Tetesi: Kuna Mwanasiasa anavuka Red line soon.

Tetesi: Kuna Mwanasiasa anavuka Red line soon.

Kwani nani anatutangazia kwamba hapa nchi kuna magaidi? Si ninwao wenyewe? Tayari wameshikilia magaidi zaidi ya 20.

Tukiutangazia ulimwengu na dunia kwamba Tanganyika sio salama nani anatakiwa kulaumiwa? Wao au sisi?
Je hii jaiwezi kuathiri utalii?
 
Back
Top Bottom