Miaka 30 na iliyopita mtumishi wa Mungu Askofu Stephano Moshi wa KKKT alipata maono...Kilimanjaro Christian Medical Centre kwa kushirikiana na wengine akiwemo Prof Otto Walter hospitali hii mashuhuri na aina yake ikajengwa...ikakua.
Leo hii KCMC imekuwa makao ya mapepo na wachawi wenye uchu wa madaraka , mafisadi. Prof John Shao anainajisi KCMC ili kulinda cheo chake. Waganga wapiga ramli wanacheza na kuweka tunguli, kisa cheo!
Prof Shao amekuwa kiongozi hapa kwa zaidi ya miaka 10. Mwanzoni alifanya mema sasa hivi amenogewa hataki kuondoka...patamu pesa, wanawake, madaraka.
KCMC imekuwa danguro....viongozi kuzaa na watumishi...hakuna maadili tena. Waliokuwa wakisali kutwa kwa ajili KCMC wameondoka , wamestaafu...msarakambo
1. Prof Shao mwaka 2006 alifukuza kundi la madaktari bingwa waliohoji ukomo wa uongozi wake. Watu hawa wakiwemo Dr Ole, Prof Mlay...walijitolea muda kufundisha chuo cha madaktari na kuiweka KCMC ilipo.
kosa lao ..walihoji uongozi wa Shao kila mmoja ...alisambaratishwa..Mbeya rufaa mradi mabingwa walijikuta wakiwa njiani..
2. Kwa kushirikiana na watiifu wachache amekuwa akijipatia 10% toka kila mradi wa research.
3. TAKUKURU mwaka 2009 walifanya utafiti na kukuta uozo mkubwa katika ulaji wa mishahara ya serikali na forgery ya majina ya watumishi wanaolipwa na serikali. kwa mfano Dr Anna Mushi aliyeondoka siku nyingi KCMC eti hadi 2009 yuko kwenye payroll wengine hata marehemu.
4. Viongozi wa Wizara wanapolalamikiwa wakifika KCMC huzibwa midomo kwa pesa..
5. Viongozi wa kanisa nao wametumbukia kwenye mkumbo hupewa fedha nao hukaa kimya.
6. Wastaafu watumishi wa KCMC karibu wote wanalia na kusaga meno hakuna mfumo wa pensheni zao zimepotea.
7. Mwanae asiyejua kukamilisha sentensi ya kiingereza anapewa cheo cha u head wa IT, jamani muogopeni Mungu.
Prof Shao ni mungu mtu hakuna wa kumgusa si Ask Malasusa wala nani anaendesha KCMC anavyotaka.
Ndugu zangu tuiombee KCMC
Sasa baada ya kashfa ya TAKUKURU 2009...amefukuza madakatari wengine bingwa akiwa na wasiwasi nao...
Hii ndio KCMC ya vitisho, mambo ya giza, ubadhirifu wa pensehni n.k