Kuna namna hii sekta imenikataa kabisa

Kuna namna hii sekta imenikataa kabisa

Wasiliana nami fundi mtata, hilo ni jambo dogo sana kwangu. Na mpaka sasa ramli inaonesha umefungwa. Na alie kufunga hatoki mbali, ni ndugu yako. Yule ulie badilishana nae namba za simu...
Nitafute nikusaidie.

+255729384756
Dokta Maganga, wa kigoma.
 
Kwani kuna shido😂
Najua uzi ni wako lakini siyo lazima ujibu kila kitu. Nilikuwa namjibu huyo mdau aliyetoa angalizo kuhusu ID yako ya mwanzo. Hata hivyo asante kwa kusikiliza maoni yake na kubadili ID maana hiyo ya mwanzo ilikuwa haiendani na wasifu wako kama unavyojipambanua humu!

Hii ya sasa unaendana nayo kabisa 100%. Hongera sana! 👏👏👏
 
Mtumishi hii Gesi mbona Kali.
Kama una shida ya gesi fika katika kituo chetu cha Tonny Kapola Gas Station Singida mjini. Bei zetu ni poa sana na gesi yetu haina mpinzani. Hebu sema Aimeeeen!

IMG-20250811-WA0021.jpg
 
Jana nilikuwa naperuzi pinterest, nikaipenda picha nikaisave. Nataka niiweke avatar nikaona nawe unayo 😁

Anyway achana na mapenzi
Yatakumaliza nguvu
Ukishaona unalia lia sana kwenye mapenzi. Ujue unahitaji reforms
No Reforms, No Election imefika mpaka kwenye mapenzi? 😳
 
Najua uzi ni wako lakini siyo lazima ujibu kila kitu. Nilikuwa namjibu huyo mdau aliyetoa angalizo kuhusu ID yako ya mwanzo. Hata hivyo asante kwa kusikiliza maoni yake na kubadili ID maana hiyo ya mwanzo ilikuwa haiendani na wasifu wako kama unavyojipambanua humu!

Hii ya sasa unaendana nayo kabisa 100%. Hongera sana! 👏👏👏
Haya
 
Back
Top Bottom