Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

Chadema pia hawajaliona? Basi Tanzania yangu iyendelee kuwa tulivu maana hayatuhusu!
 
Ila hii story niliisikia miaka mingi sana iliyopita
Kipindi waomani walikuwa wanatembea Peku kwa kukatazwa na Qaboos kuvaa viatu
Vizuri mzee tupe link inayosema tulikatazwa kuvaa viatu. Aliyofanya HM sultan Qaboos nyinyi hamkuyafanya tangu 1961
Come to oman and see for your self
 
Vizuri mzee tupe link inayosema tulikatazwa kuvaa viatu. Aliyofanya HM sultan Qaboos nyinyi hamkuyafanya tangu 1961
Come to oman and see for your self
Oman hiyo ilikuwa historia tu na haifutiki maana mpaka Tz walikuwa wanatembea peku
Ila yamepita kwani leo Oman ni tofauti na ile

Mwaka 1987 Nilikuwa Oman na nilipita sehemu kadhaa ingawa ilikuwa bado sana na majembe yalikuwepo

Ila miaka ya hivi karibuni nimefika pia na kujionea mabadiliko

Kweli mmepiga hatua sana, kwa hiyo Airport tu ni balaa

Mji wa Muscat ni mzuri sana nimeuona na kutenbea
Nimependa majumba meupe, unaweza kuniambia kwanini mmeambiwa mpake rangi nyeupe?

Mwaka huu pia nakuja
Ila kuna barabara moja Ina mteremko mzuri sana katikati ya milima au nasema uongo?

Mko vizuri kwenye Omanization safi sana
 
Mambo vipi wadau,

Niende moja kwa moja kwenye swali ambalo huwa najiuliza sana lakini mpaka sasa sijapata majibu ya kueleweka au ya moja kwa moja.

Huenda kuna maeneo mengi sana duniani ambayo mpaka leo ambayo hayaruhusiwi kabisa kuingia ama kuyasogelea duniani unayoyajua kama area 51 nk.

Je unafahamu kuwa kuna eneo ndani ya Tanzania katika hifadhi ya taifa ya serengeti ambayo hakuna mtu yoyote anayeruhusiwa kuingia ama kusogelea?

Ni takribani mwezi toka nitembelee mbuga hiyo kwa mara ya kwanza katika maisha yangu (baada ya rafiki zangu kutoka Norway kutaka niwapeleke)

Nilijitahidi sana kutaka kujua kuhusu eneo hilo lakini nilichoambulia ni kufikishwa kwenye fensi ya kwanza tu ya eneo husika ambayo ni restricted kusogea zaidi ya hapo na hakuna kiunzi kimoja.

Kwenye kutafiti kwa ma guider wengi nao walikuwa watupu kila unae muuliza anakupa story tofauti je kuna ambae anajua katikati ya hifadhi ya taifa ya serengeti kuna nini atujulishe huenda humu ikawa rahisi sababu hatujuani?

Maana ni eneo ambalo hata kwenye google map limefutwa na kuna ulinzi mkali mno

Reason ya kuuliza na kutaka kujua ni kupenda kujifunza mambo mampya na si vinginevyo
Huko ndiko wanatunzwa kina Ben Saanane et al
 
Hongera sisiem na Mzee Mwinnyi.
Hakika wanasisiem wanatakiwa kuwa gerezani Kama sio kunyongwa.
 
Yako mambo ni sahihi kuwa kama yalivyo. Ni kama Stori ya Bob Lazar miaka ya 1980's kuhusu habari za S4 na stuffs nyingine.
 
niliwahi kusikikia walevi wa baa fulani nilikua nimeenda kupata ulabu kidogo nilikua nshaanza kulewa ila niliweza kusikia mazungumzo..kwamba hapo Kuna madini mengi ya dhahabu na mengine yenye thamani Kubwa, pia walevi hao walikua wanasema kuna mama mmoja hivi "kashawapa" nilisikia neno mitalu sijui vetalu , wale watu ambao wanaishi kwenye nchi yenye herufi 3 za silabi kuu.....ukiacha hio hio sehem tu yenyewe ina utajiri mkubwa wa vivutio vya asili vya ajabu ...gafla akaja muudumu wa bar mwenye matako makubwa basi na stori zao zikaishia kwenye mitako ..nikaendelea kupiga ulabu huku nikitafakari niliyosikia
 
Jana jioni nmekutana na jamaa yangu ambaye tulipotezana kwa muda fulani kama miaka 2 alikuwa anafanya kazi huko naye nilipomgusia swala hilo alinijibu haya japo alikiri kujua eneo helo lakini miaka yake yote 10 ya kazi hajawahi kuingia.

1. Kuna hifadhi nyingine kubwa ipo ambayo hutunzwa wanyama adimu kutoweka kama faru weusi na viumbe wengine na maeneo hayo yanaulinzi huo mkali na yameondolewa kwenye ramani sababu ya kuzuia ujangili na uvamizi.

2.uwepo wa uhifadhi mkubwa wa madini ambayo nchi kama nchi walikubaliana kutokuyachimba au kuuza kwa yeyote kwa kipindi cha miaka fulani.

3. Kuwepo kwa kambi za siri za ufundishaji wa mafunzo ya intelligence katika nchi.

All in all nkayakubali japo hakunijibu kiurefu akapokea simu flani na kujifanya yuko bussy na kutoweka kwenye mazngira yasiyoeleweka.

Hapo ndo nkapata uhakika wa atakayenijibu swali langu ni mtu aliyevaa mask au anayeplay as anonymous only
Hapa unadanganya, vyuo vya inteligence ni Mbweni na Zanzibar tu, ogopa matapeli.

Hiyo Ngorongoro crater ina mamlaka yake kabisa na ni urithi wa dunia haipo chini ya Tanapa.

Unaungaunga tu vistory vya kijiweni.
 
Oman hiyo ilikuwa historia tu na haifutiki maana mpaka Tz walikuwa wanatembea peku
Ila yamepita kwani leo Oman ni tofauti na ile

Mwaka 1987 Nilikuwa Oman na nilipita sehemu kadhaa ingawa ilikuwa bado sana na majembe yalikuwepo

Ila miaka ya hivi karibuni nimefika pia na kujionea mabadiliko

Kweli mmepiga hatua sana, kwa hiyo Airport tu ni balaa

Mji wa Muscat ni mzuri sana nimeuona na kutenbea
Nimependa majumba meupe, unaweza kuniambia kwanini mmeambiwa mpake rangi nyeupe?

Mwaka huu pia nakuja
Ila kuna barabara moja Ina mteremko mzuri sana katikati ya milima au nasema uongo?

Mko vizuri kwenye Omanization safi sana
Karibu wakati wowote mzee
 
Hapa unadanganya, vyuo vya inteligence ni Mbweni na Zanzibar tu, ogopa matapeli.

Hiyo Ngorongoro crater ina mamlaka yake kabisa na ni urithi wa dunia haipo chini ya Tanapa.

Unaungaunga tu vistory vya kijiweni.
Hebu wewe mwenye vistory vya UDSM tupe vistori vyako vya kisomi
 
Vizuri mzee tupe link inayosema tulikatazwa kuvaa viatu. Aliyofanya HM sultan Qaboos nyinyi hamkuyafanya tangu 1961
Come to oman and see for your self
Waropokaji Hawajui Chochote Akhui Achana Nao Usipoteze Muda Wako
 
Back
Top Bottom