Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,645
- 30,755
Inategemea na mtihani gani.Unadhani atakua kafaulu?
ushaona mtu anafanyia mtihani kwenye mvua?
Subutquuu...
Wa rescue service anaweza fanya mtihani wa practical kuokoa watu kwenye mvua.
Inategemea na mtihani gani.Unadhani atakua kafaulu?
ushaona mtu anafanyia mtihani kwenye mvua?
Subutquuu...
sawa mkuu.Inategemea na mtihani gani.
Wa rescue service anaweza fanya mtihani wa practical kuokoa watu kwenye mvua.
Mjumbe gani huyo? Huyu Gilbert A Massawe..?Mjumbe katoa yake asishambuliwe,
Huhitaji kuwa na focus ya utulivu wa hata 15% ya uwezo wako kutambua kuwa, huyu ni mjumbe kutoka kuzimu na anahitaji kupelekewa moto kwelikweli wa kukemewa....!someni kwa utulivu.
Absolutely, hakuna wa kumgusa kwa kuwa John Heche ni alama ya HAKI na Mungu Yehova tumwabuduye ni Mungu wa HAKI...Bwana Heche hakuna wakumgusa kuwa na amani narudia tena.
....ni Yesu Kristo na Amina 🙏🙏🙏tumfuate kwelikweliMwana kondoo ameshinda tumfuate.
Pathetic! Ni nani anayehujumu uchumi wa Tanzania more than Serikali ya CCM? Kuwapa label ya ugaidi raia ambao sio magaidi hakuharibu image ya nchi kwenye macho ya potential tourists?Kila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
Mmeshapeleka barua Fifa? oky😄Pathetic! Ni nani anayehujumu uchumi wa Tanzania more than Serikali ya CCM? Kuwapa label ya ugaidi raia ambao sio magaidi hakuharibu image ya nchi kwenye macho ya potential tourists?
Sio FIFA tu. We will warn as many foreigners as we possibly can. We can’t afford to see uninformed foreigners get hurt by Tanzanian terrorists!Mmeshapeleka barua Fifa? oky😄
Wabongo mnapenda speculation and hear saySi umtaje unazunguka zunguka nini
Mnamteka au abambikwe kesi?Mmeshapeleka barua Fifa? oky😄
Usiwaamini watanganyika.Duh kwa imani watu waliyonayo juu ya huyo Heche kama mtapita nae itakuwa kazi nzito sana ..mara mia TAL japo naye anapendwa na anahaki ya kuishi ila Heche sijui vijana mtawaambia nini ..kuanzia hapo Tarime mpaka huku Kigamboni.
Nyie ni wapuuzi tu msiostaarabikaKila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
Kinachosikitisha ni kuwa mtu anahukumiwa nje ya mahakama na anahukumiwa kifo kabisaa.Duh kwa imani watu waliyonayo juu ya huyo Heche kama mtapita nae itakuwa kazi nzito sana ..mara mia TAL japo naye anapendwa na anahaki ya kuishi ila Heche sijui vijana mtawaambia nini ..kuanzia hapo Tarime mpaka huku Kigamboni.
Ndio ajiite 'kuku'?😀Alijiita hivyo baada ya kuja na sera ya kubadili majina ya vitu muhimu kutoka majina ya kikoloni kwenye majina ya kizaire ndio maana hata wakati wa utawala wake haramu DRC ilibadilishwa jina na kutambulika kama Zaire.
Huyu Gilbert A Massawe ndiye alimlisha sumu Thadei Ole Mushi.Huu uzi unamhusu Heche , lolote litakalompata Heche uzi huu utatumika kama rejea wewe sema ni tuhuma tu wakati wenye akili tumeshaelewa anaongelewa nani hapa.
Yule Tumainieli aliyemtishia Ben Saanane uzi wake unaishi hadi leo na ni rejea kwa walichomfanyia hivyo hata uzi huu tutautumia kama rejea .
Mrudi katika siasa za jukwaani ziishie jukwani mambo ya kuwinda watu kuwaua hayana maana mnazidi kubomoa zaidi ya kujenga na mnapanda chuki siku ikilipuka ni zaidi ya October 29.
Dunia nzima sasa inafahamu Tanzania imeingia katika kundi la nchi za hovyo ambazo tulikua tunasikia mambo ya hovyo tu kama mauaji na utekaji sasa Tanzania ndio arena ya hayo mambo.
Sio mchanga mana mchanga hauchafui, sema udongo ulochanganywa maji aka topeWa cuba nimeelewa ila vipi cake ya taifa mnataka muile wenyewe?. Tukitakka tupaate cake na sisi mnatuita majina mabaya na mikono yetu mnaichafua kwa mchanga ili tuwe wachafu mbele ya umati tusile, sio sawa kabisa.