Tetesi: Kuna Mwanasiasa anavuka Red line soon.

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
6,193
Reaction score
5,051
Kila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.

Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.

Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako

Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.

Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.

CC domo kali.

Ref: Slow slow.
 
Can't knock the hustle
 
Ukishazoea kuua ghafla hushibi damu.

Damu ya binadamu mwenzio unaona sawa na mvinyo unaokunywa ukijisikia.

Wewe muuaji baada ya kumuua Thadei Ole Mushi sasa umenogewa damu za watu kwa visenti unavyolipwa.

Huu uzi kwa msioelewa anayeongelewa hapa ni Heche, upo mpango wa kumbambikia kesi ya ugaidi au kumpoteza baada ya kushindwa katika propaganda zao za kusema amekula pesa za chama.

CCM imeishiwa hoja na ushawishi ndio maana mikutano imezuiliwa na policcm , na policcm ndio kiungo muhimu kilichobaki na kinachoshikilia uhai wa CCM ila mkae mfahamu sio siku zote kiungo hiki kitawaweka hai.
 
Kila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.

Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.

Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako

Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.

Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.

CC domo kali.

Ref: Slow slow.
Tatizo gari limepata pancha tairi zote 4. Dereva hataki na amegoma kusimamisha gari tuzibe au kubadilisha tairi ili gari liende kwa taratibu za muundo wake.(Ktb)

Ameamua kuliburuza gari atakavyo na limeumiza abiria wengi kwa kujigonga na kugongwa hovyo.
 
Back
Top Bottom