Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

Wahusika wanakwambia hawajawahi kuona ndege wala helcopter kwenye eneo hilo iwe kwa kutua ama kupita karibu

Kwa hiyo kusema kuna watu sijui wanabeba wanyama ndani ya eneo hilo ama wanabeba madini ndani ya eneo hlo wenyeji wenyewe wanakataa.

Sababu ni eneo kubwa sana lenye ulinzi mkali mno na hakuna uwanja wa ndege wala barabara za magari zinazoingia eneo hilo.

Na baadhi ya waliofanya tafiti kuhusu eneo hilo wanakwambia hata kwenye google map au ukitumia satelite huna utakachokiona inshort ni hidden place
Hilo eneo linalindwa na watu gani?
 
Kuna uzi ulishawahi kuletwa humu kuhusiana na eneo hilo, kwa mujibu wa mleta mada alisema eneo hilo kuna hazina kubwa sana ya madini imegunduliwa (dhahabu au almasi) sikumbuki vizuri. Yanasafirishwa kwenda nje ya nchi. Tanzania hatuna chetu hapo pashauzwa kitambo sana.

Hiyo ni kwamujibu wa mleta mada
Nipe link tafadhari🙏🏾
 
Umesema Hawa warusi wapo wapi
unaijua project ya uvunaji uranium tanzania iko wap....mzee wa awamu flani alienda hadi kuzindua mradi....porojo zikawa nyingi sana ooh...ni sehemu ndogo tuu...ila ukweli ni km za kutosha ...wakubwa wameshagawana vitalu huku watu wanataka kuchimba uranium ndani ya hifadhi kabisa.
 
Heb ongezea kidogo nyama maana wew pekee ndo umekuja na wazo la tofauti lenye kuustua kidog ubongo.
 
Heb ongezea kidogo nyama maana wew pekee ndo umekuja na wazo la tofauti lenye kuustua kidog ubongo.
project ipo complicate kidogo thus kuna utata mwingi licha ya kuanza miaka hiyo ya 2007 lakin hadi leo bado mambo hayaendi sana mana wataalamu wanapishana juu ya utaalamu wa uvunaji huo ndani ya hifadhi na ecology ya hifadhi....ingawa kuna lobbing kubwa inafanyika...we unadhani jambo la kawaida kuqaona hadi warusi kwenye mkutano wa chama..bila shaka walitoa hadi salamu kutoka urusi juzi juzi hapo.
 
Hiyo ni Selous Game Reserve sio Serengeti
 
Ilo eneo lipo na lipo eneo la kaskazin mwa mbuga.
Eneo ilo sio Tanzania kuna Taifa kubwa la wavaa Kobasi wamelinunua kwa Dollar Trilion 980.
Kuna uwanja wa ndege mkubwa sana na ndege apo zinatua zile zisizoonekana kwa macho zinabeba Tembo,Twiga,kasongo na Nyati zinapeleka kwa wavaa kobasi
Dollar trillion 980 🤣🤣🤣 unaijua hiyo pesa wewe..
Alaf Dunia Kijiji hii zama hizi hazina Siri za ivo tena
 
Umerusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki. Wakija wahusika hapatakalika hapa.View attachment 3364595
Lazima tutoe tamko
20250530_024905.jpg
 
Chai!...japokuwa uchimbaji mdogo wa dhahabu uliwahi kufanyika hapo awali katika Kilima cha Kilimafedha, ambacho sasa kipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Kama kuna uwepo wa dhahabu inatosha
 
Back
Top Bottom