Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

They like Big Black CoCk......Bbc.....
So kweli kuwa warefu ni warefu kote sababu kubwa ni kuwa wanaamini kuwa wanaume warefu wanaweza kuwalinda na mashambulio ya kuvamiwa na vibaka vitisho nk jambo ambalo ni dhana tu yao
 
Kwani wana shida gani lakini?

Wanajiskia vibaya sana mnavyowatenga ujue.
Hawana shida basi tuu imenitokea hivyo kwa upande wangu, ni kama vile nikikutana na mwanaume mweupe uwiiiii simuangalii mara mbili hata maana sijawahi kuvutiwa na rangi hiyo aiseeh
 
749f4abb2603a141f4b25b5c8baa41ee.jpg

[emoji115] [emoji115] Jibu lipo kwenye picha hapo juu.
Wanasema mwanaume yoyote anaevaa kiatu kuanzia #9 basi maumbile yake ni robo 3 ya kiatu anachovaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
Kwa utafiti wako wachina , wakorea na wajapani wanamachine ndogo kwa sababu ya ufupi au?
 
Back
Top Bottom