Kuna nini kati ya CHADEMA, Marekani, Ujerumani, Ubelgiji, Amnesty International na Kenya dhidi ya Usalama wa Tanzania?

Haki ndiyo itaimarisha uzalendo, Kama wengine wananyanyaswa lazima wataomba msaada kutoka kwingineko hata Kama masharti ya msaada yataathiri nchi,
 

Swali: Kuna nini nyuma ya Pazia kati ya CHADEMA, Marekani, Ujerumani, Ubeligiji, Amnesty International na Kenya dhidi ya Usalama wa Tanzania?

Jibu: CHADEMA walikua wawakilishi wa Marekani, Ujerumani, Ubeligiji, Amnesty International na Kenya kwenye bunge la Tanzania sasa wawakilishwa wametaharuki kukosa uwakilishi waliouzoea
 
..kama siyo rafiki kwanini tuna ofisi za ubalozi ktk nchi hizo?
Umewahi kujiuliza kwanini?? Rafiki yako akiingilia maisha yako binafsi na hadi ya familia yako na mkeo kuanza kutoa sifa nzuri za rafiki yako
Urafiki hupungua na kupelekea kufa kabisa
 

Una maana Magufuli ni kiongozi mzalendo na si ajabu akafutiliwa mbali, au siyo?

You are wrong. Huna macho makini ya kutazama na kuona..

Hakuna viongozi wazalendo ndani ya CCM and they will never be...!!
 
Hao wamekuwa recruited kuwafanyia kazi K.I.S kupitia Kigogo2014 ambaye pia ana deal na fichua Tanzania. Ushahidi ni moja ya document yakiuchunguzi kuhusu uchaguzi. Jiulize kwa nn hakukimbilia nchi nyingine zaid ya hzo!.
Mkuu,
Nyaraka (document) ipi ya kiuchunguzi inayowahusisha, unaweza kututandazia hapa kwenye jamvi?
 
Una maana Magufuli ni kiongozi mzalendo na si ajabu akafutiliwa mbali, au siyo?

You are wrong. Huna macho makini ya kutazama na kuona..

Hakuna viongozi wazalendo ndani ya CCM and they will never be...!!
Uzalendo ni kukimbilia Ulaya na kuwaomba wazungu wakusaidie
You are wrong brother
Narudia tena historia ni mwalimu
 
Kwanini wasiisaidie Tanzania kumtoa jiwe?
 
Hoja zako ni nzuri na ni sahihi ila nina uhakika somo linaeleweka na linafanyiwa kazi . Yaonyesha kilichokusudiwa kimeshindikana. Nyerere alisema mlinzi wa mtanzania ni mtanzania mwenyewe na hasa mzalendo.
 
Nasikia wanaitwa washirika wa maendeleo,kumbe sio marafiki zetu?.
 
MUungu ndo ajua
 

Kiongozi mzalendo alikuwa Nyerere tu nchi hii. Wengine wote ni wezi na walevi wa madaraka.
 
Umewahi kujiuliza kwanini?? Rafiki yako akiingilia Maisha yako binafsi na Hadi ya familia yako, Na MKEO kuanza kutoa sifa nzuri za rafiki yako
URAFI HUPUNGUA NA KUPELEKEA KUFA KABISA

Rafiki yako akianza kukuingilia mpaka jinsi unavyoishi na familia yako maana yake umeshindwa kujiongoza. kwa lugha ya mtaani tunasema wewe ni Bwege.
 
Maisha magumu Tz, cement sukari havishikiki, kwani wewe upo wapi?
 
China ndio rafiki wa Afrika?
 

Kuna nn nyuma ya pazia Kati ya ccm udikteta, ujamaa na China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…