Kuna muda unaweza jisahau kumbe ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha Upinzani kwa mizania ya uwakilishi maeneo mbalimbali kiuongozi

Mkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kwa sasa. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, imebaki historia tuu, and soon inakwenda 6ft under, tunaisahau!. Kwa sasa mambo yote ni ACT Wazalendo.
P
Ila pasko haha
 
Kigezo kikubwa kinachotumika kuitwa chama kikuu cha upinzani huwa idadi ya kura za Urais ambazo chama kilipata na wala siyo wabunge wa majimbo.

Kwa kigezo hicho chadema ni chama kikuu cha upinzani kutokana na kura nyingi za urais walizozipata ukilinganisha na ACT.

Kuhusu wabunge 19 waliokataliwa na chadema hao walitokana na kura za Urais walizozipata.Kwa hiyo hata kama wakiondolewa leo bungeni Chadema inayo haki ya kuteua wabunge wengine wapya 19.
 
Mkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kwa sasa. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, imebaki historia tuu, and soon inakwenda 6ft under, tunaisahau!. Kwa sasa mambo yote ni ACT Wazalendo.
P
Kaka hv CHADEMA walikukoseaga nini

Mimi sio mwanachama wa CHADEMA na wala sina ndoto za kujiunga nao lakini comments zako juu yao ni kama huwa hauwakubali kabsaa

Kwa lolote lile naimani utanijuza walikukwaza wapi wale viumbe wa MUNGU hadi kuwaombea dua za kufa kabsa.
 
Kaka hv CHADEMA walikukoseaga nini
Chadema hawajanikosea chochote, bali ndio mti wenye matunda!.
Mimi sio mwanachama wa CHADEMA na wala sina ndoto za kujiunga nao lakini comments zako juu yao ni kama huwa hauwakubali kabsaa
It's the other way round!. Wazalendo wa kweli wa nchi hii wangependa nchi iwe na a healthy opposition ya kuipumzisha CCM, kwa huku bara, Chadema angalau angalau kimeonyesha dalili. Hivyo kinaponya silly mistakes, hatukiachi, tunakirudi kwa nguvu zote!.
Kwa lolote lile naimani utanijuza walikukwaza wapi wale viumbe wa MUNGU hadi kuwaombea dua za kufa kabsa.
Siwaombei dua za kufa, bali nawapa just a wake up call to do the right thing tuwape ikulu yetu 2030
P
 
Chadema hawajanikosea chochote, bali ndio mti wenye matunda!.

It's the other way round!. Wazalendo wa kweli wa nchi hii wangependa nchi iwe na a healthy opposition ya kuipumzisha CCM, kwa huku bara, Chadema angalau angalau kimeonyesha dalili. Hivyo kinaponya silly mistakes, hatukiachi, tunakirudi kwa nguvu zote!.

Siwaombei dua za kufa, bali nawapa just a wake up call to do the right thing tuwape ikulu yetu 2030
P
Yohana Mtembezi anafanya kazi.
 
Sawa.kaka kama ni kwa nia.njema.
 
mazoea yana taabu.
P
Sio swala la mazoea ni uhalisia wa hali halisi

Katika picha hiyo chini imekufafanulia nini maana halisi ya Chama kikuu cha upinzani

Kwa maandishi hamuelewi mnasingizia mazoea basi hata kwa picha tu hamuoni

IMG_20221027_153900.jpg
 
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo.

Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani.

Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa.

Britanicca
CHAMA KIKUU CHA UPINZANI HAKIWEZI KUWA CHAMA TANZU NA CCM hicho CHAMA SIO TENA CHA UPINZANI
 
Back
Top Bottom