kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Naona kabisa hii sekta ikielekea kunishinda maana kila napoingia ni afadhali nilipotokaš„²
Au mimi sijaandikiwa kuwa na mwenza wa maisha, maana hii siyo hali ya kawaida kabisa kwa kijana mdogo kama mimi.
Naona kwasasa niachane na hii sekta nijikite kwenye masuala mengine ya msingi.