Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

Kama unanipinga na kusema Mungu yupo, thibitisha Mungu yupo.

Mimi reference yangu ya kwanza kuhusu kutokuwepo kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni Epicurian Paradox.
Mbona Mimi sijabishana na wewe Nimekuuliza tu Mungu Ni nini
 
Unafanya kosa lile lile la awali,nililiona huko juu ukimjibu mtu hivi. Inakuwaje Mungu kuwa hadithi? Hii ndiyo tafsiri ya Mungu kwa mtu aliyekuuliza swali ili apate kufahamu Mungu ni nini?

Sawa,hii ni tafsiri ya wanaoamini katika Mungu,bado wewe hujatoa tafsiri yako ya Mungu ni nini.

Hapa unatembea katika mdundo wa watu fulani ambao mimi siwajui na mwishowe umehitimisha kutoa shutuma dhidi yao.

Nawezaje kuamini kitu ambacho sijapata tafsiri sahihi kutoka kwako Ila umetoa maelezo marefu yanayoshutumu watu fulani ambao hawapo katika mjadala?

Bado hujatoa tafsiri ya Mungu ni nini ila umeongeza msamiati mwingine ambao unahitaji kufafamuliwa pia.

Hadithi ni nini kwa Mujibu wa maelezo yako ili nipate tafsiri sahihi ya Mungu?

Baada ya kunijibu,naomba unipe tafsiri ya Mungu ni nini mkuu.

Asante.
Nimekwambia Mungu ni hadithi tu, hayupo katika uhalisia.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo nje ya hizo hadithi.

Hujathibitisha kwamba Mungu yupo nje ya hadithi.
 
Hadithi haimaanishi Mungu nionyeshe dictionary inayosema tafasiri ya Mungu hadithi.
You are making a logical fallacy, it is called "dictionary fallacy" or "appeal to definition".

Dictionary ikisema wewe ni tumbili, utakuwa tumbili kweli?

Wewe huna uwezo wa kuchambua mambo, umeiachia kazi hiyo dictionary?

Unaelewa kwamba hata wewe unaweza kutunga kitu, kikakubalika, kikaingia kwenye dictionary?

Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
 
Una ilizwa hiki unajibu kile kila kitu kina muongozo wake uliokubaliwa na wataalamu wa kitu husika umeulizwa. Kitu kidogo tu unapayuka payuka tu jibu nilicho kuuliza acha mihemuko na hoja ambazo ni irrelevant na nilichokuuliza.
 
Nimekufundisha kitu kipya ambacho najua ulikuwa hukijui maishani mwako, dictionary fallacy.

Ila usivyo na maarifa ya kujiongeza, hata hujaweza kujifunza.

Kuuliza si hoja, unaweza kuwa kiziwi usiyejua sauti, unajua rangi tu, ukaniuliza "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani? Kwa sababu hapo ndipo upeo wa dunia yako, unaelewa dunia kwa rangi, hujui sauti.

Sasa, mimi nakujibu, wimbo wa taifa hauna rangi, una sauti, sauti ni kitu tofauti na rangi.

Hutaki kujifunza, unang'ang'ania tu "Nijibu swali langu, rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?"

Naishia kukuonea huruma tu kwa upeo wako kua mdogo.

You are making an argument based on appeal to definition, nakuonesha mpaka link inayoonesha kosa ulilofanya.

Bado huelewi.

Tatizo lako ni nini? Hujui Kiingereza?

Maana nisije kupoteza muda kukupa article imeandikwa vizuri Kiingereza, wakati mwenzangu hujui Kiingereza.
 
I have understand Master, then tell me what is God?
 
I have understand Master, then tell me what is God?
How many times? So I could finish this once and for all.

God is a character in a story. A made up story. Just like 007 James Bond is a fictional character made up by Ian Fleming. Just like Willy Gamba is a fictional character made up by Aristablus Elvis Musiba.

Other than that fictional story, God does not exist.

If you think otherwise, I am happy to hear your proof showing that God exists.
 
You are making a logical fallacy, it is called "dictionary fallacy" or "appeal to definition".

Dictionary ikisema wewe ni tumbili, utakuwa tumbili kweli?

Wewe huna uwezo wa kuchambua mambo, umeiachia kazi hiyo dictionary?

Unaelewa kwamba hata wewe unaweza kutunga kitu, kikakubalika, kikaingia kwenye dictionary?

Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
Usilete u much know of overthinking, and guessing u're genius no Bro u're running crazy

Acha habari za et what if tree is not tree?

Et Mungu Ni hadithi hata mtoto mdogo hawezi kukuelewa hapa

Acha ujuaji wa google
 
How many times? So I could finish this once and for all.

God is a character in a story. A made up story. Just like 007 James Bond is a fictional character made up by Ian Fleming. Just like Willy Gamba is a fictional character made up by Aristablus Elvis Musiba.

Other than that fictional story, God does not exist.

If you think otherwise, I am happy to hear your proof showing that God exists.
Story gani ebu zitaje apa
 
Usilete u much know of overthinking, and guessing u're genius no Bro u're running crazy

Acha habari za et what if tree is not tree?

Et Mungu Ni hadithi hata mtoto mdogo hawezi kukuelewa hapa

Acha ujuaji wa google
Haya tuache mambo mengi.

Twende na swali dogo tu.

Thibitisha Mungu yupo, na kwamba habari z akuwepo kwake si hadithi z auongo tu.
 
Za Biblia, Quran, vitabu vingi vya dini, zako wewe.

Ndiyo maana mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo nje ya hizo stories.
Tulia utaelewa tu vp kwa dini zilizo nje ya hivyo vitabu nazo unasemaje
 
Dini gani? Zimethibitisha Mungu yupo?

Kwa hizo za hivyo vitabu umekubaliana nami?
Ngoja Kwanza tunatumia muongozo upi ili kupata kilicho sahihi au kichwa chako kilicho haribiwa na overthinking ???

Maana naona umekomaa kuelezea unacho waza na Mimi Sina hakika na afya ya akili yako!
 
Nimekwambia Mungu ni hadithi tu, hayupo katika uhalisia.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo nje ya hizo hadithi.

Hujathibitisha kwamba Mungu yupo nje ya hadithi.
Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya swali nililokuuliza na vile unajibu mkuu.

Nimekuuliza Mungu ni nini unanijibu Mungu Ni hadithi tu, Alafu unataka nithibitishe.nithibitishe nini?

Nimekuuliza hadithi ni nini,hujanijibu.

Swali la Mungu ni Nini na wewe ukasema Mungu hayupo (ingawa siyo jibu la swali langu) unafanya nijenge picha nyingi za hiko kitu kinachoitwa Mungu. 'Hayupo' ni mnyama? ni binadamu? ni kiumbe wa aina gani?
Na je vipi Kama Mungu ni nguvu tu fulani inakuwaje unafika hitimisho la "hayupo" kwa Nini usiseme "haipo" "hakipo" nk.

Kiranga ,Kuna siku nilikuwa na mtu mmoja tunakimbia mvua tusilowane. Ghafla ikapiga sauti radi Kali sana jamaa akaniambia hiyo sauti unayoisikia ni ya Mungu. Sikumuukiza chochote. Leo unaponiambia "Mungu hayupo" unanifanya nazidi kupatwa na maswali zaidi badala ya majibu maana hili jibu unajaribu kunijibu swali nisilouliza.

Sijauliza Mungu ni Nani,nimeuliza Mungu ni nini.

Madhara ya kuuliza swali la Mungu ni nani Ni kwamba hata muulizaji anakuwa ameshajenga picha ya anachouliza,namaanisha ameandaa majibu yake,na swali hili halifiki hitimisho.

Swali langu ni; Mungu ni nini? Ukijibu ni hadithi ... Naomba ufafanuzi wa hadithi ni nini?
 
Ngoja Kwanza tunatumia muongozo upi ili kupata kilicho sahihi au kichwa chako kilicho haribiwa na overthinking ???

Maana naona umekomaa kuelezea unacho waza na Mimi Sina hakika na afya ya akili yako!
Natumia logical consistency.

Nimeeleza sana naona una roadblock kuelekea kuelewa, ngoja niweke mchoro wa logical flowchart, labda utapata urahisi kuelewa.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu, hoja ya kuwepo kwake ina internal contradiction. Ni kama mtu akwambie kwamba kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara, wakati pembetatu si duara, na haiwezi kuwa duara.

Hebu soma Epicurean paradox hii, halafu nieleze kama umeielewa au kama una maswali.

epicurean_paradox.jpg
 
Kwa hivyo umekubali kwamba Mungu ni hadithi tu?
Labda niliweke swali langu katika namna hii;

Katika kitabu Cha biblia ya wakristo kuna mstari unasema "Mimi ndimi Mungu wako niliyekutoa katika nchi ya Misri,usijifanyie miungu mingine maana mimi ni Mungu mwenye wivu. "

Ukiangalia huu mstari Kuna Mungu mmoja anawaambia watu wake wasiabudu miungu mingine maana yeye Ni Mungu mwenye wivu.

Kwa nini wewe umefika na hitimisho la watu wengine kwamba wao wanasema "ni Mungu muweza wa yote" na bla bla nyingine? Kumbuka huo mstari Mungu ametaja miungu wengine ambao hataki waabudiwe.kama Kuna Mungu mkuu ambaye Kuna watu wanamwabudu na huyo Mungu akawataja miungu wengine ,basi in maana Kuna Mungu zaidi ya mmoja.

Hapo ndipo ulipo msingi wa swali langu sasa,Mungu ni nini?
 
Back
Top Bottom