Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,236
- 4,779
Nikikuthibitishia kuwa hadithi za biblia Ni za kweli utaamini uwepo wake?Nimekueleza.
1. Mungu ni hadithi tu, kila utamaduni una hadithi yake ya Mungu. Nje ya hizi hadithi, Mungu hayupo.
2. Tamaduni za Uislamu, Ukristo, Uyahudi na nyingine nyingi, zina Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hiyo ndiyo definition ya Mungu wao. Mungu huyu hayupo, kwa sababu dhana ya kuwapo kwake ina internal contradiction inayoonesha hayupo.
3. Nimekuambia kama una Mungu mwingine, tuambie ni yupi tumjadili hapa.
Unataka nini zaidi?