Hicho kitabu hizo pages chache sana ,siku hizi watu tunatumia AI software's za kusoma vitabu kwa audio , download kitabu au document yoyote hasa ikiwa format ya pdf so Moab na utaweza kulisoma hicho kitabu chote kwa kusikiliza narration Kwa sauti,hizo apps mi ninazotumia ni hizi hapa na zote ni free na zinapatikana Google play store na app store ,nimesoma vitabu vikubwa vya pages nyingi Bible ikasome mfano Series book za "The Gulag Achipellago " kilichokuwa kinaelezea ukatili wa regime ya wakomunist WA Urusi ,kile kitabu kina volumes 3 na kila volume ni page 1000+ na vyote nilivimaliza na tangia hapo nimesoma vingine vingi tu hata siwezi hesabu ,Kwa simu ni vigumu sana kusoma page zote hizo
Anakutoa kwenye reli maana hajajibu swali la Mungu ni nini mkuu.Ngoja Kwanza tunatumia muongozo upi ili kupata kilicho sahihi au kichwa chako kilicho haribiwa na overthinking ???
Maana naona umekomaa kuelezea unacho waza na Mimi Sina hakika na afya ya akili yako!
Sawa umesema logic sawa haya hapo kwenye maana ya neno Mungu tutatumia logic ipi maana tukisha jua Maana ya. MunguNatumia logical consistency.
Nimeeleza sana naona una roadblock kuelekea kuelewa, ngoja niweke mchoro wa logical flowchart, labda utapata urahisi kuelewa.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu, hoja ya kuwepo kwake ina internal contradiction. Ni kama mtu akwambie kwamba kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara, wakati pembetatu si duara, na haiwezi kuwa duara.
Hebu soma Epicurean paradox hii, halafu nieleze kama umeielewa au kama una maswali.
View attachment 2587935
Kama huwezi tulia kwani nilikutaja?Nani aandike Kiswahili sasa?
Asante kwa kutupa ujanja huu,kama ni hivyo basi ni rahisi sana kusoma kupitia audio,Je hizo app ni offline?Muache uvivu kuna apps n
Hicho kitabu hizo pages chache sana ,siku hizi watu tunatumia AI software's za kusoma vitabu kwa audio , download kitabu au document yoyote hasa ikiwa format ya pdf so Moab na utaweza kulisoma hicho kitabu chote kwa kusikiliza narration Kwa sauti,hizo apps mi ninazotumia ni hizi hapa na zote ni free na zinapatikana Google play store na app store ,nimesoma vitabu vikubwa vya pages nyingi Bible ikasome mfano Series book za "The Gulag Achipellago " kilichokuwa kinaelezea ukatili wa regime ya wakomunist WA Urusi ,kile kitabu kina volumes 3 na kila volume ni page 1000+ na vyote nilivimaliza na tangia hapo nimesoma vingine vingi tu hata siwezi hesabu ,
Uzuri wa hii mbinu ni kwamba hata kama uko busy unatia earphones zako inasikilizwa tu fresh ,so kumaliza hizo volumes ni kugusa tu
Hizo softwares nilizoziwekea dots nyeupe kwa juu ,moja inaitwa Evie na nyingine Read Aloud ,easy Sana
Na kuna websites ni free ,hapo kuna almost kila kitabu , kuna website inaitwa " z library ",kuna " pdf drive " then kuna "Library genesis"Muache uvivu kuna apps nyingi tu unaweza tumia kusoma faster .
Hicho kitabu hizo pages chache sana ,siku hizi watu tunatumia AI software's za kusoma vitabu kwa audio , download kitabu au document yoyote hasa ikiwa format ya pdf so Moab na utaweza kulisoma hicho kitabu chote kwa kusikiliza narration Kwa sauti,hizo apps mi ninazotumia ni hizi hapa na zote ni free na zinapatikana Google play store na app store ,nimesoma vitabu vikubwa vya pages nyingi Bible ikasome mfano Series book za "The Gulag Achipellago " kilichokuwa kinaelezea ukatili wa regime ya wakomunist WA Urusi ,kile kitabu kina volumes 3 na kila volume ni page 1000+ na vyote nilivimaliza na tangia hapo nimesoma vingine vingi tu hata siwezi hesabu ,
Uzuri wa hii mbinu ni kwamba hata kama uko busy unatia earphones zako inasikilizwa tu fresh ,so kumaliza hizo volumes ni kugusa tu
Hizo softwares nilizoziwekea dots nyeupe kwa juu ,moja inaitwa Evie na nyingine Read Aloud ,easy Sana
Kuna kosa la msingi huwa unalifanya.Dini gani? Zimethibitisha Mungu yupo?
Kwa hizo za hivyo vitabu umekubaliana nami?
No Radio garden ni app huwa natumia kufuatilia radio stations za nchi mbalimbali dunia nzima ,iko kama Google map hivi unapoitumia ila unauwezo wa kunasa mawimbi ya radio stations dunia nzima ni wewe tu na bundle lako na kusearch location then boomAsante kwa kutupa ujanja huu,kama ni hivyo basi ni rahisi sana kusoma kupitia audio,Je hizo app ni offline?
ipo naona imeiwekea alama pia?
Safi,asante kwa kutupa maujanja,ngoja tuongeze maarifaNa
Na kuna websites ni free ,hapo kuna almost kila kitabu , kuna website inaitwa " z library ",kuna " pdf drive " then kuna "Library genesis"
Natuma na links ,
[Z library ]
link hizo hapo
1. Z-Library Project - Electronic library. Download books free
2.https://singlelogin.me/
[ Pdf drive ]
link hizo hapo
![]()
PDF Drive - Search and download PDF files for free.
PDF Drive is your search engine for PDF files. As of today we have 75,036,752 eBooks for you to download for free. No annoying ads, no download limits, enjoy it and don't forget to bookmark and share the love!www.pdfdrive.com
[Library Genesis ]
Link hizo hapo
1)Library Genesis
2)libgen
3)Library Genesis
4)Library Genesis
5)Library Genesis
6)Library Genesis
7)Library Genesis
8)Library Genesis
Huna haja ya kukosa maarifa kwa kisingizio cha kukosa pesa ,na Hizo apps za kusoma kwa audio ni bure na hata bando wakati unazitumia hazihitaji
Humo kukosa kitabu ni ngumu sana , ni mwendo wa kusearch na kudownload vitabu na machapisho bure ,let's goo
Radio garden naifahamu ndio maana nikashangaa maana niliona kama umeiwekea alama ndio nikaulizaNo radio garden
No Radio garden ni app huwa natumia kufuatilia radio stations za nchi mbalimbali dunia nzima ,iko kama Google map hivi unapoitumia ila unauwezo wa kunasa mawimbi ya radio stations dunia nzima ni wewe tu na bundle lako na kusearch location then boom
Naona kakimbilia Google ngoja arudi maana anasumbua sana watu huyu hoja zake za overthinkingKuna kosa la msingi huwa unalifanya.
Kitendo Cha kuthibitisha au kutothibitisha uwepo wa Mungu haifanyi hiko kitu kuwepo au kutokuwepo.
Mfano;
Mimi nimeua Kisha nikapelekwa mahakamani kusomewa mashtka, kabla ya hukumu nikapewa nafasi ya kujitetea "nithibitishe" kwamba sijaua. Hapo mahakamani nikatoa maelezo yangu ya utetezi Kisha wakati wa hukumu Sheria ikaona Sina kosa na hivyo kuikwepa hukumu ya kifungo au kunyongwa kwa kosa la mauaji. Nimekuwa huru kwa mujibu wa Sheria.
Kwa lugha nyepesi ni kwamba, Sheria imeshindwa kuthibitisha kwamba Mimi ni muuaji(nimeua).
Ila ukweli ulio wazi ni kwamba niliua/nimeua. Ila Sheria imeshindwa kuthibitisha hivyo ikashindwa kunihukumu.
Nahitimisha kwa kusema kuwa MUNGU ANASIMAMA KAMA KWELI.MUNGU NI KWELI. Kweli inasimama Kama moja. Kweli haithibitishiki. Either unishinde kwa hoja au nikushinde,hiyo haifanyi kutokuwepo kwa Mungu.
Ni Kama uchawi tu, either uuthibitishe au usiuthibitishe haifanyi uchawi usiwepo. Uchawi upo na kupitia nguvuna matokeo ambayo binafsi nimezishuhudia kwa macho Kama mtu aliyekufa kisha kuwekwa msukule kisha kumuona akiwa mzima miaka mingi baadae ikiwa imeenda. Kama tusivyoweza kuona uchawi ila tunauona kupitia matokeo ndivyo ambavyo hatuwezi kumwona Mungu na kumthibitisha katika namna ambayo wasioamini wanataka tuthibitishe ila tunaona nguvu zake zinavyooperate.
Mungu yupo.
NB: Hili la uchawi nimechomekea tu,tusifanye kuwa mjadala.
Ulichokifanya hapa, ndicho wanachotakiwa kukifanya watu wote wanaojadiliana na Kiranga kuhusu uwepo wa Mungu. Na pengine ungekifanya mapema zaidi, na huu mjadala usingekua mrefu!Kuna kosa la msingi huwa unalifanya.
Kitendo Cha kuthibitisha au kutothibitisha uwepo wa Mungu haifanyi hiko kitu kuwepo au kutokuwepo.
Mfano;
Mimi nimeua Kisha nikapelekwa mahakamani kusomewa mashtka, kabla ya hukumu nikapewa nafasi ya kujitetea "nithibitishe" kwamba sijaua. Hapo mahakamani nikatoa maelezo yangu ya utetezi Kisha wakati wa hukumu Sheria ikaona Sina kosa na hivyo kuikwepa hukumu ya kifungo au kunyongwa kwa kosa la mauaji. Nimekuwa huru kwa mujibu wa Sheria.
Kwa lugha nyepesi ni kwamba, Sheria imeshindwa kuthibitisha kwamba Mimi ni muuaji(nimeua).
Ila ukweli ulio wazi ni kwamba niliua/nimeua. Ila Sheria imeshindwa kuthibitisha hivyo ikashindwa kunihukumu.
Nahitimisha kwa kusema kuwa MUNGU ANASIMAMA KAMA KWELI.MUNGU NI KWELI. Kweli inasimama Kama moja. Kweli haithibitishiki. Either unishinde kwa hoja au nikushinde,hiyo haifanyi kutokuwepo kwa Mungu.
Ni Kama uchawi tu, either uuthibitishe au usiuthibitishe haifanyi uchawi usiwepo. Uchawi upo na kupitia nguvuna matokeo ambayo binafsi nimezishuhudia kwa macho Kama mtu aliyekufa kisha kuwekwa msukule kisha kumuona akiwa mzima miaka mingi baadae ikiwa imeenda. Kama tusivyoweza kuona uchawi ila tunauona kupitia matokeo ndivyo ambavyo hatuwezi kumwona Mungu na kumthibitisha katika namna ambayo wasioamini wanataka tuthibitishe ila tunaona nguvu zake zinavyooperate.
Mungu yupo.
NB: Hili la uchawi nimechomekea tu,tusifanye kuwa mjadala.
Kiranga ni kama Ferguson enzi zake. Ukiingia tu kwenye mfumo wake umeisha.Naona kakimbilia Google ngoja arudi maana anasumbua sana watu huyu hoja zake za overthinking
Asante mkuu.Ulichokifanya hapa, ndicho wanachotakiwa kukifanya watu wote wanaojadiliana na Kiranga kuhusu uwepo wa Mungu. Na pengine ungekifanya mapema zaidi, na huu mjadala usingekua mrefu!
Mimi ni mmoja kati ya wanaoamini uwepo wa Mungu. Ila ni wazi, kuna cracks nyingi sana kwenye msingi uliotumika kuijenga imani ya uwepo wa Mungu. Kuna vitu vingi sana ambavyo kwa logic ya kawaida ya kibinadamu, vinapingana na ukweli kuhusu Mungu muweza wa yote na mjuzi wa yote.
Hata huko kwenye maandiko, kuna sarakasi nyingi ambazo zikijadiliwa in a logical way, zinaleta ukakasi. Ndio maana mimi nilifikia muafaka, ninaamini uwepo wa Mungu, but i can't prove it.
Ni kama ambavyo naamini kuwa kesho nitaamka salama, japo siwezi kuthibitisha. I simply can't prove my faith. Na ndio maana hata sitaki kujadili na watu wasioamini, ni kwakua wanazo sababu za muhimu kutokuamini.
Sio lazima kila mtu aamini kile ninachokiamini mimi!
We jamaa unaelekea kuchanganyikiwa ..unaeleza mambo mengi kwa wakati mmoja..Urantia Book nimeisoma mara tano ,au mara kumi,au mara kumi na tano,au zaidi.
Kuhusu hiki kitabu nadhani No Comment is the best comment.
There is nothing special about the book. There are some inaccuracies.
Jambo moja ni significant. Wanasema ata the Center of creation,there an Island ,a Physical Island called "Paradise" ambako Mungu anaishi. Hili jambo linapata support kwenye Maandiko mengine .
Nilikuwa New Mexico( Marekani),nimealikwa katika nyumba ya mtu,kwenye shelf niliona pale kitabu,"How the Urantia Book was written". Hiki kitabu nakitafuta kwenye internet,sikionj,jambo ambalo linanifanya nifikirie labda Urantia Book imeandikwa na watu wahuni.
Haya mambo labda ni somewhat important lakini kama unataka spirituality labda usome Tsongkapa,The Great Ecposition of Secret Mantra au Six Yogas of Naropa.
I notice Ile posting iliyokuwepo hapa sasa hivi ya yule mtu anatrack safari za ndege ya Rais Samia imeondolewa JF. Nilikuwa nimedown ile app ya Live Flighf Tracking,nilikuwa sasa naitafuta namba ya ndege ya rais wetu mpendwa( mpendwa na Dunia yote).
1.Huyo Mungu wa Biblia kaandikwa na watu tu.Labda niliweke swali langu katika namna hii;
Katika kitabu Cha biblia ya wakristo kuna mstari unasema "Mimi ndimi Mungu wako niliyekutoa katika nchi ya Misri,usijifanyie miungu mingine maana mimi ni Mungu mwenye wivu. "
Ukiangalia huu mstari Kuna Mungu mmoja anawaambia watu wake wasiabudu miungu mingine maana yeye Ni Mungu mwenye wivu.
Kwa nini wewe umefika na hitimisho la watu wengine kwamba wao wanasema "ni Mungu muweza wa yote" na bla bla nyingine? Kumbuka huo mstari Mungu ametaja miungu wengine ambao hataki waabudiwe.kama Kuna Mungu mkuu ambaye Kuna watu wanamwabudu na huyo Mungu akawataja miungu wengine ,basi in maana Kuna Mungu zaidi ya mmoja.
Hapo ndipo ulipo msingi wa swali langu sasa,Mungu ni nini?
Nimekwambia naanza na Mungu anayesemwa na waamini Mungu, kwa mfano, wa kwenye Biblia na Quran.Huyu ana sifa za kujua yote, kuweza yote na kuwa na upendo wote.Sawa umesema logic sawa haya hapo kwenye maana ya neno Mungu tutatumia logic ipi maana tukisha jua Maana ya. Mungu
Ndio tutaanza kutumia hiyo logic ya Epicurean ili tujue sasa yupo au hayupo?