Kuna mtu ndani ya moto. (mkasa wa Sodder)

HV mnaoleta story ndefu HV mnaandika kwa simu au n copied abs pasted ...maana mm nikiandika kdg nachoka...half hz mambo znahitaj uwe MTU wa kufuatilia mambo haswa,mnawezaje kujitoa namna hyo ndg zangu!!? Tena bila kulipwa!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, wengine ni passion tu, twapenda kufuatilia na personally napenda kuandika pia. Hivyo Tunapokuwa tunakutana na mambo huko, huyafuatilia kwenye vyanzo mbalimbali na kutengeneza makala. Passion hutangulia, pesa huja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SteveMollel
Mkuu asante kwa bandiko lako makin, mm ni miongoni mwa watu ambao huvutiea sana ma uandishi wako unajua kumfanya mtu asichoke kusoma bandiko lako..

Steve mbona nw dayz huandiki hadithi, au kazi zime*uwa nyingi, tupia walao wale wagen wajue unachokipaji kikubwa cha uandishi wa riwaya, tena kwa mapngilio mzr..

Nikupongeze kwa kazi nzr,...

Nashukuru saba ndugu yangu kwa kuwa pamoja nami na kupitia kazi zangu kadhaa. Haki wanipa moyo na nguvu za kufanya tena na tena.

Kuhusu riwaya, bado naandika, siwezi kuacha kufanya vivyo. Ni kitu kinachofanya maisha yangu yamalizike (complete). Hata sasa bado naandika riwaya, kwa majina NYUMA YAKO (bado haijamalizika) na UNA NINI LAKINI MELISSA? (Riwaya fupi).

Utakapofika wasaa, nitayaleta hapa. Ila huanzia whatsapp kwanza.

Mkuu asant kwa reply yako
Hlo group linavigezo? Je nam naweza kuwa miongoni mwa member hao? Ni pm no yako ntakutafuta...

Ni tag pia kila utoapo kazi zako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli binadamu wabaya, yaani kuwatenganisha watoto na wazazi wao. Bila shaka waliishi kwa uchungu usiomithirika mpaka mwisho wa uhai wao.
 
Bilashaka aliyepanga huo mkasa alikusudia kuitesa kisaikolojia familia ya hiyo! Na alifanikiwa sana.
Ila ni wazi bwana Sodder alikuwa mmoja wa washiriki wa makundi ya kimafia. Hata huyo mtoto wake atakuwa amekuwa recruited humo. Refer kwenye tendo la mpelelez wa mwsho kutorudi tena tangu atumwe kumtafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom