The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,209
We unajua wizi unaendelea mbugani?Usikue pasi na maarifa mkuu, nakuasa ujifunze usikue kindezi.

Huyu anaendekeza story za vijiweni na kuskia ila uhalisia ndani ys Serengeti hakuna kitu kama hicho. Nina uhakika na jibu langu 100%Siyo kamba kweli hii!!
Nimefika Seronera mara kadhaa toka 2005 na sijawahi sikia hii kitu.
Picha za hiyo fensi uliyoiona wewe ipo wapi?
Nani kasema kuna wizi??We unajua wizi unaendelea mbugani?
Hilo eneo mtu wangu wa Karibu ameniambia Kuna Hoteli kubwa ya kifahari. Ukiwa humo ndani unaweza kuona Hadi mahali walipo wannyama Kwa kuangalia screen na CCTV camera zilizopo mbugani Serengeti.Mambo vipi wadau,
Niende moja kwa moja kwenye swali ambalo huwa najiuliza sana lakini mpaka sasa sijapata majibu ya kueleweka au ya moja kwa moja.
Huenda kuna maeneo mengi sana duniani ambayo mpaka leo ambayo hayaruhusiwi kabisa kuingia ama kuyasogelea duniani unayoyajua kama area 51 nk.
Je unafahamu kuwa kuna eneo ndani ya Tanzania katika hifadhi ya taifa ya serengeti ambayo hakuna mtu yoyote anayeruhusiwa kuingia ama kusogelea?
Ni takribani mwezi toka nitembelee mbuga hiyo kwa mara ya kwanza katika maisha yangu (baada ya rafiki zangu kutoka Norway kutaka niwapeleke)
Nilijitahidi sana kutaka kujua kuhusu eneo hilo lakini nilichoambulia ni kufikishwa kwenye fensi ya kwanza tu ya eneo husika ambayo ni restricted kusogea zaidi ya hapo na hakuna kiunzi kimoja.
Kwenye kutafiti kwa ma guider wengi nao walikuwa watupu kila unae muuliza anakupa story tofauti je kuna ambae anajua katikati ya hifadhi ya taifa ya serengeti kuna nini atujulishe huenda humu ikawa rahisi sababu hatujuani?
Maana ni eneo ambalo hata kwenye google map limefutwa na kuna ulinzi mkali mno
Reason ya kuuliza na kutaka kujua ni kupenda kujifunza mambo mampya na si vinginevyo
Mkuu hiyo hotel haipo Serengeti fuatilia vizuri taarifa yako. Pia hilo eneo lenye hotel hiyo ni nje ya Serengeti.Hilo eneo mtu wangu wa Karibu ameniambia Kuna Hoteli kubwa ya kifahari. Ukiwa humo ndani unaweza kuona Hadi mahali walipo wannyama Kwa kuangalia screen na CCTV camera zilizopo mbugani Serengeti.
Ni Hoteli ya ghali sana. Wanaingia watu matajiri na viongozi wa juu wa nje ya nchi.
Pia Kuna uwanja wa ndege humo, ndege kubwa zinatua hapo.
Baadhi ya watu mashuhuri waliowahi kuingia hapo na kuondoka kimyakimya ni Barack Obama, John Sina na baadhi ya wachezaji wakubwa wa timu za England
Kuna Ghala la siri la serekali, huko ndiko pembe za ndovu, vifaru/nyara za serekali hufichwa.
Lile jasusi lililokuja kurekodi/kuongoza sinema ya royal tour lilipelekwa mpaka huko.
Ushahidi huu hapa.
View: https://youtu.be/TVqLnTkVjjk?si=ijFdwr035lr7ToPa
ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI kunamtu kaanza kukupekenyua pekenyua huku .Mambo vipi wadau,
Niende moja kwa moja kwenye swali ambalo huwa najiuliza sana lakini mpaka sasa sijapata majibu ya kueleweka au ya moja kwa moja.
Huenda kuna maeneo mengi sana duniani ambayo mpaka leo ambayo hayaruhusiwi kabisa kuingia ama kuyasogelea duniani unayoyajua kama area 51 nk.
Je unafahamu kuwa kuna eneo ndani ya Tanzania katika hifadhi ya taifa ya serengeti ambayo hakuna mtu yoyote anayeruhusiwa kuingia ama kusogelea?
Ni takribani mwezi toka nitembelee mbuga hiyo kwa mara ya kwanza katika maisha yangu (baada ya rafiki zangu kutoka Norway kutaka niwapeleke)
Nilijitahidi sana kutaka kujua kuhusu eneo hilo lakini nilichoambulia ni kufikishwa kwenye fensi ya kwanza tu ya eneo husika ambayo ni restricted kusogea zaidi ya hapo na hakuna kiunzi kimoja.
Kwenye kutafiti kwa ma guider wengi nao walikuwa watupu kila unae muuliza anakupa story tofauti je kuna ambae anajua katikati ya hifadhi ya taifa ya serengeti kuna nini atujulishe huenda humu ikawa rahisi sababu hatujuani?
Maana ni eneo ambalo hata kwenye google map limefutwa na kuna ulinzi mkali mno
Reason ya kuuliza na kutaka kujua ni kupenda kujifunza mambo mampya na si vinginevyo
Acha kutumia akili mnemba kwenye maswala nyetiNdiyo, kuna maeneo maalum ndani ya Mbuga ya Serengeti ambayo hayaruhusiwi kufikiwa na wageni bila kibali maalum. Hii ni kwa sababu mbalimbali:
1. Kulinda mazingira nyeti: Baadhi ya maeneo ni makazi ya wanyama wanaozaliana au kupumzika, hivyo kuzuia usumbufu ni muhimu kwa uhifadhi wao.
2. Usalama wa wageni: Maeneo yenye wanyama wakali au mazingira hatarishi hufungwa kwa wageni ili kuepuka hatari.
3. Kuzuia uharibifu wa mazingira: Kuendesha magari nje ya njia rasmi kunaweza kuharibu mimea na makazi ya wanyama, hivyo maeneo haya hufungwa ili kuhifadhi ikolojia.
4. Shughuli za utafiti: Baadhi ya maeneo hutengwa kwa ajili ya tafiti za kisayansi, na si ya wazi kwa umma.
Kwa ujumla, maeneo haya hayana kitu cha ajabu kisichoelezeka, bali ni sehemu za kawaida zinazolindwa kwa ajili ya uhifadhi wa wanyama na mazingira.
MWANANGU UNA ROHO MBAYA SANAROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI kunamtu kaanza kukupekenyua pekenyua huku .
Hapa ndipo tumefika! Akili mnemba inatulemaza! Kajiona kajibu weeeeAcha kutumia akili mnemba kwenye maswala nyeti
Itakupoteza
Namie unipelekepo huko nikasafishe macho love!
Hilo ndilo eneo alilouza Rais Ali Hassan Mwinyi kwa Waarabu. Kumbuka Mwinyi huyo ni Mzanzibari, Mama naye tutadikia vizuri baadaye. Hilo eneo alilouza Mwinyi ni mali ya Waarabu hata ukifika hapo na simu yako itakwambia uko UNITED ARAB EMIRATES. Hapo ndipo wanyama wetu wanapandia ndege kwenda Arabuni. Kuna kila haja MARAIS WAONDOLEWR IMMUNITY MAANA NI MBINU YA KUWAFANYA WAWE MIUNGU WATU.Mambo vipi wadau,