Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

Waite wafuasi wa kiranga waje wamsaidie naona tangu tumeanza debate anaruka ruka hajibu anachoulizwa!!!
Mimi nimeshaachana na huu mjadala usiofika mwisho.

Kila mmoja ashinds mechi zake mkuu,tunaoamini tuendele kuamini na wasioamini waache waendelee kutoamini. Kikubwa kila mmoja awe huru katika kile anaamini bila kuvunja Sheria.
 
Kiranga bana.

Mkuu natamani Sana siku moja nikuone unafananaje,Kuna nyuzi zako za zamani unaonyesha ulikuwa mdau Sana wa muziki wa Bongo,unaonyesha enzi hizo ulikuwa unakuja home Mara kwa Mara.
Nilikuwepo na ma legend. I still got mad love, ila I'm busy getting a piece of that American pie.
 
Kwa hiyo wewe unaamini Mungu bila ya kujua maana ya Mungu?

Nimekueleza kwamba.

1. Mungu ni hadithi tu, kila tamaduni ina hadithi yake ya Mungu.
2. Kwa kuanzia, nimemuongelea Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote. Hiyo ndiyo definition ya Mungu kwa watu wengi, wakiwamo wanaofuata Uislamu,Ukristo,Uyahudi na dini nyingine nyingi.Huyu nimeonesha hayupo, kwa sababu ana internal contradictions zilizooneshwa na Epicurean Paradox.
3.Nimekupa nafasi na wewe umtaje Mungu mwingine yeyote tumjadili.

Sasa hapo unachotaka zaidi ni kipi?
Vp tukiidifine hivi

the perfect and all-powerful spirit or being that is worshipped especially by Christians, Jews, and Muslims as the one who created and rules the universe
 
Vp tukiidifine hivi

the perfect and all-powerful spirit or being that is worshipped especially by Christians, Jews, and Muslims as the one who created and rules the universe
How do you know there is such a being at all?

Huoni kwamba unaanza na unproven assumption hapo?
 
Hicho kitabu kukisoma si mchezo. Kina pages zaidi ya 8900.

Hiyo ni Volume 1, bado Volume 2 na 3.

Njia zaidi ya kukisoma ni kupitia review za watu walioweza kukisoma. Kisha kupitia katika sehemu walizoelekeza. Kusema usome pages elfu nane inahitaji Commitment ya hali ya juu.

Na kwa akili zetu za Kibongo zilivyo za kivivu, wengi itawajazia tu katika storage za vifaa vyao.

Kama ni historia ya Yesu, kasome Chapter 4, chenye pages zaidi ya elfu tatu.
Page elfu tatu! Cha nooo....
 
Nimekuuliza swali, how do you know there is such a being at all.

Hujajibu swali.
Tatizo lako unamihemko sana bado tunatafuta maana halisi ya Mungu

Wewe umekomaa na habari za kuwepo ama kutokuwepo

Tujue Kwanza Nyerere Ni Nani ni mwigizaji au baba wa taifa alafu tuone sasa kama kafa au yuko hai

Haraka za Nini mkuu!
 
Tatizo lako unamihemko sana bado tunatafuta maana halisi ya Mungu

Wewe umekomaa na habari za kuwepo ama kutokuwepo

Tujue Kwanza Nyerere Ni Nani ni mwigizaji au baba wa taifa alafu tuone sasa kama kafa au yuko hai

Haraka za Nini mkuu!
Nimekueleza.

1. Mungu ni hadithi tu, kila utamaduni una hadithi yake ya Mungu. Nje ya hizi hadithi, Mungu hayupo.

2. Tamaduni za Uislamu, Ukristo, Uyahudi na nyingine nyingi, zina Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hiyo ndiyo definition ya Mungu wao. Mungu huyu hayupo, kwa sababu dhana ya kuwapo kwake ina internal contradiction inayoonesha hayupo.

3. Nimekuambia kama una Mungu mwingine, tuambie ni yupi tumjadili hapa.

Unataka nini zaidi?
 
Ngoja Kwanza tunatumia muongozo upi ili kupata kilicho sahihi au kichwa chako kilicho haribiwa na overthinking ???

Maana naona umekomaa kuelezea unacho waza na Mimi Sina hakika na afya ya akili yako!
Hajui MUNGU ni nini, Anajua kuwa hayupo sababu hajui MUNGU ni nini zaidi ya fikra kuwa MUNGU ni hadithi.
 
Kuna kosa la msingi huwa unalifanya.

Kitendo Cha kuthibitisha au kutothibitisha uwepo wa Mungu haifanyi hiko kitu kuwepo au kutokuwepo.

Mfano;

Mimi nimeua Kisha nikapelekwa mahakamani kusomewa mashtka, kabla ya hukumu nikapewa nafasi ya kujitetea "nithibitishe" kwamba sijaua. Hapo mahakamani nikatoa maelezo yangu ya utetezi Kisha wakati wa hukumu Sheria ikaona Sina kosa na hivyo kuikwepa hukumu ya kifungo au kunyongwa kwa kosa la mauaji. Nimekuwa huru kwa mujibu wa Sheria.

Kwa lugha nyepesi ni kwamba, Sheria imeshindwa kuthibitisha kwamba Mimi ni muuaji(nimeua).

Ila ukweli ulio wazi ni kwamba niliua/nimeua. Ila Sheria imeshindwa kuthibitisha hivyo ikashindwa kunihukumu.

Nahitimisha kwa kusema kuwa MUNGU ANASIMAMA KAMA KWELI.MUNGU NI KWELI. Kweli inasimama Kama moja. Kweli haithibitishiki. Either unishinde kwa hoja au nikushinde,hiyo haifanyi kutokuwepo kwa Mungu.

Ni Kama uchawi tu, either uuthibitishe au usiuthibitishe haifanyi uchawi usiwepo. Uchawi upo na kupitia nguvuna matokeo ambayo binafsi nimezishuhudia kwa macho Kama mtu aliyekufa kisha kuwekwa msukule kisha kumuona akiwa mzima miaka mingi baadae ikiwa imeenda. Kama tusivyoweza kuona uchawi ila tunauona kupitia matokeo ndivyo ambavyo hatuwezi kumwona Mungu na kumthibitisha katika namna ambayo wasioamini wanataka tuthibitishe ila tunaona nguvu zake zinavyooperate.

Mungu yupo.

NB: Hili la uchawi nimechomekea tu,tusifanye kuwa mjadala.
Uthibitisho wa uwepo wa MUNGU ni uwepo wa ulimwengu, anayesema hayupo yeye ndo aseme haya yote yametokana na nn kama sio MUNGU. Kinyume na hapo ni Bipolar tu za ubongo wa binadamu.
 
Mkuu huyo anakwambiankila kitu kiko kina msingi wa logic lakini anasema ulimwengu ni matokeo ya bahati tu
Bahati katika mpangilio huu? Sayari kuzunguka nyota? Majira, Uwepo wa sayari kubwa inayomeza vimondo na mawe yanayoelekea kwenye sayari yenye uhai? Bahati mfumo wa kuzaliwa kuishi kufa? NO.

HII SYSTEM IPO TOO PERFECT KUSEMA KUWA NI BAHATI. KUNA ENGENEER YUPO BEHIND.
 
Bahati katika mpangilio huu? Sayari kuzunguka nyota? Majira, Uwepo wa sayari kubwa inayomeza vimondo na mawe yanayoelekea kwenye sayari yenye uhai? Bahati mfumo wa kuzaliwa kuishi kufa? NO.

HII SYSTEM IPO TOO PERFECT KUSEMA KUWA NI BAHATI. KUNA ENGENEER YUPO BEHIND.
Kila kitu kiko allenged mathematically na kina fuata physics
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom