Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,962
- 146,245
Nakuuliza hivi, mtu akiamini ng'ombe ni Mungu aliyeumba ulimwengu na vyote, hiyo imani inamfanya ng'ombe awe kweli Mungu aliyeumba ulimwengu na vyote?..huelewi nini reference yangu....imani ya n'ombe niliyokupa (ambayo ipo) ni sawa na imani kwa mavi unayosema (ambayo haina reference popote duniani)....