Kuna nini kati ya Mwigulu na Zitto?

Kuna nini kati ya Mwigulu na Zitto?

Ukiona unashambuliwa na Timu ya Lumumba ujue wewe ndiye unayefaa kuongoza harakati za kweli za kuwang'oa.

Kamwe CCM wasitarajie CHADEMA kita-loose focus.

Adui wa CCM ni rafiki yetu na tutasimama nae hadi tone la mwisho tukiendelea kuimarisha misingi ya kitaasisi itakayozalisha maadui wengi zaidi wa CCM na mfumo wa kidhalimu

Kwa nini unadhani , watu wanaamini CHADEMA kita-loose focus? ni kwa sababu unadhani ZITTO ni rafiki wa CCM?
 
uongo mwingine mtanyongwa slaa alikuwa wa tatu utasemaje alifanya vizuri.

Aisee, hivi wewe topic alizofundisha mwalimu wako mwezi 1 uliopita ulikua unazikumbuka kweli? Pamoja na uchakachuaji uliofanya na NEC bado hiyo nafasi (Hapo kwenye Bold) najiuliza ulikoitoa! Yaani hata hilo tu nalo umesahau?
 
umesahau moja amabyo ndo inakufanya ``umpende``
Katibu Mkuu wa mgwanda Dr.W.Slaa aka babu, hampati Zitto kwa lolote, Zitto ni kijana, mwerevu, mchapa kazi, msomi, kwa juhudi zake pekee aliinyanyua chadema aka kadima na kuifikisha hapo ilipo.

Zitto hatujamuona wala kumsikia akifanya kazi za unaibu katibu mkuu wa chadema, sio saizi yake, huyo ni zaidi ya Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa chadema kwa pamoja.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
USHAURI KWA ZZK
Kwa kuwa hisia zetu kwako zimebadilika na umaarufu wako unapungua siku hadi siku nakushauri tafakari upya mienendo yako kisiasa na kijamii ili urudishe hadhi yako kisiasa.

ENZI ZILE
1) Kauli zako hazikuonyesha unafiki hasa katika kutete maslahi ya umma, wanyonge tulihisi tumepata mtetezi/msemaji but not any more, maybe now you're a superstar! huyajuwi tena matatizo yetu.
2) Matendo na kauli zako kwa sasa zina walakini, hivi kweli una lengo sawa na sisi la kuiimarisha cdm ili hatimaye tuchukuwe nchi 2015 au utuvuruge na kaanzisha chama kingine for your own benefits?
NITAMUUNGA MKONO MTU YOYOTE ANAYEPAMBANA KUPATA HAKI NDANI YA CHADEMA LAKINI SI KWA NJIA YA KUTAKA CDM IFE.

only the gifted ones may understand it
 
Chadema ni afadhali hata ya chaneta kina katiba lakini chadema kinaongozwa kama timu ya kombolela,
wewe mleta post hujui kwamba mwigulu ni kiboko na hana kashifa sasa unataka amseme kwa kipi.
 
Agree...wakati wenzake akili zao ziko dar, kilimanjaro na Arusha. Akili yake inaangaza Tanzania yote. Na sasa yuko magharibi vijijini ambako wenzake wala hawana mpango nako.

We akili zako za kichina, Dr Slaa alipoenda kufanya mkutano wa katiba kiomboi, dodoma,mbeya songea mtwara, lindi nako ni kaskazini??? Mbowe alipoenda mwanza, kakola, isaka, shinyanga,bukoba, musoma n.k kote hhuko ni kaskazini??? Hoja yenu hio ilishashindwa lia naona nyie ni wafa maji tu.
 
Jamani CCM kumejaa magarasha matupu. Ndiyo maana wote wanasema hawajui kwanini Tanzania ni masikini. Kuwalinganisha na Viongozi wa Chadema siyo sahihi. CCM si viongozi - ni watawala wababaishaji - kuwaita viongozi ni uchochezi, wanaweza kukupeleka mahakamani.
 
Huwezi kujifunza siasa nzuri bila kumwangalia zito z kabwe na pia vijana wa ccm nao siasa zao zina mkono mkubwa wa mh mwigulu, kufikia hatua yakuandika uzi kama huu nimefatilia mda sana siasa za hawa watu, na kwa nini zito awe kimya wakati chama kinaumizwa au viongozi wake wanashambuliwa?
Tatizo lipo and we need to fix it kabla ya 2015
Don't worry we have already fixed.
 
Mzee slaa mpaka anahofu kumwachia ofisi zito kwa kuhofu uwezo wake kutwa wanamwinda na kina ben badala wajenge hoja wao kukimbizana kimabavu.
 
Wala usipate taabu, tofauti ni kwamba wakati Zitto anajenga hoja kwenye M4C; Mwigilu yeye anafikiria vita vya msituni kuimaliza CDM.
Kabwe.jpg

images
 
Chadema ni afadhali hata ya chaneta kina katiba lakini chadema kinaongozwa kama timu ya kombolela,
wewe mleta post hujui kwamba mwigulu ni kiboko na hana kashifa sasa unataka amseme kwa kipi.

kama ilivyo Al-Shabab bora kuliko CCM
 
Mzee slaa mpaka anahofu kumwachia ofisi zito kwa kuhofu uwezo wake kutwa wanamwinda na kina ben badala wajenge hoja wao kukimbizana kimabavu.

kama ilivyo Kikwete ofisi yake inalindwa na majini ya sheikh Yahya. Ma bodyguard wawili, mmoja wa majini
 
Wala usipate taabu, tofauti ni kwamba wakati Zitto anajenga hoja kwenye M4C; Mwigilu yeye anafikiria vita vya msituni kuimaliza CDM.
Kabwe.jpg

images

Nani amekwambia ZITTO yuko kwenye M4C? haujagundua kuwa anatembelea mikoa yote ambayo M4C hawakwenda. Huyu kijana yukoo kivyake kabisa na amewapnea huruma wwananchi ambao walitarajia kufikiwa na M4C lakini kwa ya sababu viongozi wa CHADEMA wa maeneo hayo wanaenda kinyume na matakwa ya wakubwa.
 
Wala usipate taabu, tofauti ni kwamba wakati Zitto anajenga hoja kwenye M4C; Mwigilu yeye anafikiria vita vya msituni kuimaliza CDM.
Kabwe.jpg

images

Mkuu, JKT wanafanya mazoezi ya kijeshi siyo kuhutubia mikutano ya siasa. Hapo Mwigullu alikuwa JKT.
 
Nani amekwambia ZITTO yuko kwenye M4C? haujagundua kuwa anatembelea mikoa yote ambayo M4C hawakwenda. Huyu kijana yukoo kivyake kabisa na amewapnea huruma wwananchi ambao walitarajia kufikiwa na M4C lakini kwa ya sababu viongozi wa CHADEMA wa maeneo hayo wanaenda kinyume na matakwa ya wakubwa.

Mwenyekiti wa ndiye aliyezindua kanda zote na kufanya mikutano

Mikutano ya M4C pia imefanyika ndani ya Mikoa ya kanda ya Magharibi.Acha upotoshaji
 
Back
Top Bottom