Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
😭😭😭Kuna uzi ulishawahi kuletwa humu kuhusiana na eneo hilo, kwa mujibu wa mleta mada alisema eneo hilo kuna hazina kubwa sana ya madini imegunduliwa (dhahabu au almasi) sikumbuki vizuri. Yanasafirishwa kwenda nje ya nchi. Tanzania hatuna chetu hapo pashauzwa kitambo sana.
Hiyo ni kwamujibu wa mleta mada