Kuna sababu gani mimi kuoa?



"Nikaona kuolewa ni bora kwa maslahi ya muda mrefu"

Asee nimependa sana hii. Kama sijakosea haikuwa pressure sana kwako, kama ilivyo miongoni mwa wengi.

Cos apparently, "the conventional wisdom" has it that, we can't survive without marriage.
 
Basi siku zoote nikiona avatar ina picha ya KAIMA nafikiri wewe ni KE,kumbe ni ME? basi unisamehe,ila nakuomba usiweke picha ya mwanamke tena jukwaani,sababu itasababisha sisi wenye **** tukupigie PUCHU au vipi?
 
Kidini hao watoto unaozaa nje ya ndoa si wako...ni wa ukoo wa mama zao! Pia una uhakika gani kuwa watoto hao wawili ni wako na si wa wanaume wengine, kama scenario uliyojaribu kuichora ndiyo ipo hivyo?
According to dini ipi?

Kwani hata akioa mke wake hawezi kuzaa na mwanaume mwingine?
 
Mkuu usikimbilie kuoa kabisa

Mimi nipo katika situation hiyo hiyo, hakuna umuhimu wowote wa kukimbilia eti kuoa...kwanza wanawake wenyewe ndio hawa wa sikuhizi?

Tafuta Pesa...Kula bata...Saidia ndugu zako na wasiojiweza upate baraka.
 
hata mimi huwa najitahidi sana kujua kuwa kuna wanandoa wanaoishi kwa amani,tuache mikwaruzano midogo;yani wale ambao hawajawahi kuzinguana kwa kosa la mmoja kutokuwa mwaminifu katika mapenzi.kwakweli wanandoa wa hivi naishia kuwaona watu wazima ambao sasa hivi umri umeshaenda(sio wote lakini,na sijui huko nyuma ilikuwaje).nakata tamaa kabisa ya kuoa kwa sababu sipati mifano hai ya ndoa zilizotulia,kote matatizo mara michepuko,mara sms za mchepuko,mara fb,sijui whatsapp,picha chafu,hainaga ushemeji,ukisafiri wanakutenda,akiwa mbali yeye napo hatari,mara fumanizi,mara mtoto/mimba nje ya ndoa nk.
 
Ungetoa family background yako ningetoa hitimisho. Family background has an impact kwenye maamuzi ya namna hiyo, shida wala sio usaliti, uongo na kutokuwa waaminifu. Yawezekana you never felt the love toka kwenye familia. Ukisikia "there's nothing better than spending time with family" unaweza usinielewe.
 
Mkuu usikimbilie kuoa kabisa

Mimi nipo katika situation hiyo hiyo, hakuna umuhimu wowote wa kukimbilia eti kuoa...kwanza wanawake wenyewe ndio hawa wa sikuhizi?

Tafuta Pesa...Kula bata...Saidia ndugu zako na wasiojiweza upate baraka.
Mkuu kumbe tuko wengi sana. safi sana bora mtu ulee Yatima. usaidie wajane. usaidie Wazee kuliko kulete maumivu ndani.

wengine tunajijua roho zetu nyepesi sana, kuliko kumkosea Mungu wako bora uepuke
 
Basi siku zoote nikiona avatar ina picha ya KAIMA nafikiri wewe ni KE,kumbe ni ME? basi unisamehe,ila nakuomba usiweke picha ya mwanamke tena jukwaani,sababu itasababisha sisi wenye **** tukupigie PUCHU au vipi?
Karanja nenda PM
 
Mkuu unaona eeh? mimi huwa nakaa naangalia. nikijaribu kuangalia hata viongozi wa kidini ndio nachoka kabisa.
hakuna haja ya kuoa labda tupate mtu atushawishi kwa hoja nguvu ya hoja, mpaka dakika hii sijaona hata mmoja au uzzoefu kwa alieoa atwambie kwanini alioa na kwanini anataka sisi tuoe
 
nadhani family background haiwezi kutoa picha halisi Mkuu, angalia mifano yangu hapo juu imejikita wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…