Kuna mtu anakaribia kuingia 18 za Serikali, Magufuli hatanii....

Kuna mtu anakaribia kuingia 18 za Serikali, Magufuli hatanii....

Nimetimiza wajibu wangu kama mtanzania, kitakachomtokea tusije sema hatukukumbushana. Hii ni vita ya uchumi
Upo sahihi mkuu ila hata sisi tunamuonya huyo anayetishia watu kwamba hii nchi sio Mali Yake wala ya baba Yake,hii ni ya kwetu sote tena akome kututishia
 
Upo sahihi mkuu ila hata sisi tunamuonya huyo anayetishia watu kwamba hii nchi sio Mali Yake wala ya baba Yake,hii ni ya kwetu sote tena akome kututishia
Halafu eti nae atatuomba kura tena 2020!!!!
Binafsi simpigii kura kamwe
 
Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
Huyo mungu wenu ni binadamu kama wengine. Wapo watawala makatili kama yeye waliomtangulia sasa ni mifupa tu kaburini
 
Tuelekeapo ni pazuri sema sisi abiria ndio tunafanya safari iwe salama au yahatari
Sio kila dereva ni wa kumwamini!!! At least akiambiwa awasikilize abiria wake, kuna wengine wamo kama abiria ila ni madereva pia
 
Akili ya mtoa maada inaukakasi mno, anajitahidi kuwapotosha watu waamini ktk ukaaji kimya tu hata km wanaona mambo ya hovyo yanayotendwa na Serikali! Kuwa na watu wa aina hii ktk Nchi ni hasara kubwa maana ikitokea Nchi imevamiwa na maadui, na Mtu wa aina hii akaombwa aingie vitani kuikomboa Nchi, hapana shaka atakimbilia kujitosa Baharin ili afariki kbsa kuepuka kikombe hicho!!
Hongera sana Mh. Zitto, unaelekea kuliziba pengo la mh.Lissu kwa kipindi hiki. Hatutaki kuona Nchi iliyojaa watu midebwedo wa Akili na Mwili
 
Wakuu yani kwa kifupi hili ni Agizo...

Zitto lazima atadakwa usiku huu..
 
Yeye anadai uchumi unakua tuna pesa nyingi za kuweza kununua ndege sita kwa mpigo, lakini wakati huo huo kati ya wanafunzi 62,000 walioomba mikopo ya elimu ya juu waliopata ni 31,000 tu. Nyongeza ya mishahara mwaka wa pili sasa unaisha hakuna kitu. Bajeti ya Serikali ni hewa kwa kutolewa 35% tu ya 29 trillions. Sasa hizo pesa ziko wapi na haya mengine mbona anayaficha hataki kuyaongelea? KULIKONI kuficha ukweli husika?

Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
 
Nyerere Kwame Mandela watu kama nyinyi waliaita waoga wasiojitambua tunawaitaji wakina Zitto mia nchini
kwahiyo ume conclude kirahisirahisi!? Vipi publisher wa takwim za matumizi Ya ARV!!??
 
huwa nafurahi sana waoga kujificha kichaka cha uzalendo

unafiki haujawahi kuwa uzalendo, ww ni mnafiki ova.
 
Kamkumbushe bashite

Zitto siyo level ya nyumbu mnaofuga hapo Lumumba

Unapokuwa unaongea unabakiza na maneno kidogo ya kuzugia utakapokuja kugundua zitto ni more than Mossad

Watu huwa hawakurupuki unahisi maneno ya mkulu zitto hajayasikia

Mwambie chakubanga hapo Lumumba tumeamua Ku attack Kwa mfumo wa 0 0 1

Damu ya lissu inafanyakazi

Wachochezi waongezeke kama shimuha ndo nchi itaendelea

Su
 
kwa hiyo mtu wako kazi yake imekuwa kutushia watu na wewe kaxi yako kukithibitisha kitisho sio?
Ina maana urawala bora ni kutishatisha watu na watubkukubali kutushika wafungr midomo mpaka 2020 amabpo watakuwa na mdomo kwa miezi michache huku wakipigwa pigwa wakati wa kampeni halafu wapige kimya tena mpaka 2025? wewe una chochea uasi au mapinduzi
ndugu umechapia maneno mengi uwiii hata mahakamani hawatakugusa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] c kwa kiswahili icho
 
Back
Top Bottom