Kuna nini kati ya Mwigulu na Zitto?

Kuna nini kati ya Mwigulu na Zitto?

Zitto ni mwanasiasa mwerevu mno, mweny kuzingatia utaratibu na itifaki pekee, na pia ana uzoefu wa kutosha ktk uongoz kutokana na upeo na utendaji wake kwa umma. Mwigulu amejikuta maji ya m2ngi kwa kujua fika kuwa akianza choko na Zitto, zaid atakachoambulia ni fedheha na aibu hata zaid alizonazo sasa iv. mwigulu kaogopa, maana akiliamsha, hataeza kuhimili.

Yote yanawezekana lakini wenye siri kubwa ni wao wawili,mie napenda sana siasa za mwigulu ziwe kama za zito,ili tuepushe mihemka,mfano dr k,mkumbo ni msomi mzuri sana lakini kwa siasa za mwigulu wameshindwa hata kukaa pamoja ili kuangalia mkoa wao una challange gani ambazo wanaweza kuzifanyia kazi zikaokoa jamii kubwa zaidi,ukisia kitila yupo singida basi kesho mwigu nae anapita kule kule ama kumuonya na kumtishia,hapo tunajenga au tunabomoa?
 
hizi ndiyo changamoto kubwa nazoziongelea hapa,hakuna mkutano wa zitto kabwe uliokutwa na dhahama ya mabomu au kuzuiwa na police ni mara chache sana,na wala hakuna mkutano wowote wa mwigulu uliowahi kupoteza maisha ya watanzania wengi kama ilivyotokea arusha,moro,mbeya, iringa,singida,mwanza,kama haya yote yanatokea kwa nini tusihoji?

Kama kuna makubaliano fulani ambayo mimi na ww hatuyajui kati ya mwigu na zitto why yasifanyike kwa vyama vyote yakihusisha viongozi wote wa chama na serikali ili tuokoe wazazi wetu,watoto wetu,wake zetu,bibi zetu wasiendelee kuuwawa?

Mkuu, ZITTO na MWIGULLU wanafanya mikutano ya kistaarabu, sasa unategemea watu wanafunga Kamera tayari kijirekodi kuwa wamelipuliwa unategemea nini? ulishasikia CDM wamefunga Kamera kwenye mkutano wowote zaidi ya ule wa Arusha ambao walijiandaa kuwahadaa watanzania kuwa wamelipuliwa kumbe wamejilipua wewe. Kweli kama walipaniwa kuuwawa, ilikuwaje bomu likawakosa viongozi wakuu? tuache kupotezeana muda na uzushi wa CHADEMA.
 
Mh Kabwe ni mwanasiasa anayejitambua,Mwigulu ni propagandist! Huwezi kutengeneza mlinganyo hapa!

ni kweli kabisa na hata ukiangalia vitu ambavyo watu hawa wanavyoibua katika Media kwa maslahi ya Taifa, utaona tofauti.
ngoja waje wale wenye vyama vyao ....... usikie comment zao
 
Katika mda tofauti watu hawa wamekuwa wakialikwa kwenye vipindi vya Tv kwa pamoja ila kuna mda mmoja nashindwe kutokea<mara nyingi watangazaji husingizi foleni,kuwa mgeni wetu kashindwa kuja sababu ya foleni,mfano,kuna siku star tv waliwaalika naibu katibu mkuu wa cuf mtatiro,naibu katibu mkuu wa chadema zitto,na naibu katibu mkuu wa ccm mwigulu ila mh zitto kabwe hakutokea na siku hyo mwigulu aliutangazia umma kuwa anao mkanda unaonyesha viongozi wa juu wa cdm wakupinga mauaji:

Nilipofika hapo kwenye red nimekuona wewe ni mzushi na mzandiki, na unaandika kitu ambacho huna data wala information. Zitto alikuwepo kwenye hicho kipindi, na video yake ilishakuwa uploaded humu JF mara kadhaa...

Unapata faida gani kuandika habari za uongo?...
 
Yote yanawezekana lakini wenye siri kubwa ni wao wawili,mie napenda sana siasa za mwigulu ziwe kama za zito,ili tuepushe mihemka,mfano dr k,mkumbo ni msomi mzuri sana lakini kwa siasa za mwigulu wameshindwa hata kukaa pamoja ili kuangalia mkoa wao una challange gani ambazo wanaweza kuzifanyia kazi zikaokoa jamii kubwa zaidi,ukisia kitila yupo singida basi kesho mwigu nae anapita kule kule ama kumuonya na kumtishia,hapo tunajenga au tunabomoa?

KITILA MKUMBO kama ana nia ya kusaidia Mkoa wake lazima akae na Mwigullu? Tupe mfano wa Kiongozi wa CHAEMA wa mkoa wowote aliyekaa meza moja na mbunge wa CCM kupanga mipango ya maendeleo. Kila siku wanaadamana Mwigullu atampata wapi?
 
Nilipofika hapo kwenye red nimekuona wewe ni mzushi na mzandiki, na unaandika kitu ambacho huna data wala information. Zitto alikuwepo kwenye hicho kipindi, na video yake ilishakuwa uploaded humu JF mara kadhaa...

Unapata faida gani kuandika habari za uongo?...

Hao ndiyo watu wa CDM, muwape somo wasiwe critical kwa kila jambo hata ambalo lina ushahidi.
 
wasalaam wanaJF?

Nimekuwa mfatiliaji sana wa siasa za hapa nyumbani kwa mda mrefu,ila sijawahi shuhudia mh mwigulu akimkosea adabu mh zitto kabwe kama anavyofanya kwa katibu mkuu dr slaa,hawa watu vyeo vyao viko sawa ndani ya vyama vyao,zitto kabwe ni naibu katibu mkuu wa chadema na mh mwigulu nae ni naibu katibu mkuu wa ccm.

Swali la msingi: watu hawa kuna makubaliano yoyote waliyoyafanya ili kutunziana heshima? sina nia ya kuwachonganisha zitto na mwigulu bali wao ni public figures na matendo yao yanafatiliwa kwa ukaribu mkubwa na watu mbali mbali nje na ndani ya nchi yetu.

Ombi: tusijadili maisha yao binafsi bali kazi zao na harakati zao ndani ya vyama vyao

Nikkukumbushe mkuu Ni huyuhuyu Mwigulu Nchemba ambaye aliwahi kuichanachana hadharani ndani ya kikao cha Bunge hotuba ya waziri wa fedha kivuli Zitto Kabwe na kusema kuwa ile hotuba ni takataka na yeye kama Mchumi Daraja la Kwanza wa Benki Kuu Ya Tanzania anaichambua bajeti kisomi na sio takataka ya Zitto. Kwa kutenda hilo peke yake sioni kama Zitto anaweza kuingia makubaliano yoyote na kiumbe kama hiki kinachoitwa Mwigulu. Lakini naweza kukubaliana na Matola aliyesema Zitto sio tishio sana kwa CCM kama walivyo Dr Slaa, Mnyika, Lissu, Mbowe na Halima Mdee.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hujatambua. Kiini cha swali ni kwa nini ni kipenzi cha CCM?

Zitto ni kipenzi cha wapenda maendeleo, ulivu, amani na umoja wa kitaifa. Watu wa namna hiyo ndani ya CCM ni wengi, ndio maana wanampenda Zitto. CCM haichukii upinzani au wapinzani, CCM inachukia siasa za kugawanya taifa kwa misingi ya kibaguzi na ulaghai...
 
  • Thanks
Reactions: kdc
uongo mwingine mtanyongwa slaa alikuwa wa tatu utasemaje alifanya vizuri.

kaka wa pili alikuwa nani? Ama kipindi cha uchaguzi hukuwepo na kibaya zaidi matokeo ulitumiwa na zuzu la ccm,kaa mkao wa kuliwa ndio mpango mzima.
 
Nikkukumbushe mkuu Ni huyuhuyu Mwigulu Nchemba ambaye aliwahi kuichanachana hadharani ndani ya kikao cha Bunge hotuba ya waziri wa fedha kivuli Zitto Kabwe na kusema kuwa ile hotuba ni takataka na yeye kama Mchumi Daraja la Kwanza wa Benki Kuu Ya Tanzania anaichambua bajeti kisomi na sio takataka ya Zitto. Kwa kutenda hilo peke yake sioni kama Zitto anaweza kuingia makubaliano yoyote na kiumbe kama hiki kinachoitwa Mwigulu. Lakini naweza kukubaliana na Matola aliyesema Zitto sio tishio sana kwa CCM kama walivyo Dr Slaa, Mnyika, Lissu, Mbowe na Halima Mdee.

Hakuna cha maana zaidi kwenye mada hii zaidi ya hawa vijana wawili kila mmoja kumkubali mwenzake ,mimi nawapongeza sana na mijadala mingi kuwahusu wao ni ushahidi tosha kuwa wako juu, na mambumbumbu ndiyo kaazi yetu kuwajadili.
 
ni kweli kabisa na hata ukiangalia vitu ambavyo watu hawa wanavyoibua katika Media kwa maslahi ya Taifa, utaona tofauti.
ngoja waje wale wenye vyama vyao ....... usikie comment zao

ulitaka kusema nini? have a nice weekend as from now.
 
Katibu Mkuu wa mgwanda Dr.W.Slaa aka babu, hampati Zitto kwa lolote, Zitto ni kijana, mwerevu, mchapa kazi, msomi, kwa juhudi zake pekee aliinyanyua chadema aka kadima na kuifikisha hapo ilipo.

Zitto hatujamuona wala kumsikia akifanya kazi za unaibu katibu mkuu wa chadema, sio saizi yake, huyo ni zaidi ya Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa chadema kwa pamoja.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mjane naona unatoa lako la moyoni ali-shababu
 
Tofauti kati ya Zitto na wanasiasa wengi ni Zitto anaweza kusimama peke yake bila chama wanasiasa wengi wa tanzania hawana uwezo huo wengi wao wanabebwa na vyama vyao.Zitto anapendwa na watu wa vyama vyote na wasiokua na vyama na nashukuru kua anafaham hilo vizuri.Lema,msigwa,mnyika na Nassary.
 
Zitto ni kipenzi cha wapenda maendeleo, ulivu, amani na umoja wa kitaifa. Watu wa namna hiyo ndani ya CCM ni wengi, ndio maana wanampenda Zitto. CCM haichukii upinzani au wapinzani, CCM inachukia siasa za kugawanya taifa kwa misingi ya kibaguzi na ulaghai...
Tatizo wapinzani wanajua wao ni kupinga kila kitu.Ndo maana wanashangaa Zitto kukubalika na wanaCCM
 
Katibu Mkuu wa mgwanda Dr.W.Slaa aka babu, hampati Zitto kwa lolote, Zitto ni kijana, mwerevu, mchapa kazi, msomi, kwa juhudi zake pekee aliinyanyua chadema aka kadima na kuifikisha hapo ilipo.

Zitto hatujamuona wala kumsikia akifanya kazi za unaibu katibu mkuu wa chadema, sio saizi yake, huyo ni zaidi ya Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa chadema kwa pamoja.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Hapo ndipo wafuasi wa CDM wanapokuja juu kwa nini Zitto asifiwe na kina FaizaFoxy na Ritz ! Halafu hao hao kina Faiza na Ritz wawaponde viongozi wengine wa CDM! Sijawahi ona maandishi ya Faiza na Ritz wakimnanga kiongozi yoyote wa CCM hata kama amefanya vibaya (Munisahihishe kama nimeteleza).

Kumsifia Mh. Zitto sioni tatizo ila nadhani tatizo ni timing , nani anatoa sifa hizo na kwa malengo gani! Kwenye siasa kuna mambo mengi ambapo wachambuzi makini kama Faiza na Ritz mnajua nini mnafanya . Siwaiti wachambuzi makini kwa sifa ya nini mnachoandika bali kwa kutotetereka kutetea chama chenu CCM na viongozi wake kwa maovu wanayofanya .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom