King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,713
- 94,679
M.A.P Thadei Ole Mushi.
Nyie Tff mmelala tu mzee? si mlisema kitaeleweka??MBONA MWAIPOPO ANATISHA WATU NA HAKUNA HATUA MMEMCHUKULIA MTAANI YUPO ANADUNDA FRESH
Alijiita hivyo baada ya kuja na sera ya kubadili majina ya vitu muhimu kutoka majina ya kikoloni kwenda majina ya kizaire ndio maana hata wakati wa utawala wake haramu DRC ilibadilishwa jina na kutambulika kama Zaire.Aliitwa Mobutu Seseseko Kunku Kelly Wazabanga.
Sijawahi kukosa Umakini Meku.Haya yetu macho kila kitu na wakati wake na kila jambo lina mwisho sisi ni watizamaji. Kuwa makini lakini
Acha muda uongeeeSijawahi kukosa Umakini Meku.
Daima.
Ila Tunawashauri Tunaowapenda japo awapendi kushaurika
Joseph alikaa miaka kumi na tatu mpaka Mwenyezi Mungu kutimiza ahadi zake(wasabato mtanisahihisha hapa) toka 2016 mpaka 2026 ni miaka mingapi? Kumi sio sasa msimbe anayo minne ataweza kweli? Mbona ramani ilichorwa vizuri toka enzi zile za mtakatifu wa Chato?Mungu anakusudi lake bhana zidisha maombi lolote litakuwa.Makamo asipuuzweMimi hata muuane sawa sema kitambi ni msenge
Mbona umeandika kama choko. Mtaje ni nani na kafanya nini. Uzi kama hizi mara nyingi huletwa na machawa wa CcmKila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
Mazafakas mnapenda sana kutisha watu.Kila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
You're so foolish and stupid at the same time..Kila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
Mjumbe katoa yake asishambuliwe, someni kwa utulivu.Bwana Heche hakuna wakumgusa kuwa na amani narudia tena.Mwana kondoo ameshinda tumfuate.You're so foolish and stupid at the same time..
Ni nani anayeangamiza Utalii na kuichafua nchi na taifa kama si viongozi wa serikali wenyewe wanaitangazia dunia kuwa Tanzania UGAIDI na MAGAIDI na tayari wamewakamata na kuwashitaki 51...??
Ujumbe wa John Heche uko very clear kabisa kuwaonya na kuitahadharisha serikali kuwa, kutengenezea watu makosa ya ugaidi kwa maslahi ya kisiasa za kulinda uhalifu wa Samia Suluhu Hassan na genge lake la kihuni ni kujinyea wenyewe mkidhani mnajisafisha...!
Hili nalo limekuwa gumu kiasi gani kulielewa mara Moja tu ndugu Gilbert A Massawe . Massawe
Nyie Chawa wa CCM ni shenzy-type. Jitahidini wakati mwingine muwe na akili na ufahamu hata kidogo tu wa kuyaelewa na kuya tafsiri matukio...!
Ndio maana nakwambia , ulichokiandika hapa kinamhusu Heche hata ukijidai kukataa.Mbona unaweka wingi mzee?
Una ishu inakusumbua kaka
mijadala ujenga acha kukimbilia tuhuma feki mara ole mushi nk
msanueni mwana line nyekundu sio.
Uchumi ukianguka, Utalii kwa ndimi za watu 10 kati ya maisha ya watu 70M sio jambo zuri.
Sio kila Barua utaandika ikawa na faid kwako.
Victor sempere.
What is all this about ? Calm down and make your self clear dudeKila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
Heche atabaki salama jamani hakuna baya litampata.Mungu ninaye mtumikia mimi ni wa kweli na ndiye Mungu wa Abraham,Isaac na Jacob.Sema mwambieni msimbe nilimuonya juu ya kutenda haki kabla ya kupata hiki kiti cha damu lakini hajasikia.Basi tulieni muone kilichpo mbele yetuNdio maana nakwambia , ulichokiandika hapa kinamhusu Heche hata ukijidai kukataa.
Na sisi tunasema uzi huu utatumika kama rejea kwa chochote kibaya kitakachompata Heche.
Mmemkosa kwenye ufisadi feki, maridhiano feki sasa mnapanga ugaidi feki au kumpoteza kama mlimvyompoteza Polepole .
Aliyeua watu October 29 ndio amechafua taswira ya nchi rudini kwenye drawing board mtajua tatizo sio vyama vya upinzani bali sera mbovu na kuchokwa kwa CCM.
Unaandika kama headless chicken, nani kasema kuna Ugaidi/magaidi zaidi ya nyie ?Mbona unaweka wingi mzee?
Una ishu inakusumbua kaka
mijadala ujenga acha kukimbilia tuhuma feki mara ole mushi nk
msanueni mwana line nyekundu sio.
Uchumi ukianguka, Utalii kwa ndimi za watu 10 kati ya maisha ya watu 70M sio jambo zuri.
Sio kila Barua utaandika ikawa na faid kwako.
Victor sempere.
Mkibosho njaa inakusumbua bila ccm huna maKila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
Mkibosho mwezakoWa cuba nimeelewa ila vipi cake ya taifa mnataka muile wenyewe?. Tukitakka tupaate cake na sisi mnatuita majina mabaya na mikono yetu mnaichafua kwa mchanga ili tuwe wachafu mbele ya umati tusile, sio sawa kabisa.
vijana wengi hapa ni wapumbavu hawana maarifa.Mjumbe katoa yake asishambuliwe, someni kwa utulivu.Bwana Heche hakuna wakumgusa kuwa na amani narudia tena.Mwana kondoo ameshinda tumfuate.