wa mjini aliwahi niambia : mwanaume hata awe mrefu vipi na mwenye "masixipaki" yake,au awe mfupi na kitambi kama puto,kama hana hicho kinachoenakana ktk picha hapo chini,huyo ni bwege tu kwake.
dd9fddaf25bb2344c5f86f9b9c430d82.jpg


tangu siku hiyo,niliacha kupoteza mda wangu gym ili kutengeneza six park nikaanza kuwekeza mda wangu ktk kutafuta mkwanja.
huyo sio mwanamke bali ni malaya...
 
agata

1. Mwaume wa kutoka naye...

2. Mwanaume wa fasheni.....

3. Mwanaume wa kulingishia....

But mwanaume wa kuolewa nae nizaidi ya
-urefu
-ufupi
-unene
-wembaba
-weusi ama
-weupe

Wadada wasiku hizi mnakosa mabwana wakudumu kwasababu mnatafuta show up na fasheni.....matokeo yake ndoa nyingiiii zinaparaganyika hovyohovyo, simply because mnatafuta sifa za nje kwa wanaume matokeo yake kuvurugwa ....kuzalishwa halafu mitini.......sifa za nje ziwe kigezo chamwisho kama unatafuta bwana

1. Tazama background ya mume....wengine kwao kuowa nakuacha ndio tabia ya ukoo

2. Tazama ndoa zao wanadumu au hapana

3. Tazama utulivu, uvumilivu na uwezo wa kusamehe

4. Tazama weledi na focus

5. Tazama upole, upendo na huruma

6. Usisahau kutesti dushe yake....wengi siku hizi dushe ni legelege.....utalala njaa .....lakini nje ukimuona si ndo kifaa.....kumbe hana mpini anakikojeleo tu sio kifanyio.

urefu, ufupi nk utaishia kuzalishwa tuu then utajiju.
endelea kujifariji andunje....
 
endelea kujifariji andunje....

Mimi sihitaji mke mwengine niliyenaye ananitosha mpaka sasa zaidi ya 20yrs. Am proudly exceptional to my valid unique standard choice... kama huna mme/mke Mungu akusaidie upate.

Thanks Almighty God.
 
Mimi sihitaji mke mwengine niliyenaye ananitosha mpaka sasa zaidi ya 20yrs. Am proudly exceptional to my valid unique standard choice... kama huna mme/mke Mungu akusaidie upate.

Thanks Almighty God.
Dude don't take everything too serious you gonna die early.... just a little joke and you take it personally...
 
Back
Top Bottom