hahahah...... bi dada mtaje 2, moyo wako utakuwa unajiachia ukiona id yake lol.Kiukweli na malaika ni mashaidi mimi ni mtu wa upendo sana kwa watu ila kuna mtu humu yaani amenikaa kooni i hate him with all my heart yaani nikiona id yake ,hata mapigo ya moyo yanaongezeka daah yaaani kweli moyo wangu umekaa nae vibaya kabisa
YUPO ONLINE KWA SASA NIMEMUONA MAHALI YAANI NAJISKIA KUZIMIA KABISA
Naamini si mimi lakini!...kama ndiye basi nitaje tu, unajua kwetu sisi wanaume ukifanikiwa kumwona jambazi kupitia kwenye tundu usiku wa manane basi huwezi mwogopa tena!kuandika iyo id si ndo nitakufa kabisa
hv ukimuweka mtu kwenye ignore list hutomuona eeh?by the way happy new year sishakuna mtu anasahili kupeleka mapigo ya moyo wako haraka zaidi ya uwapendao.
We jifanye humuoni, muweke ignore list, endelea kuenjoy jf. He is just a jf member...
Hapo alipo maybe yeye hana hata habari na wewe, si unajiumiza mwenyewe?
Happy new year Huny. Utaona ID yake ila michango yake huoni... Kama ni wa JF utakua umemchukia kwa sababu ya michango, au wewe hata jina anatumia kama pseudo pia ni shida?hv ukimuweka mtu kwenye ignore list hutomuona eeh?by the way happy new year sis