kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,185
- Thread starter
- #41
Acha tu wamejua kutukomesha🥲Hapa ilitakiwa emoj ya 😂 ni vile JF wanatukomesha kwa muda
Acha tu wamejua kutukomesha🥲Hapa ilitakiwa emoj ya 😂 ni vile JF wanatukomesha kwa muda
Jana nilikuwa naperuzi pinterest, nikaipenda picha nikaisave. Nataka niiweke avatar nikaona nawe unayo 😁Acha tu wamejua kutukomesha🥲
😅😅Pole zipo nyingine nzuri zaidi lakiniJana nilikuwa naperuzi pinterest, nikaipenda picha nikaisave. Nataka niiweke avatar nikaona nawe unayo 😁
Anyway achana na mapenzi
Yatakumaliza nguvu
Ukishaona unalia lia sana kwenye mapenzi. Ujue unahitaji reforms
Chukua tu huyo huyo ilimradi anapumua na anayo😅huyo hapana kwakweli
Nipasie mimi huo mpira nifunge goli kwa kichwa.Chukua tu huyo huyo ilimradi anapumua na anayo
Mtumishi hii Gesi mbona Kali.Nyuzi zako nyingi ni kulalamika tu. Always negative. Always a victim. Kuhangaika na Ma-ex
Kaa chini. Examine yourself. Yawezekana tatizo ni wewe. Na bila kujirekebisha utatombwa na wapita njia mpaka uchakae kmmk....
Bado unamkumbuka alokuoacha??Wala sijaingia kwingine nilikuwa nawaza tu kwa sauti
😂😂 we chukua mpira piga shuti kipa hayupoNipasie mimi huo mpira nifunge goli kwa kichwa.
Nimeshangaa sana, kuumizwa gani kwa muda mfupi namna hiyo😂😂Hajamaliza mwezi washambonda tena
Nimeshangaa sana, kuumizwa gani kwa muda mfupi namna hiyo😂😂
😂😂😂 ukimfata utaambiwa hahitaji mpenzi kwa sasa, ila anaumizwa papo hapo.Jiongezeni jamani au hadi mshikwe chululuu?
🤣🤣🤣🤣🤣 ilimradi tu mchanganyikiwe😂😂😂 ukimfata utaambiwa hahitaji mpenzi kwa sasa, ila anaumizwa papo hapo.
Aloo nyie watu hakika hamueleweki.
Ni lazima nikumbukeBado unamkumbuka alokuoacha??
Kwasasa sina hisiaChukua tu huyo huyo ilimradi anapumua na anayo
😀Hapa ilitakiwa emoj ya 😂 ni vile JF wanatukomesha kwa muda
Matikt yanapatika wapi huko Msumbiji kaskazini ?Pole sana
Usisahau kunywa maji mengi na kula matikiti kwa wingi
Kumbe hujamove on, mwamba akikuhitaji unamtunuku sio??Ni lazima nikumbuke