Rais wa Ujerumani Frank Volt Steinmeier Kufanya Ziara ya Kiserikali Nchini Tanzania Mwisho wa Mwezi Oktoba

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Viongozi wa Nchi ya Ujerumani wataanza ziara rasmi za kiserikali barani Afrika wakilenga kukuza biashara, uwekezaji, maendelea na usalama na Bara La Afrika.

Kansela Olaf Schoz atatembelea Nigeria na Ghana huku Rais Frank Volt Steinmeier akitembelea Tanzania na Zambia ambapo pamoja na mambo mengine ataambatana na ujumbe wa wafanyabiashara.

View: https://twitter.com/SuphianJuma/status/1718555400801271942?t=leI7A56edlbtmlcp4YBRWw&s=19

My Take
Tanzania chini ya Samia inaibuk Kama Taifa lenye ushawishi mkubwa Kwa Dunia kiasi kwamba Viongozi wa Dunia wanaigombea Kama mpira.

Screenshot_20231027-175733_1.jpg
Screenshot_20231027-180107_1.jpg
Screenshot_20231027-180144_1.jpg
 
Nina Imani kutakuwa na makubaliano mengi au mashirikiano!

Na katika hayo tunaomba kuwe na makubaliano yatakayo gusa wananchi wakawaida, wanafunzi, wanao saka ajira, wafanyabiashara nk hasa ktk upande wa kupunguza mashart ya Visa kwa pande zote mbili kama walivyofanya kwa waturuki

Au walivyofanya Ghana na South Africa

10E69767-332A-4490-8664-B82EBBEC08CB.jpeg
 
Cheo Cha urais huko Germany ni ceremonial tu. Ingekuwa ni ziara ya chancellor wangalau. Hizo ni ziara za kupigia picha lakini impact itakuwa ndogo sana.
Una taka kusema cheo cha PM wa UK ni kikubwa kuliko Malkia?
 
Cheo Cha PM UK ndio kinafanya maamuzi ya kiserekali, Malkia hayupo kwenye maamuzi ya kiserekali. Hata hivyo ujeruman na UK ni tofauti kiutawala.
 
Subiria makubaliano yakifanyika ndio Utajua wewe ni mzima au mjinga
 
Viongozi wa Nchi ya Ujerumani wataanza ziara rasmi za kiserikali barani Afrika wakilenga kukuza biashara, uwekezaji, maendelea na usalama na Bara La Afrika.

Kansela Olaf Schoz atatembelea Nigeria na Ghana huku Rais Frank Volt Steinmeier akitembelea Tanzania na Zambia ambapo pamoja na mambo mengine ataambatana na ujumbe wa wafanyabiashara.

My Take
Tanzania chini ya Samia inaibuk Kama Taifa lenye ushawishi mkubwa Kwa Dunia kiasi kwamba Viongozi wa Dunia wanaigombea Kama mpira.
View attachment 2794830View attachment 2794831View attachment 2794832
Samia anaiweka Tanzania kwenye ramani ya kipekee sana kimaendeleo na kidiplomasia.

Kusema kweli Tanzania saivi inaangaliwa kipekee sana. Tukiendelea hivi tutafika mbali sana
 
Subiria makubaliano yakifanyika ndio Utajua wewe ni mzima au mjinga
Alikuja George Bush na Obama wakiwa Marais wa America, na hakuna kubwa la maana itakuwa huyo rais wa ujerumani tena kwa cheo ceremonial?! Sana sana akija ataishia kusaina miradi isiyofika hata $10m, na utekelezaji wake utakuwa wa kusuasua.

Tuna uzoefu na hizo ziara na ahadi kemkem zisizo na utakelezaji wa maana. Ww ndio Bado uko kwenye ujinga huo.
 
Labda wewe ndio hujui kama Kuna kikubwa kilichofanyika ,Uliza uambiwe basi kabla ya kuropoka.
 
Nothing special kulingana na vyanzo tulivyonavyo. Ni sawa na kujisifia umeongea na mjomba wako akakupa gunia mbili za maharage na mahindi, wakati una shamba la zaidi ya heka Tano! Utakuwa mwendawazimu kama utajisifia ujinga huo.
 
Cheo Cha urais huko Germany ni ceremonial tu. Ingekuwa ni ziara ya chancellor wangalau. Hizo ni ziara za kupigia picha lakini impact itakuwa ndogo sana.
Anakuja kama Mkuu wa nchi na sio mkuu wa Serikali, mkuu wa nchi yoyote duniani ni mkubwa sana kuliko unavyohisi
 
Nothing special kulingana na vyanzo tulivyonavyo. Ni sawa na kujisifia umeongea na mjomba wako akakupa gunia mbili za maharage na mahindi, wakati una shamba la zaidi ya heka Tano! Utakuwa mwendawazimu kama utajisifia ujinga huo.
Kuwa na vyanzo bila mtaji, Manpower na Technology hivyo vyanzo vyako vitakusaidia nini?
 
Anakuja kama Mkuu wa nchi na sio mkuu wa Serikali, mkuu wa nchi yoyote duniani ni mkubwa sana kuliko unavyohisi
Kama Bush na Obama ziara zao hazikuwa na tija kubwa hivyo, itakuwa huyo rais ambaye cheo chake hakina meno? Atakuja atatoa ahadi ambazo utekelezaji wake hata itumike nguvu kubwa kiasi gani haiwezi kufikia 30%
 
Back
Top Bottom