Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,200
- 5,061
- Thread starter
- #61
Wakati watu wanauwawa ulikua wap?Ndio maana nakwambia , ulichokiandika hapa kinamhusu Heche hata ukijidai kukataa.
Na sisi tunasema uzi huu utatumika kama rejea kwa chochote kibaya kitakachompata Heche.
Mmemkosa kwenye ufisadi feki, maridhiano feki sasa mnapanga ugaidi feki au kumpoteza kama mlimvyompoteza Polepole .
Aliyeua watu October 29 ndio amechafua taswira ya nchi rudini kwenye drawing board mtajua tatizo sio vyama vya upinzani bali sera mbovu na kuchokwa kwa CCM hadi mkaua watu ili mjipe madaraka.
arifu?
Mjifunze mambo kuna line ukivuka awaangalii mrma yako 30.
Baya moja tu linafuta mema 29.
siandiki kwa kufurahisha watu wala mkwara .
Wenye uelewa wa mbali wamesoma mistake inayofanywa watashauri.
Nakumbuka stori moja ya Mpambano wa Vita ya Utalii kati ya Kenya na Tanzania ( Inasadikika Lamu wapo bize kuwatumia makanja kuhakikisha mtalii afiki Serengeti haha ila battle imeridu Kwao wanaliaa...