Kuna sababu gani mimi kuoa?

Kama maziwa yanapatikana mitaani na nyama mabuchani, kuna haja gani ya kufuga ng'ombe???

dah!! huu msemo alikuwa anapenda sana kuutumia lecturer wetu Mr. Zera....nimejikuta nimemkumbuka ghafla
 
Mkuu nitoe katoka mtizamo hasi unilete kwenye chanya, kwanini nioe?
Mimi mwenyewe naona haina haja ya kuolewa as long as napata vyote ninavyovitaka bila kubanwa na mtu anayeitwa mume,
pia kuolewa inamaanisha lazima niwe najishusha kwa mume, niwe nakaa nyumbani kwa muda mwingi, na cu compromise uhuru wangu mwingi tu for the sake of ndoa,
nikaona ni ujinga, ila nikatafakari tena upya nikasema mume ndio anaweza kuwa rafiki yako wa muda mrefu hata kama aki cheat, ndio watu mtakuwa wote hadi uzeeni na ku share matunda ya malezi yenu, nikaona kuolewa ni bora kwa maslahi ya muda mrefu
 
Hawa vijana shida tu
 
Kwenye mitandao humu wanaoandika na kuomba Msaada wa mawazo ni walio na matatizo tu....... wapo wengi sana ambao wana raha na amani na ndoa zao. Ni vile tu hakuna utamaduni humu wa watu kuja kujisifia ndoa zao au wapenzi wao.
Wake up
 
Dada asante sana kwa Ushauri na mawazo yako. hata mie bado niko katika dillema. natamani sana kuoa lkn kila nikikumbuka au nikiona matendo mabaya wafanyinayo wanandoa hakika sitamani tena kuwaza kuoa, japo uwezo wa kutunza mke na watoto namshukuru Mungu amenijalia lkn sasa kuchukua uamzi aisee nashindwa kabisa
 

Mimi naona unajielewa sana na uko mhalisia na unaishi kwenye ulimwengu wa walimwengu.

Siyo kila mtu anafaa kuwepo kwenye ndoa.
 
tunajisahaulisha juu ya positive impacts too.
 
Mimi naona unajielewa sana na uko mhalisia na unaishi kwenye ulimwengu wa walimwengu.

Siyo kila mtu anafaa kuwepo kwenye ndoa.
Mkuu mimi sijui kiswahili saaana. ila nahisi kama umenielewa kabisa nini namaanisha, na mie pia nadhani nimekuelewa ulivyosema,

ahsante sana. haya Mambo ni magumu saaana kaka. ndoa zimekua ni kama michezo ya kuigiza hivi.
ndoa inafungwa leo kesho kutwa mwenye ndoa anafumaniwa. ni hatari sana
 

Naam kaka, mie nimekupata vyema kabisa na nimeupenda mchukuo wako wa mambo.

Ndoa nyingi mno ni maigizo matupu na huu ujio wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ndo umerahisisha kuifanya hiyo taasisi kukosa maana.
 
Naam kaka, mie nimekupata vyema kabisa na nimeupenda mchukuo wako wa mambo.

Ndoa nyingi mno ni maigizo matupu na huu ujio wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ndo umerahisisha kuifanya hiyo taasisi kukosa maana.
yees

ndio maana mie nimewaza kuachana nayo kabisa. saivi nadhani nianze kutafakari baada ya kuachana kabisa nini sasa naweza kufanya? nilikua na ndoto toka zamani ya kuasili mtoto kabla sijapata mtoto,

bahati nzuri nimepata mtoto kabla sijaasili, nafikilia sasa nipate mwingine kisha ndio niasili au niasili kabla sijapata mwengine maana namuomba Mungu niwe na watoto watatu.

Mungu anisaidie niwe na tafakari Njema.

Mkuu Ngabu hizi ndoa hapana. wewe jaribu hata kusoma kwenye hili jukwaa tu, angalia kwa washikaji zako.
angalia kwa viongozi wa dini.
rudi viongozi wa kiserikali.
naichukia ndoa
 
Mkuu Ngabu hizi ndoa hapana. wewe jaribu hata kusoma kwenye hili jukwaa tu, angalia kwa washikaji zako.
angalia kwa viongozi wa dini.
rudi viongozi wa kiserikali.
naichukia ndoa

Nakuelewa mno kaka. Nakuelewa sana tu.

Na yote niliyoyaongea nimeyaongea kutokana na uzoefu wangu mwenyewe.
 
Acha kusaliti nawe hutasalitiwa maana,mungu hukupa yule wa kufanana nae upo hapo
 
Na hata ukioa utapata mzinifu mwenzio na ukiacha utajuta sana baadae kwa yatakayo kukuta. TAFAKARI CHUKUA HATUA. ......
 
Upe moyo wako haja yake, ikiwa waona huwezi na hutaki hunabudi kufanya yamoyoni.
 
Hahahaa kaazi kweli kweli!

Hivi kweli hadi karne hii watu bado mnaamini huo upuuzi wa mungu hivi mungi vile?
Utani au dharau juu ya neon MUNGU ningekusihi uache,MUNGU sio Magufuli hata umfanyie mzaha na mjadala ndani ya Jf,ukiona umemzoea sana endelea mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…