Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

kama kweli wewe ndiye unaekuja hapa jukwaani kuinadi ACT na haujui baba ako akidaiwa wewe unaathirika vipi basi kazi ipo.

deni la taifa halina athari yoyote. namshauri jk aendelee kukopa tule bata tu
 
Shime JK endelea kukopa Chama makini cha wasomi ACT Kitalipa deni lote. ACT ndo mbadala wa chadema na ccm. Bwahahahahah
 
deni la taifa hata likifikia trilioni 1000000000 linakuathiri vipi wewe kilaza?

Povu lote la nini mkuu?hizo namba ulizoandika hapo zinaku define ulivyo!Kwa wale waliosoma psychiatry wanajua hiyo ni nini,sitaki ku diagnose tatizo lako hadi hapo utakapotambua umuhimu wa elimu ya kujitambua...Take it from me kilaza

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
deni la taifa halina athari yoyote. namshauri jk aendelee kukopa tule bata tu

kama jamii yetu imejaa watu wa aina yote basi we have a long way to go.
umenifanya nizidi kukidharau chama unachokitetea kila siku kama nikiamini wenzio nao wana akili kama zako
 
ACT itaondoa deni la taifa. Italilipa lote ndani ya mwaka mmoja!

umeona eee . yani act itawalipa mshahara watanzania wote wasiokuwa na ajira.. deni la taofa litakuwa historia . .ACT OYEEEE
 
Ben kwa jinsi anavyojielewa, ingekua fedhea kwa wananchi kumuona sehemu ya ujinga unaondelea.
 
deni la taifa hata likifikia trilioni 1000000000 linakuathiri vipi wewe kilaza?

Ama kweli tuna wajinga wengi sana ndani ya lumumba hujui athari ya kuongezeka kwa deni la taifa? Naweza kukuita jinga lisilokua na fikra hata kidogo. Acha kuwaza kwa kutumia tumbo na na ma------ shugulisha ubongo wewe jinga.
 
kama jamii yetu imejaa watu wa aina yote basi we have a long way to go.
umenifanya nizidi kukidharau chama unachokitetea kila siku kama nikiamini wenzio nao wana akili kama zako

jibu swali, deni la taifa linakuathiri vipi?
 
Povu lote la nini mkuu?hizo namba ulizoandika hapo zinaku define ulivyo!Kwa wale waliosoma psychiatry wanajua hiyo ni nini,sitaki ku diagnose tatizo lako hadi hapo utakapotambua umuhimu wa elimu ya kujitambua...Take it from me kilaza

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

we taahira tuambie deni la taifa limekuathiri vipi?
 
Ama kweli tuna wajinga wengi sana ndani ya lumumba hujui athari ya kuongezeka kwa deni la taifa? Naweza kukuita jinga lisilokua na fikra hata kidogo. Acha kuwaza kwa kutumia tumbo na na ma------ shugulisha ubongo wewe jinga.

JK endelea kukopa tule bata, deni la taifa halituathiri kitu chochote
 
jibu swali, deni la taifa linakuathiri vipi?

vijana muwe mnatumia muda wenu kusoma na kuielewa nchi na mambo yake na sio kuhongwa viroba tu na kuparamia siasa.
yaani mtu unaejihusisha na siasa hujui deni la taifa linakuathiri vipi? hujui sehemu yako katika taifa hili?
kweli kazi tunayo.
rudi shule
 
Deni la taifa toka 6 trilioni tangu uhuru hadi 2005 kufikia 23 trilioni sasa katika kipindi cha miaka 9 tu!!!
Kutoka kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria hadi kushughulikiwa kwa mujibu wa fitna!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Unaonaje deni likikua lakini maendeleo yakaonekana? Hata Serikali pia inawapa mikopo wanafunzi ili wasome elimu ya juu(vyuo vikuu) kumbuka ni Kikwete ndiye aliyeamua hata wanafunzi wanaosoma vyuo vikuu binafsi nao wakopeshwe, Hapo kabla haikuwa hivyo

Huyo anataka sifa tena sile za kipuuzi. Angekuwa hajui kiswahili asingechangia hata kwa hicho kifaransa. Amesoma kwa kiswahili kisha akajibu kwa kifaransa ili kujionesha yuko juu. Nenda kwa kagame Tz hapa kufai.
 
vijana muwe mnatumia muda wenu kusoma na kuielewa nchi na mambo yake na sio kuhongwa viroba tu na kuparamia siasa.
yaani mtu unaejihusisha na siasa hujui deni la taifa linakuathiri vipi? hujui sehemu yako katika taifa hili?
kweli kazi tunayo.
rudi shule

bado hujajibu swali. deni la taifa limekuathiri vipi?
 
Back
Top Bottom