Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

Wakuu,

Katika kupita mitandaoni nimekutana na hiki kitabu wanaita "The Urantia book" Urantia inamaanisha "Planet earth".

Hiki kitabu wanasema kina majibu ya mambo mengi sana,na waliokisoma wanasema ni kitabu ambacho kinakufanya uwe mtu bora sana ambacho kinamrudisha mtu katika kuthamini watu, uhusiano wako wewe na Mungu, na kina majibu mengi katika Sayansi, siasa, Philosofia na historia.

Haijulikani ni nani alikiandika ila huyu mtaalamu wa afya ya akili anaitwa W.S Sadler aliyekuwa akifanyia kazi Chicago alitokewa na viumbe fulani kati ya mwaka 1924 na 1935 ndio wakawa wanampa hayo maarifa,baadae ndio akakaa akawasimulia watu kadhaa ndio wakaunganisha hayo maandishi kuwa kitabu ambacho chapisho la kwanza lilitoka mwaka 1955.

Kitabu hiki kipo chini ya Urantia Foundation (www.urantia.org) ambayo ndio inatoa materials,inaandaa matukio na maelezo juu ya Urantia book.

Na ndio kitabu ambacho pia kina majibu ya kina juu ya miaka 18 ya upotevu ya Yesu ambayo haijaandikwa kwenye Bibilia, na katika kitabu hicho hakuna mahali wanasema Yesu alienda India kama ambavyo vitabu kadhaa vilidai.

Kitabu hiki kimegawanyika katika sehemu tatu;

1. The central and Super universe
2. The local universe
3. The history of Urantia
4. The life and teachings of Jesus.

Kitabu hiki hakina uhusiano na dini yeyote kwakuwa kinagusa nyanja tofauti tofauti kama nilivyoandika hapo juu.

Nimevutiwa kusoma kitabu hiki,Je kuna mtu humu JF ameshakisoma ili atueleze kilichomo ndani kwa ufupi?

View attachment 2585538
Mambo ya makini makini hayo hakuna cha maana
 
Elezea kwa nini
Kwa sababu neno binadamu au mwanaadamu linamanisha kwamba sisi ni watoto wa Adamu aliyeumbwa na Mungu kama mtu wa kwanza.

Huyo Mungu hayupo na huyo Adamu ni wa hadithi za Wayahudi tu.

Ukisoma hiki kitabu utaona Biblia ina hadithi nyingi za kutungwa na watu tu.

Mengine mengi nitamuachia Dr. Paul Kugel, Harvard University's Professoe Emeritus in Bible Studies akufundishe.

How to Read the Bible​

A Guide to Scripture, Then and Now​

READ AN EXCERPT

Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
Kwa kua wewe umeungana na arab kutafasiri hivyo neno binadamu basi tusipoteze muda tutumia msamiati MTU au WATU katika wingi sawa
 
Umesoma jinsi Biblia ilivyojaa hadithi za kuandikwa na watu tu?
Achana na hiyo source Mimi sikubaliani nayo wewe sema

Huwa unayatafasiri vp mambo ambayo yako beyond the reality na imethibitika.
 
Reality ni nini na unathibitishaje mambo yako beyond reality?

Una maana gani unaposema "mambo ambayo yako beyond reality"? Unamaanisha mambo ya uongo?

Au mambo usiyoyaelewa?

Unajua mababu zetu walipopata nafasi ya kusikia muziki kutoka kwenye redio waliona kitu cha ajabu, wakaona kama uchawi, lakini ilikuwa ni sayansi tu ambayo walikuwa hawajaielewa, hakukuwa na chochote "beyond reality", kulikuwa na kitu beyond their experience tu.

Sasa, na wewe ukikutana na kitu hukijui, utajuaje hiki ni "beyond reality" na si "beyond your experience" tu?

Ukimkuta mtu anaweza kupita kwenye ukuta wa matofali bila kutumia mlango wala dirisha, akatokea upande wa pili, utasema hiyo ni beyond reality au beyond your experience tu? Kwa nini?
 
Tofautisha ujinga na beyond the reality iliyo thibitika hizo.

Story za redio na wazee wajinga hazina nafasi hapa.

2. Reality Ni uhalisia
 
Hapana, wewe ndiye unaleta ujinga halafu unasema stories za redio na wazee wajinga hazina nafasi hapa.

Nimekuuliza swali dogo, ambalo umeonesha ujinga kwa kutolielewa au kulidharau.

Unajuaje hili jambo ni beyond reality, na hili si beyond reality ni beyond experience yako tu?

Nikaona labda swali liko kidhahania sana, so abstract, nikakupa mfano halisi.

Ukimuona mtu anapita kwenye ukuta wa matofali, sehemu ambayo haina mlango wala dirisha, akatokea upande wa pili, utasema hiyo ni beyond reality au just beyond your experience tu?

Hujajibu swali.

Utajuaje hili jambo ni beyond reality, na hili labda silijui kwa ujinga wangu tu, lakini si beyond reality?

Hao wazee walikuwa wanaona redio inatoa sauti, waliliona hilo jambo liko beyond reality, lakini, kwa kweli halikuwa beyond reality, lilikuwa beyond experience yao tu.

Sasa na wewe leo ukiona kitu ambacho hukijui, utajuaje kwamba na wewe hujafikia sehemu kama hiyo ya kuona redio inatoa sauti, kitu ambacho hujaki experience tu, na si kitu ambacho kipo beyond reality?

Hujajibu swali, kama hata umelielewa.
 
Ngoja kwanza Nini Maana ya uhalisia
 
Ngoja kwanza Nini Maana ya uhalisia
Katika muktadha gani? Hakuna uhalisia bila muktadha, Einstein katuonesha hili zaidi ya miaka 100 iliyopita katika Relativity.

Kurt Godel akasiliba kabisa uwezo wetu wa kuelewa uhalisia hata kidhahania katika Incompleteness Theorems.Kuwa hatuwezi kuhakiki uhalisia bila muktadha. Hata katika hesabu dhahania.

Uncertainty Principle ikatuambia kwamba, si tu hatuwezi kuupima uhalisia bila muktadha, uhalisia wenyewe haupo bila muktadha. Kwamba uhalisia hau exist, una exist ukiweka muktadha tu.

Hesenberg katuonesha hilo pia katika Uncertainty Principle.

Quantum Physics imetuonesha hilo katika double slit experiment.

Tatizo, umesoma Einstein's Relativity na Godel's Incompleteness Theorems?

Umesoma Heisenberg's Uncertainty Principle na Quantum Physics?

Au unaishia kwenye Biblia tu?
 
Kwa muktadha wa sayansi ilipofikia kwa sasa
 
Kwa muktadha wa sayansi ilipofika sasa uhalisia unategemea muktadha, bila muktadha hakuna uhalisia.

Na hii ni moja ya sababu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kisayansi hawezekani kuwapo.

Kwa sababu Mungu huyo hana muktadha.

If God is the epitome of perfection.

In thermodynamics terms, the most perfect state of being is zero entropy.

That state is non existence. Any existence disturbs that zero entropy and introduces imperfection.

So, the perfect God exists in nonexistence.

Any existence constitues imperfection, and God must necessarily be free of imperfection.

So, God, to be perfect, must not exist.

Therefore, God does not exist.

Huo ndio muktadha wa sayansi leo kuhusu Mungu mtakatifu asiye na mawaa.

Hayupo. Kwa sababu akiwepo tu anakuwa kashapata mawaa yanayoondoa utakatifu wake.

QED.
 
Wakuu,

Katika kupita mitandaoni nimekutana na hiki kitabu wanaita "The Urantia book" Urantia inamaanisha "Planet earth".

Hiki kitabu wanasema kina majibu ya mambo mengi sana,na waliokisoma wanasema ni kitabu ambacho kinakufanya uwe mtu bora sana ambacho kinamrudisha mtu katika kuthamini watu, uhusiano wako wewe na Mungu, na kina majibu mengi katika Sayansi, siasa, Philosofia na historia.

Haijulikani ni nani alikiandika ila huyu mtaalamu wa afya ya akili anaitwa W.S Sadler aliyekuwa akifanyia kazi Chicago alitokewa na viumbe fulani kati ya mwaka 1924 na 1935 ndio wakawa wanampa hayo maarifa,baadae ndio akakaa akawasimulia watu kadhaa ndio wakaunganisha hayo maandishi kuwa kitabu ambacho chapisho la kwanza lilitoka mwaka 1955.

Kitabu hiki kipo chini ya Urantia Foundation (www.urantia.org) ambayo ndio inatoa materials,inaandaa matukio na maelezo juu ya Urantia book.

Na ndio kitabu ambacho pia kina majibu ya kina juu ya miaka 18 ya upotevu ya Yesu ambayo haijaandikwa kwenye Bibilia, na katika kitabu hicho hakuna mahali wanasema Yesu alienda India kama ambavyo vitabu kadhaa vilidai.

Kitabu hiki kimegawanyika katika sehemu tatu;

1. The central and Super universe
2. The local universe
3. The history of Urantia
4. The life and teachings of Jesus.

Kitabu hiki hakina uhusiano na dini yeyote kwakuwa kinagusa nyanja tofauti tofauti kama nilivyoandika hapo juu.

Nimevutiwa kusoma kitabu hiki,Je kuna mtu humu JF ameshakisoma ili atueleze kilichomo ndani kwa ufupi?

View attachment 2585538
Sijakisoma. Inaelekea ni kama biblia?
 
Kwa muktadha wa sayansi ilipofika sasa uhalisia unategemea muktadha, bila muktadha hakuna uhalisia.

Na hii ni moja ya sababu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kisayansi hawezekani kuwapo.

Kwa sababu Mungu huyo hana muktadha.

If God is the epitome of perfection.

In thermodynamics terms, the most perfect state of being is zero entropy.

That state is non existence. Any existence disturbs that zero entropy and introduces imperfection.

So, the perfect God exists in nonexistence.

Any existence constitues imperfection, and God must necessarily be free of imperfection.

So, God, to be perfect, must not exist.

Therefore, God does not exist.

Huo ndio muktadha wa sayansi leo kuhusu Mungu mtakatifu asiye na mawaa.

Hayupo. Kwa sababu akiwepo tu anakuwa kashapata mawaa yanayoondoa utakatifu wake.

QED.
Any Expression by Words can never be perfect enough to hold the intended message!

However you tried at best!

GOD is PERFECT.

BUT IN ORDER TO EXPRESS HIMSELF AT PERFECTION HE HAS TO ALOW IMPERFECTION THROUGH THE SELF BUT INDIVIDUAL SOULS...

SUCH THAT:
All Souls are derivatives of the Master Soul...

A Soul which decided to become a human IS ALREADY A TRUE DERIVATIVE OF THE MASTER SOUL WHO IS THE PERFECT GOD...

BUT THIS SINGLE SOUL SHOULD BE IMPERFECT IN ORDER TO ALLOW PERFECTION TO EXPERIENCE IN IMPERFECTION AIMING AT DEVELOPMENT OF THE YOUNG soul!

This circle provides an important lesson called-LEARNING.

LEARNING IS A PROCESS whereby the Soul SEARCHES TRUTH during the Growth in individual HUMAN!

SO FAR SO GOOD!
 
You can't prove God exists, because God does not exist.

And yet you introduce the soul, which you also cannot prove it exists.

If you argue otherwise.

Prove God exists. Prove the soul exists.
 
Maharibiko ya Uzi !
Unaogopa mjadala wa kimantiki kuchambua hoja kwa mifano halisi na mawazo dhahania?

Nimeweka hapo juu uchambuzi wa mapungufu ya kitabu hiki.

Kuna mtu kasema alivyoona uchambuzi mrefu tu kagwaya kusoma!

Hiki kitabu cha Urantia ni zile zile hadithi za kusadikika tu ambazo ukizibana katika uchambuzi wa kina unagundua uongo kibao.
 
You can't prove God exists, because God does not exist.

And yet you introduce the soul, which you also cannot prove it exists.

If you argue otherwise.

Prove God exists. Prove the soul exists.
Define Matter.

Then after your body ceases-which means Die....

When the vibration changes...which means ceases...

Then the weight of the same body also changes...

The difference between the two weights...

Is Soul!

We can continue as the time goes by!

YES-God exists

Soul was there,It Is now and ever shall the soul Be.

SOUL exists.

The Master SOUL IS GOD HIMSELF.

ITS TRUE...GOD IS and WHAT IS NOT IS GOD.
 
Back
Top Bottom