Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,157
- 5,560
Gari kalipatisha pancha wakati kuna abiria wamelipia mpaka mwisho wa safari.Mbona kazi hii,awe makini dereva anaweza kubadilishwa mbona, umesahau kwenye vikao vya wa neki yule abiria mwenye nauli yake mpaka mwisho wa safari alisema nini? "Labda mambo ya badilike sana"hii ilikuwa kauli tata sanaTatizo gari limepata pancha tairi zote 4. Dereva hataki na amegoma kusimamisha gari tuzibe au kubadilisha tairi ili gari liende kwa taratibu za muundo wake.(Ktb)
Ameamua kuliburuza gari atakavyo na limeumiza abiria kwa kujigonga na kugongwa hovyo.