Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,275
- 2,976
Tatizo nimeisahau heading ya ile thread mkuu ni kama miaka 2 iliyopita hivi. Sema ngoja nijaribu kuu search kwenye subscribed thread.Nipe link tafadhari🙏🏾
Tatizo nimeisahau heading ya ile thread mkuu ni kama miaka 2 iliyopita hivi. Sema ngoja nijaribu kuu search kwenye subscribed thread.Nipe link tafadhari🙏🏾
Kama kuna uwepo wa dhahabu inatosha
hakuna kitu kinaitwa hivyo kwa sasa....na hakuna mahali nimsema hiyo ni serengeti...elewa hoja niliyokua naizungumzia na jamaa aliye nitagHiyo ni Selous Game Reserve sio Serengeti
Kikwete kajenga na hotel kabisa hukounaijua project ya uvunaji uranium tanzania iko wap....mzee wa awamu flani alienda hadi kuzindua mradi....porojo zikawa nyingi sana ooh...ni sehemu ndogo tuu...ila ukweli ni km za kutosha ...wakubwa wameshagawana vitalu huku watu wanataka kuchimba uranium ndani ya hifadhi kabisa.
Guide anaweza kuwa anaingia hifadhini na aapangiwa sehemu za kufika, na asijue kwa nini hafiki eneo flaniWe nae mnafiki tu, umeacha ku deal na guide na wenyeji wa hapo ama huko unakuja kusumbua watu humu..Sasa halafu mbona kama unawapangia watu Cha kujibu na ni kama una majibu tayari sema unapima upepo watu wanajua nini....
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hapo ndio makao makuu ya CCM
Seronera ndiyo iko katikati ya hifadhi ya serengeti? Maana yenyewe iko mwishoni kuelekea kuimaliza hifadhi ya serengeti upande wa arushaSiyo kamba kweli hii!!
Nimefika Seronera mara kadhaa toka 2005 na sijawahi sikia hii kitu.
Picha za hiyo fensi uliyoiona wewe ipo wapi?
Tumia akili!Seronera ndiyo iko katikati ya hifadhi ya serengeti? Maana yenyewe iko mwishoni kuelekea kuimaliza hifadhi ya serengeti upande wa arusha
Wewe ndo hujatumia akili maana umesema umefika seronera mara kadhaa hujawai sikia hiyo kitu, ndo nikakuuliza kwani seronera ndio katikati? Na fensi kwani alisema iko seronera? Ulikurupuka tu kwasababu unapitaga seronera.Tumia akili!
Kama ipo mwishoni maana yake ninapita katikati hadi kuifikia.
Au wewe unajua nafika hapo nikitokea wapi?
😂😂😂Kwa kuwa watu wametoa majibu kadha wa kadha ngoja Mimi nimpe jawabu mtoa mada.
Iko hivi; PALE NDIPO MODINYO WA JF WANAKOKAA NA KUFANYIA KAZI. HATA BICHWA KOMWE WALIMPIGA BANI WAKIWA KATIKA ENEO LILE.
Cc DIVISHENI FOO mzabzab Mbaga Jr Binti Sayunii
Kama ma guider hawakuwa na majibu hapa jukwaani hutaambulia kitu.Majibu wanayo Simba, Chui au tembo.Mambo vipi wadau,
Niende moja kwa moja kwenye swali ambalo huwa najiuliza sana lakini mpaka sasa sijapata majibu ya kueleweka au ya moja kwa moja.
Huenda kuna maeneo mengi sana duniani ambayo mpaka leo ambayo hayaruhusiwi kabisa kuingia ama kuyasogelea duniani unayoyajua kama area 51 nk.
Je unafahamu kuwa kuna eneo ndani ya Tanzania katika hifadhi ya taifa ya serengeti ambayo hakuna mtu yoyote anayeruhusiwa kuingia ama kusogelea?
Ni takribani mwezi toka nitembelee mbuga hiyo kwa mara ya kwanza katika maisha yangu (baada ya rafiki zangu kutoka Norway kutaka niwapeleke)
Nilijitahidi sana kutaka kujua kuhusu eneo hilo lakini nilichoambulia ni kufikishwa kwenye fensi ya kwanza tu ya eneo husika ambayo ni restricted kusogea zaidi ya hapo na hakuna kiunzi kimoja.
Kwenye kutafiti kwa ma guider wengi nao walikuwa watupu kila unae muuliza anakupa story tofauti je kuna ambae anajua katikati ya hifadhi ya taifa ya serengeti kuna nini atujulishe huenda humu ikawa rahisi sababu hatujuani?
Maana ni eneo ambalo hata kwenye google map limefutwa na kuna ulinzi mkali mno
Reason ya kuuliza na kutaka kujua ni kupenda kujifunza mambo mampya na si vinginevyo
Hayo yameisha sasa
Haka kapicha kanaweza kutumika pia kwenye hii comment yako.Ukiona mbuga zote za taifa, vijiji vyote vya ujamaa,Kambi zote za jeshi,shule kongwe za zamani, makanisa makongwe ya wakatoliki chini Pana hazina ya nchi.
Madini,malikale,nk.
Jiulize kwann wajanja wanajenga hotel za bei ghali mbugani mswahili ufiki ni only members tena toka nje ndo wateja then unakuta kuna hotel za fukweni bei kubwa mswahili hamudu.
Unazijua underground submarine hii Dunia ina michezo mingi sana,acha tu.
Tutashukuru kwa manufaa ya wengiHili suala nitalitolea ufafanuzi Leo jioni
Jaribu kuingia google maps au earth ucheki aerial view uone kuna nini.Mambo vipi wadau,