Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Mkapa alikuwa na matatizo lakini Kikwete kazidi mno. Kaah!!!! Hii ya katiba sasa itageuka aibu ya mwaka.
 
Kwenda Mwanza na Songea tulikuwa tunatumia wiki lakini hivi sasa tunaenda kwa siku moja je hilo nalo hulioni? Uchumi haupo hapo? acha kukariri kama kasuku. Hata hiyo blackBerry yako ya kichina imetokana na nguvu ya kiuchumi.

Ujenz wa miundombinu ni means of development sio maendeleo....ndo maana ukiangalia hyo miundombinu imewanufaisha kund lipi kweny jamii..
Eg mkulima wa mahind anaendlea kunyonywa bei ya mahind hata kama kuna Barabara...ananufaika mlanguzi na mweny fuso....sio hvyo tu unapokuwa na roads lkn unapandsha kodi za oil product....unajua anaumia nan? Wake up wewe uliyelala na kutekwa akil na manyangau ccm
 
Mkapa est craignant d'être lié à Kikwete failures.He est sans aucun doute le meilleur président de ce pays ait jamais eu.

umeandika nini sasa.andika lug a itakayoeleweka na wengi.nafahamu Kuwa hiyo lg unaifahamu ila kimuktadha sio mahala pake.
 
umeandika nini sasa.andika lug a itakayoeleweka na wengi.nafahamu Kuwa hiyo lg unaifahamu ila kimuktadha sio mahala pake.

Si eso es cierto, entonces JF tendrán misma demografía pero creo que será más que feliz de tener miembros de grupos diversos.
 
Shule inasaidia sana ungesoma hata kidogo tu,usinge jivua nguo hadharani.

ebu nieleweshe deni la taifa limekuathiri vipi? wacha jk akope tule bata tu. mwakani rais mwingine akichaguliwa nae anaendeleza kulikuza deni la taifa hamna shida .
 
Hivi jk ana uwezo gani wa kufananishwa na kikwete? hata lusinde na nkamia ni vichwa x100 ya huyo mswahili swahili wa msoga.
 
Kitendo cha kumualika Mwinyi na kumuacha Ben ni Muendelezo wa udini wa Ndugu yetu.
 
mimi binafsi sikuwahi kutarajia kikwete kuwa karibu na mkapa kwa sababu hakuwa chaguo lake bali chaguo la mtandao,na pia hivi karibuni wamegawnyika kwenye makundi ya urais kupitia ccm
 
Kikwete na mkapa ni mahasimu tangu mwaka 1995 pale mkapa alipokuwa mgombea Urais wakati kikwete ndiye alishinda kura za maoni, pamoja na hayo wakati mkapa anaondoka madarakani alikusudia kumuacha waziri mkuu wake ili maslahi yake yasivurugike,hivyo akawa anampigia debe Sumaye kwa kushirikiana na makada maarufu kama aki na mzee Steven Mashushanga alie kuwa mkuu wa mkoa wa morogoro.


Pamoja na jitihada za mkapa lkn Jakaya alishinda kwa kishindo kura za maoni mwaka 2005, na alipoingia madarakani. kitu cha kwanza kilikuwa kufuatilia kila uovu aliifanya Rais Mkapa,mfano ni ukamataji wa Fedha ambazo mkapa alificha uswis, inasemekana kuwa ndio yale mabilioni ya kikwete ambayo yalikuwa yanagawiwa kila mkoa.

Pia rais kikwete aliendelea kufuatilia mali za mkapa na kuzitaifisha,mfano ni ile nyumba ya mkapa yenye ghorofa zaidi ya ishirini ambayo ilijengwa Afrika ya kusini,nyumba hiyo hata mandela aligoma kuizindua kutokana na kujengwa na Fedha za ufisadi,

Pamoja na hayo ,watu walioliingiza hasara taifa kwa kushirikiana na Rais kikwete,kwa mfano,Mahalu Mgonja na Mramba,wote waliburuzwa mahakamani,lkn kila waoelekwapo mahakamani,ni mkapa anaeenda mahakamani na kuwa shahidi,rejea kesi ya mahalu.

Kutokana na hayo,mkapa amekuwa akitumia kila jinsi kuihujumu serikali ya rais Kikwete bila mafanikio,
Hivyo ni vigumu saaana kumkuta Rais Benjamin Mkapa akitoa ushirikiano kwa Kikwete.

Kwa misingi hiyo ndio maana Rais kikwete kafanya kila mbinu kuhakikisha Mkapa anaondolewa kamati kuu ili kupunguza nguvu yake ya kupandikiza Rais atakae kuja kulipiza kisasi.
 
kama kweli wewe ndiye unaekuja hapa jukwaani kuinadi ACT na haujui baba ako akidaiwa wewe unaathirika vipi basi kazi ipo.

Huyo mwehu hajui ndo tutaletewa mambo ya ulaya yalio tofaut na tamadun zetu na ndo itabidi tukubali ili tusamehewe maden
 
Back
Top Bottom