Kuna mtu anakaribia kuingia 18 za Serikali, Magufuli hatanii....

Lakini ni kweli, jamaa atakuja kupikiwa takwimu na idara ya maji taka ataingia king atalamba miaka 2 au 3 jela na jimbo lake linaenda ccm.....
 
Sipendi Serikali Inayofanya Watu Wake Waish Kwa Hofu,hata Km Ukikosolewa Jitokeze Ujibu Utaeleweka Tu Kwa Matendo Yako,unahofu Nn Wakati Ww Ndyo Ulioshikilia Kisu Kikali?Serikali Iache Uoga
Mpumbavu na Mjinga ni sifa tofauti..ogopa huyo wa kwanza akishika "rungu" usishangae akaua Inzi alotua juu ya meza ya kioo, kwa rungu lake....
 
Rais anasema Tanzania mwisho wa kujenga reli ilikuwa 1905, wakati 1985 tulijenga reli ya Manyoni-Singida, tukisema muongo ni uchochezi.

Mbona yeye anatupa data za uongo na yeye apelekwe mahakamani?
HADI KINYAA...kila siku anakuja na memory fake....hana kumbukumbu kazi kujifagilia....anajifagilia miguuni hadi taka !!!
 
Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
Hivi hivi mara Lissu kachapwa risasi
 
Sio mara ya kwanza kwa Mh Rais kusema kuwa kuna watu walichukua fedha ili kusaidia upande wa wezi wa rasilimali zetu...leo hii tena ameonya juu ya wanaopiga kelele ili kuwaridhisha waliomhonga anawafahamu.
Magufuli ndio mwizi namba moja wa fedha za umma hafuati utaratibu kabisa wa kutumia fedha za umma anachota anachota tu angalia anvyoiba za hazina baada ya kumuweka doto james mtoto wa dada yake sasa hivi anapewa bashite kuzichezea atakavyo
 
Tumia data za kweli kuikosoa serikali...
"kati ya bavicha 100 basi 67 wanameza ARV" hii data ni kutoka gazeti pendwa!!na sisi tukashangilia
dat a zipi za uongo Tanzania daima wamekili kwa sababu hata wananchi wengi jana tuliuliza hiyo habari lakini Msigwa kwa barua aliyoisaini jana kutoka ikulu kasema Avccacia watalipa bilioni 700 US dollars ikatawanywa kwa vyombo vya habari leo akarekebisha sasa hizo data zilikuwa za ukweli Zitto anaongea fact Magufuli anataka kufanya mauaji mengine chini ya serikali yake na bashite unakuja kutamba ndio hicho kikosi cha wanyarwanda 20 unachotembea nacho kinakupa kiburi unakuja kwenye public domain kukili kwamba munauwa watu
 
Ila yeye ni RUKHSA kuendelea kusema uongo hadharani na kupotosha takwimu, “Nilipoingia madarakani kilo ya sukari ilikuwa 5,000” halafu akiitwa muongo atoe vitisho vyake.

Mkewe alikuwa sawa kabisa kugoma kumfanyia kampeni huyu janga kubwa la Taifa.

Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
 
Wadau,

Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......

Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...

Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.

Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.

Wenu

Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
Sawa nimekuelewa
 
Back
Top Bottom