Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

ACT itajenga kiwanda cha ndege mwandiga. CCM wameshindwa kupageuza Dubai

kweli mkuu. ACT pia itajenga viwanja vya ndege, kiborloni, kibosho, machame, uru kishumundu, tengeru, usa river, arumeru, unga limited, sakina, sanawari, sombetini
 
kweli mkuu. ACT pia itajenga viwanja vya ndege, kiborloni, kibosho, machame, uru kishumundu, tengeru, usa river, arumeru, unga limited, sakina, sanawari, sombetini

Mkuu hii ni ahadi mpya? ACT pia imesema itanunua meli mpya kwa ajili ya mikoa ya dodoma, singida na tabora.

Akili ya zitto ni sawa na JK,MWIGULU, WASIRA,NAPE jumlisha magamba yooote

ACT HOYEEE
 
maendeleo gani?

Barabara: mwaka 1961 zilikuwa kilomita 1,300
- baada ya miaka 50 kilomita zilifikia takribani 6,000
- hivi sasa kilomita zimeshafikia 11,000
- mwaka 2015 inakadiliwa kufikia 18,000
- bilioni 450 za barabara ukilinganisha na bilioni 56 miaka 5 iliyopita
- kujenga miundombinu ya barabara.
Madaraja makubwa:
- Kati ya madaraja makubwa 5 yaliyoahidiwa mwaka 1969 kujengwa. Serikali ya awamu ya nne inajenga
madaraja 3 Kilombero, Malagarasi na Kigamboni. Mengine yalikuwa Kilumi la mto Mara lilijengwa Mwl.
Nyerere na Rufiji lilijengwa na Mkapa.
 
mkapa est craignant d'être lié à kikwete failures.he est sans aucun doute le meilleur président de ce pays ait jamais eu.

jamani tumieni lugha ya taifa, kila mtu akiandika kwa lugha anayojua yeye patatosha kweli?
 
Bravo bravo bravo, nice performance man, kama ni matusi yakurudie mwenyewe

Donnez-moi le respect que je deserve.Thanks pour admettre que la manière truth.By Pourquoi devriez-vous insulter? Vous ne me fait rien wrong.I profiter juste beaucoup de votre ignorance de la langue française ... ha ha ha ha ha ! C'est très drôle, vous savez!!
 
Unaonaje deni likikua lakini maendeleo yakaonekana? Hata Serikali pia inawapa mikopo wanafunzi ili wasome elimu ya juu(vyuo vikuu) kumbuka ni Kikwete ndiye aliyeamua hata wanafunzi wanaosoma vyuo vikuu binafsi nao wakopeshwe, Hapo kabla haikuwa hivyo

Ni sawa mkuu lakini hizo trilioni zote hazionekani kuleta impact ya uchumi kwani barabara zinajengwa chini ya kiwango,elimu haijali ubora,uwekezaji kwenye gesi utawapa faida makampuni ya nje zaidi,ufisadi na matumizi mabaya vinazidi kuongezeka!Itafika wakati tunalipa deni hatuna barabara,hatuna maji na tuna wasomi wengi wasiojitambua wenye vyeti lukuki pasipo maarifa!Tutalaaniwa na vizazi vijavyo kwa ubinafsi wetu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hata wewe umesomeshwa na deni hilohilo, na maandamano mnayofanya mnapita juu ya barabara hizohizo.
 
Donnez-moi le respect que je deserve.Thanks pour admettre que la manière truth.By Pourquoi devriez-vous insulter? Vous ne me fait rien wrong.I profiter juste beaucoup de votre ignorance de la langue française ... ha ha ha ha ha ! C'est très drôle, vous savez!!

cada uno sabe cómo usar google transalator así detener este comportamiento estúpido
 
Ni sawa mkuu lakini hizo trilioni zote hazionekani kuleta impact ya uchumi kwani barabara zinajengwa chini ya kiwango,elimu haijali ubora,uwekezaji kwenye gesi utawapa faida makampuni ya nje zaidi,ufisadi na matumizi mabaya vinazidi kuongezeka!Itafika wakati tunalipa deni hatuna barabara,hatuna maji na tuna wasomi wengi wasiojitambua wenye vyeti lukuki pasipo maarifa!Tutalaaniwa na vizazi vijavyo kwa ubinafsi wetu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
-Impact ya uchumi unayotaka wewe ni ipi unataka pesa utiliwe mvukoni?
-macho hayaoni basi hata akili nayo haoni?
-huoni hata wamachinga waliokuwa wanatembeza vitu mikononi hivi sasa wanamiliki bodaboda?
-inafikia watu wanamiliki vyombo vya usafiri mpaka inakuwa kero hiyo siyo impact ?
-mpaka bajaji na bodaboba zinapigwa marufuku kuingia mjini hiyo siyo impact?
-nchi gani katika nchi za EAC umesikia zimekuwa nyingi mpaka zimepigwa marufuku?
 
we taahira tuambie deni la taifa limekuathiri vipi?

Haya ni matokeo ya domestic violence, kichwa kinajaa maneno dhaifu na matusi! Utawezaje kupokea na kuchambua athari za deni la taifa hata kama nitakueleza wakati kichwa chako kimejaa vitu taka?Maana kinywa cha mtu hunena yaliyoujaza moyo wake!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
-Impact ya uchumi unayotaka wewe ni ipi unataka pesa utiliwe mvukoni?
-macho hayaoni basi hata akili nayo haoni?
-huoni hata wamachinga waliokuwa wanatembeza vitu mikononi hivi sasa wanamiliki bodaboda?
-inafikia watu wanamiliki vyombo vya usafiri mpaka inakuwa kero hiyo siyo impact ?
-mpaka bajaji na bodaboba zinapigwa marufuku kuingia mjini hiyo siyo impact?
-nchi gani katika nchi za EAC umesikia zimekuwa nyingi mpaka zimepigwa marufuku?

Itakuwa vigumu kukuelewesha kwa kuwa kwako wewe nchi ni Dar pekee,huku kwingine mikoani mnapaona kama mbuga za wanyama tu!Sijui kama unajua kuwa nchi hii hii kuna sehemu bado usafiri wa punda ndio mkombozi!Machinga wa kwetu hata mlo mmoja tu ni mashaka sembuse kununua boda boda?Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ni kweli hata mwendawazimu hawezi kuwalingainisha huyo na huyu
- Aliyejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Aliyejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Aliyeleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Aliyezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Aliyejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Aliyejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Aliyepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Aliyezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Aliyeanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Aliyewaunganishia umeme toka 12% alipochukua madaraka mpaka 21%
- Anayejenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Anayejenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Anayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Aliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Aliyeanzisha hospital ya kisasa ya kinywa
- Aliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Aliyejenga miundombinu ya afya
- Aliyeboresha huduma ya maji nchini
- Aliyeongeza ajira nchini

Umesahau.....ana list Ia wauza unga na meno ya tembo lkn uharifu huo unaongezeka

=Shule nying lkn elimu inadidimia....kavunja rekodi watoto wanaitimu drs la 7 hawajui kusoma.

=uchumi unakua lkn umaskin na deni la taifa linaongezeka...!!

=uzalishaji Wa Umeme umeongezeka lkn mgao wa umeme kila mwaka....teet feet

=ustaw Wa uchumi umedorola kwa ustad mkubwa...Anglia stability ya domestic currency since 2005...inflation

=kushamir kwa rushwa kuanzia kupata uongoz ndan ya chama chake...

=means of development kuitwa ndo maendeleo...ujenz wa miundombinu isiyonufaisha wananch wa kawaida...

=kushindwa kwa ujenz Wa reli ya kat ambayo ingepunguza gharama za uzalishaji....

=poor governance n transparency kweny mambo za nchi...twendelee au
 
Itakuwa vigumu kukuelewesha kwa kuwa kwako wewe nchi ni Dar pekee,huku kwingine mikoani mnapaona kama mbuga za wanyama tu!Sijui kama unajua kuwa nchi hii hii kuna sehemu bado usafiri wa punda ndio mkombozi!Machinga wa kwetu hata mlo mmoja tu ni mashaka sembuse kununua boda boda?Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kwenda Mwanza na Songea tulikuwa tunatumia wiki lakini hivi sasa tunaenda kwa siku moja je hilo nalo hulioni? Uchumi haupo hapo? acha kukariri kama kasuku. Hata hiyo blackBerry yako ya kichina imetokana na nguvu ya kiuchumi.

Tofautiipo ya wazi sana kwa wawili hawa . MzeeBenjamini Mkapa wakati wa utawala wake pamoja na mapungufu ambapo yeye kama mwanadam alikuwa nayo ilaaliweza kutamka na kusimamia kila alicho kitamka. Nakumbuka aliyotamka nakuyasimamia hadi kustaaaf kwake: Kilo ya sukari isivuke Tsh 600 na Kipande chasabuni kisivuke Tsh 50. Sasa hivi sina uhakika kama hata Tsh 50 bado inatumikaau laa. Mh.Kikwete yeye alitamka mengi na pengine kama sio yote hajasimia basini machache aliyoweza kusimamia. Sitayataja kwa kuwa mnayafahamu. Kwa mtizamohuu, wakuu hawa hawataweza kukaa pamoja. Maana yake ni kuwa mwingie akitafutasifa na mwingine anaogopa kupata aibu na lawama kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom