ulitaka kusema nini? have a nice weekend as from now.
Nilipofika hapo kwenye red nimekuona wewe ni mzushi na mzandiki, na unaandika kitu ambacho huna data wala information. Zitto alikuwepo kwenye hicho kipindi, na video yake ilishakuwa uploaded humu JF mara kadhaa...
Unapata faida gani kuandika habari za uongo?...
Nani amekwambia ZITTO yuko kwenye M4C? haujagundua kuwa anatembelea mikoa yote ambayo M4C hawakwenda. Huyu kijana yukoo kivyake kabisa na amewapnea huruma wwananchi ambao walitarajia kufikiwa na M4C lakini kwa ya sababu viongozi wa CHADEMA wa maeneo hayo wanaenda kinyume na matakwa ya wakubwa.
Mkuu kama unabishana na huyu mtu anayejiita tuko unapoteza mda kwake yeye nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi hebu jua hivyo kwanza.Mkuu iweke hyo video hapa ili point yako iwe sahihi,maana mie niliangalia kipindi hicho mpaka mwisho,yawezekana simjui zitto
Siku haipiti bila ya Chadema kumshambulia Kiongozi na Mbunge wao Zitto Kabwe kama hamumtaki si mumfukuze hiyo kazi ya kumfukuza ni yenu sio ya wana Jf na haiwezi kuwa delegated! Au mnadhani hiyo ni Kazi ya NEC ya CCM? Kama Zitto hawafai mtimueni mnayo mamlaka ya kisheria na kisiasa, Safari hii vaeni ujasiri kwenye Vikao vyenu maana mnapoulizwaga mwnye Madai dhidi ya Zitto kwenye Vikao Rasmi mnapiga Kimya akiomba kujibu madai ya kwenye Mitandao kwenye Vikao Rasmi Mbowe anatumia Mamlaka kumzuia sasa mnataka mambo ya Chama henu yajadiliwe kwenye Mitandao ya kijamii au wewe ni Mamluki wa kuvuruga Vyama kwa mgongo wa kujifanya Mfia chama?
Katibu Mkuu wa mgwanda Dr.W.Slaa aka babu, hampati Zitto kwa lolote, Zitto ni kijana, mwerevu, mchapa kazi, msomi, kwa juhudi zake pekee aliinyanyua chadema aka kadima na kuifikisha hapo ilipo.
Zitto hatujamuona wala kumsikia akifanya kazi za unaibu katibu mkuu wa chadema, sio saizi yake, huyo ni zaidi ya Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa chadema kwa pamoja.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
soma uzi wangu mpk mwisho then rudi tena hapa,maana tunaongelea watu wawili,dr slaa kapita humu kama mfano but our topic ni mwigulu na zitto,tusaidiane kujijenga kifkra ili tutoke hapa tulipo
Hapo ndipo wafuasi wa CDM wanapokuja juu kwa nini Zitto asifiwe na kina FaizaFoxy na Ritz ! Halafu hao hao kina Faiza na Ritz wawaponde viongozi wengine wa CDM! Sijawahi ona maandishi ya Faiza na Ritz wakimnanga kiongozi yoyote wa CCM hata kama amefanya vibaya (Munisahihishe kama nimeteleza).
Kumsifia Mh. Zitto sioni tatizo ila nadhani tatizo ni timing , nani anatoa sifa hizo na kwa malengo gani! Kwenye siasa kuna mambo mengi ambapo wachambuzi makini kama Faiza na Ritz mnajua nini mnafanya . Siwaiti wachambuzi makini kwa sifa ya nini mnachoandika bali kwa kutotetereka kutetea chama chenu CCM na viongozi wake kwa maovu wanayofanya .
uongo mwingine mtanyongwa slaa alikuwa wa tatu utasemaje alifanya vizuri.
magamba bwana,mmebaki kusema zitto ni mwanasiasa bora,mstaarabu,anajitambua n.k, vp mnapuza hoja ya mwenye post? vp akiongelewa zitto maganda mnaishia kumwita kila aina zuri la jina? na kama zitto yupo kwa manufaa ya nchi kama mnavyodai kuwa akigombea mtampa kula,mbona hatujawahi kuwasikia mkimuomba zitto aje kugombea kupitia chama cha magamba? mbona mkamtengezea mpk movie j.makamba kuwa umoja wa vyuo umempendekeza j.makamba ndo kapata kura nyng y hakuwa zitto? nachowaomba uvcc a.ka. lumumba camp iteni vyombo vya hbr na kumuomba zitto agombee urais kupitia chama chenu au binafsi hapo tuta amin kuwa kweli mnakubali lkn c kama sasa mnamzingua. cc,dada honey,simiyu,ze a.k.a makopo,ritz,kahaba wa mjini shonza.
[UMEHITIMISHA.]
Mwigulu sio propagandist ila ni gaidi na mfadhili wa ugaidi. Propaganda haifanywi kwa kufanya ugaidi na kubambikia watu kesi za kigaidi.Mh Kabwe ni mwanasiasa anayejitambua,Mwigulu ni propagandist! Huwezi kutengeneza mlinganyo hapa!
Mnamuona Dr. Slaa mbaya kwa sababu kawaumiza sana, tokea 2005 mpaka 2010 akiwa bungeni, 2011 mpaka sasa hivi anaendelea kuwaumiza akiwa nje ya bunge. Muda wa Zitto ukifika nae mtamuona mbaya kwenu, sasa hana madhara kwa CCM kama chama na ndio maana mnamuona mtu mzuri.
Hata siku moja usitegemee chama tawala kikasifia operations za chama cha upinzani.