Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Habari wana MMU,

Nimefanya utafiti mdogo sana nimebaini wanaume warefu ni chaguo la wanawake walio wengi katika suala nzima la mahusiano ya mapenzi.

Nimepita thread nyingi sana za kutafuta wachumba hapa JF, wanawake wengi hutoa sifa za mwanaume wanayemtaka na sifa pekee ambayo inatawala sana ni "mwanaume awe mrefu" kwanini wanaume warefu?

Wanawake nisaidie katika hili tukianza na Miss Natafuta.
urefu upi? wa kwenda juu ama chini?
 
So...you guys don't get twisted kuhusu tall guys...huwa haieleweki some they tall but they have bamias others not, some are short but they have full packages some not....so hii kitu about urefu huwa haitabiriki aisee for instance mimi ni tall gal but nakuwaga adored sana na guys wafupi.
 
sawa kabisa
 
Hakuna mtu anapenda kuzaa mtoto mfupi hata kama yeye ni mfupi. Na kwa haraka haraka wanawake wengi hapa Tanzania si warefu sana, ni mikoa michache yenye mbegu ndefu, wengi ni wafupi na kwakuwa ukabila haupo mwingiliano wa jamii mbalimbali ni mkubwa. Hivyo basi ongezeko la watu wafupi ni rahisi kuongezeka.
 
Kuna mtu mmoja alifanya utafiti kuangalia viongozi wa makampuni makubwa Marekani, akakuta asilimiakubwa sana ni warefu. Kisaikolojia ukikaa na mtu mrefu tu unavyomuangalia tayari ni psychological advantage kwake.

My apology
: ni kweli mkuu ukimuangalia sana wewe unazidi kuwa mfupi then yeye anazidi kuneemeka na urefu hivyo sio vizur kuwaangalia sana warefu
 
Back
Top Bottom