Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,636
- 9,954
Mara nyingi huwa wanafuatana nasikia mume akifa anafuata mkeMbona mnatuchanganya. Hebu awe salama huko aliko
Anachanganya watuNiache nachanganyikiwa kijana wangu
Una maana gani?Unajua hata Magu ilianza hivi hivi watumishi wa Mungu walimtahadharisha mno mno ila hakusikia mara paap Dada mara mama mgonjwa then wakapita naye. Unajua tatizo haliwezi kuisha kwa mtu kufa. Ushauri tumuombee afya njema rais wetu, awe na afya njema
Nchi italipuka kwa kila kona muungano utaishia hapo Kabudi atajificha wapi na Mwaipopo?? Ok mwacheni aisha azidi kukusanya mali aside masikini.Unajua hata Magu ilianza hivi hivi watumishi wa Mungu walimtahadharisha mno mno ila hakusikia mara paap Dada mara mama mgonjwa then wakapita naye. Unajua tatizo haliwezi kuisha kwa mtu kufa. Ushauri tumuombee afya njema rais wetu, awe na afya njema
this is completely nonsense article ponjoro 🐒Hizi ni classified approved & Trusted info ambazo hata yeye anazo. Huwezi teka na kuua ua hovyo ukadhani uko salama.
Kama anabisha afanye mkutano wa hadhara na wananchi waliomchagua aone😂
Cc.
Mafwele
Muliro
Mkunda
Kila mtu kitengo mjini.Mbona code zimekuwa nyingi
Tatizo huu utawala wa mkono wa chuma wa Chikwete umejaa propaganda za kila aina.Hizi ni classified approved & Trusted info ambazo hata yeye anazo. Huwezi teka na kuua ua hovyo ukadhani uko salama.
Kama anabisha afanye mkutano wa hadhara na wananchi waliomchagua aone😂
Cc.
Mafwele
Muliro
Mkunda
Rais gani hakuwahi kuwa na hekaheka za kubadili badili viongozi?Sema bimdashi na yeye uongozi wake umeshakuwa na heka heka nyingi. Ukiwa raisi kukawa na heka heka nyingi. Mara hili, mara lile mara toa huyu, toa yule. Unachoka roho na mwili, ni rahisi sana kukata moto. Kuna kuwa na mchanyanyiko wa kihoro, hofu, presha, anxiety, mashambulizi, woga wa kupoteza maisha, skendo na kazi ngumu.
Omba mwenyewe inatoshaUnajua hata Magu ilianza hivi hivi watumishi wa Mungu walimtahadharisha mno mno ila hakusikia mara paap Dada mara mama mgonjwa then wakapita naye. Unajua tatizo haliwezi kuisha kwa mtu kufa. Ushauri tumuombee afya njema rais wetu, awe na afya njema
Nani huyo anazo??Hizi ni classified approved & Trusted info ambazo hata yeye anazo. Huwezi teka na kuua ua hovyo ukadhani uko salama.
Kama anabisha afanye mkutano wa hadhara na wananchi waliomchagua aone😂
Cc.
Mafwele
Muliro
Mkunda