Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

Wahusika wanakwambia hawajawahi kuona ndege wala helcopter kwenye eneo hilo iwe kwa kutua ama kupita karibu

Kwa hiyo kusema kuna watu sijui wanabeba wanyama ndani ya eneo hilo ama wanabeba madini ndani ya eneo hlo wenyeji wenyewe wanakataa.

Sababu ni eneo kubwa sana lenye ulinzi mkali mno na hakuna uwanja wa ndege wala barabara za magari zinazoingia eneo hilo.

Na baadhi ya waliofanya tafiti kuhusu eneo hilo wanakwambia hata kwenye google map au ukitumia satelite huna utakachokiona inshort ni hidden place
Sasa kama ni hidden place nani atakuwa na taarifa zaidi ya hao wanaolificha? Itoshe kusema tu kwamba pengine ndo lango la kuingilia kuzimu
 
Kuna shehena ya hifadhi ya madini ambayo unaweza kuokota Kama mawe ya kawaida

Wanaficha wakubwa ndio wanafika huko ndio maana Kikwete alienda kujenga dabaga hotel uko Serengeti.

Nyerere alisema yasichimbwe mpaka watu wasome ndio waje wachimbe

Ila utawala wa Mkapa na Kikwete waliiba Sana haya madini na kutorosha pamoja na viungo vya wanyama mbali mbali!!

Hata Sasa kazi bado inaendelea
kwahiyo mzigo upo wa kutosha eneo hilo?
 
Back
Top Bottom