kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,185
- Thread starter
- #21
@
Asante dearJi refine wewe mwenyewe
Asante dearJi refine wewe mwenyewe
Siyo kweli tupo tofauti
Sina hilo tatizo mkuuJichunguze,huenda K yako inatoa kale kaharufu ka shombo.ndo maana wadau wanakukimbia
Asante kwa ushauri mzuriTafuta wa kwako mwenye kipato cha kawaida, kisha u-mtengeneze namna wewe unavyotaka awe.
HayaNyuzi zako nyingi ni kulalamika tu. Always negative. Always a victim. Kuhangaika na Ma-ex
Kaa chini. Examine yourself. Yawezekana tatizo ni wewe. Na bila kujirekebisha utatombwa na wapita njia mpaka uchakae kmmk....
Kwasababu wewe ni malaika au?umeshanijaribu mimi????
Usiachane na mapenzi eti kisa umeumizwa na watu. madam, jaribu kwanza kwangu mimi Powell Gonzalez huko kwingine utajisumbua furaha yako ni mimi!
Nope, I didn't mean malice.Kwasababu wewe ni malaika au?
Ukikosa kabisa, nipo hapa kukupa kampani ya hapa na paleAsante kwa ushauri mzuri
Keshabadili ID mkuu 😂Na katika harakati zako za kujicha uhalisia wako,ndio maana ukaamua kujiita waifu material ili tu iwe faraja kwako au kuficha uhalisia wako,
Wewe ni jinsia gani mkuu?Naona kabisa hii sekta ikielekea kunishinda maana kila napoingia ni afadhali nilipotoka🥲
Au mimi sijaandikiwa kuwa na mwenza wa maisha, maana hii siyo hali ya kawaida kabisa kwa kijana mdogo kama mimi.
Naona kwasasa niachane na hii sekta nijikite kwenye masuala mengine ya msingi.
Kuna uwezekano wakawa mtu mmoja?
Kama weweWewe ni jinsia gani mkuu?
Kwani kuna shido😂Keshabadili ID mkuu 😂
Hapa ilitakiwa emoj ya 😂 ni vile JF wanatukomesha kwa muda
Hajamaliza mwezi washambonda tenaImetokea lini tena hiyo?
Si juzikati ulisema upo kwenye healing process, hivyo huhitaji kua na mtu.
Hata mwezi haujaisha ushaumizwa tena??
Wala sijaingia kwingine nilikuwa nawaza tu kwa sautiImetokea lini tena hiyo?
Si juzikati ulisema upo kwenye healing process, hivyo huhitaji kua na mtu.
Hata mwezi haujaisha ushaumizwa tena??